Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maoni ya Watanzania kuhusu kura za maoni

Watanzania wamegawanyika kuhusu kura za maoni ambazo zinafanywa nchini humo huku uchaguzi mkuu ukikaribia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA WAISHIO DMV USA WALIPOKUTANA KUMSIKILIZA MH. ISMAIL JUSSA, ALIPOELEZEA UCHAKACHULIWAJI WA MAONI YA KATIBA NA KUELEZEA SABABU ZINAZOIFANYA UKAWA KWA NINI HAITOSHIRIKI KATIKA KURA YA MAONI

Kabla ya mkutano kuanza, picha ya juu na chini zinazofuata, zikionyesha  kisimamo cha dakika moja kumuombe na kada  na mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM, John Komba

MC katika mkutano huo, Bw.Libe Mwang'ombe, aliyeumudu kuuendesha mkutano kwa utaratibu uliotakiwa na kwa usalama hadi mwisho bila jazba hadi mwisho masuali yaliulizwa kwa vifungu na kujibiwa ipasavyo   Dada Salma akiuliza suali kwa wakati wake, masuali mengi yaliulizwa na wadau mbali mbali ambyo yalikuwa ya msingi kwa mustakabali...

 

10 years ago

Michuzi

News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akishangiliwa na wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda mjini. Matokea yalikuwa hivi:

Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto  6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri  385Brian Baraka 263

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akiwashukuru wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda...

 

11 years ago

Mwananchi

Maoni ya wananchi yakipuuzwa, wataikataa kwa kura ya maoni

>Mjumbe wa Bunge la Katiba, Profesa Anna Tibaijuka ametahadharisha kuwa wananchi wanaweza kuikataa Katiba kwenye kura ya maoni kama maoni yao yatawekwa kando.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA NA KURA YA MAONI


Kama inavyofahamika, chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1997 na Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343 ya mwaka 2010, jukumu la Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni kusimamia na kuendesha Uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani kwa Tanzania Bara. Aidha, Sheria ya Kura ya Maoni imezipa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi Zanzibar jukumu la kuendesha Kura ya Maoni kwa ajili ya kuhalalisha Katiba Inayopendekezwa. Kwa mujibu wa Katiba...

 

10 years ago

Mwananchi

Ifanyike tafakuri kuhusu Kura ya Maoni

Kama ilivyotarajiwa na wengi, wingu zito linazidi kutanda kuhusu uwezekano wa kufanyika Kura ya Maoni katika muda uliopangwa, yaani Aprili 30, mwaka huu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kura ya maoni kuhusu Crimea si halali

Umoja wa mataifa umetangaza hatua ya Urusi kuandaa kura ya maoni kuhusu eneo la Crimea ni haramu, unaunga mkono uhuru wa Ukraine.

 

11 years ago

Mwananchi

Tuliwabeza, sasa tunawasifu kuhusu kura ya maoni

Kama wanasiasa wetu wangekuwa ni watu wenye kufanyia kazi maoni yanayotolewa na wananchi pengine wangeepuka mambo mengi ambayo yanakuja kuwazonga au kuleta malalamiko baadaye.

 

11 years ago

BBCSwahili

Murray:sijutii kutoa maoni kuhusu kura

Andy Murray amesema kuwa hajutii kitendo cha kutoa maoni kuhusu Scottland japo amekosolewa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani