Si rahisi kupata katiba inayoakisi maoni ya Watanzania!
SINA tumaini kwamba tunaweza kupata katiba inayoakisi maoni ya wananchi walio wengi. Sasa hivi nimepoteza hamu ya kufuatilia mjadala wa uandikaji wa katiba mpya bungeni. Nimepata sononeko la moyo. Tulichotamani...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWATANZANIA WAISHIO DMV USA WALIPOKUTANA KUMSIKILIZA MH. ISMAIL JUSSA, ALIPOELEZEA UCHAKACHULIWAJI WA MAONI YA KATIBA NA KUELEZEA SABABU ZINAZOIFANYA UKAWA KWA NINI HAITOSHIRIKI KATIKA KURA YA MAONI
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Watanzania kupata Katiba wanayoitaka?
Aprili, 2012, Rais Jakaya Kikwete alitangaza wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Tanzania ikiwa ni mwanzo wa mchakato wa kuelekea kupata Katiba Mpya.
10 years ago
Mwananchi11 Jan
MCHAKATO WA KATIBA: Watanzania wako njia panda kura ya maoni
>Inashangaza sana kusema kuwa mchakato wa Mabadiliko ya Katiba unaosubiri Kura ya Maoni miezi mitatu ijayo, umeacha mvurugano na mgawanyiko kuliko hapo awali. Muda ndiyo utakaothibitisha ukweli huu na hii haimaanishi hata kidogo kuidharau Katiba Inayopendekezwa.
10 years ago
Mwananchi06 Feb
MAONI: NEC isitoe majibu rahisi kwa masuala magumu
>Tunashangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuendelea kutoa majibu rahisi kwa masuala mazito ya kitaifa, ambayo tayari yameibua utata unaoweza kuiingiza nchi yetu katika matatizo makubwa.
10 years ago
BBCSwahili25 Sep
Maoni ya Watanzania kuhusu kura za maoni
Watanzania wamegawanyika kuhusu kura za maoni ambazo zinafanywa nchini humo huku uchaguzi mkuu ukikaribia.
10 years ago
Habarileo08 Nov
Wenye ulemavu wataka lugha rahisi Katiba Inayopendekezwa
KUNDI la watu wenye ulemavu nchini limeiomba Serikali kuhakikisha linaandika Katiba Inayopendekezwa katika lugha rahisi watakayoielewa ili kuwasaidia kuelewa kilichomo kabla ya kufikia hatua ya kura ya maoni.
11 years ago
Mwananchi23 Jul
MAONI: Kweli, tusitunge Katiba kwa kuvunja Katiba
>Zikiwa zimebaki wiki mbili kabla ya kuanza tena kwa vikao vyake, baadhi ya wanasheria maarufu wamesema Bunge la Katiba halitaweza kujadili na kupitisha Rasimu ya Katiba Mpya bila kuwapo wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
11 years ago
Vijimambo18 Oct
MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA INAYOPENDEKEZWA

UTANGULIZI
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekutana katika kikao chake cha kawaida na kujadili, pamoja na mambo mengine, mchakato wa Katiba Mpya. Kamati Kuu imepata taarifa ya kina juu ya mchakato ulivyoendeshwa katika hatua mbali mbali wakati wa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na marekebisho yake na, baadaye, Sheria ya Kura ya Maoni.
Aidha, Kamati Kuu imepata taarifa ya mchakato ulivyokuwa katika hatua ya kuundwa kwa Tume...
11 years ago
Michuzi.jpg)
kongamano la kupata maoni ya wadau kuhusu rasimu ya sera ya Petroli lafunguliwa leo jijini Dar
.jpg)
.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania