Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATANZANIA WAISHIO DMV USA WALIPOKUTANA KUMSIKILIZA MH. ISMAIL JUSSA, ALIPOELEZEA UCHAKACHULIWAJI WA MAONI YA KATIBA NA KUELEZEA SABABU ZINAZOIFANYA UKAWA KWA NINI HAITOSHIRIKI KATIKA KURA YA MAONI

Kabla ya mkutano kuanza, picha ya juu na chini zinazofuata, zikionyesha  kisimamo cha dakika moja kumuombe na kada  na mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM, John Komba

MC katika mkutano huo, Bw.Libe Mwang'ombe, aliyeumudu kuuendesha mkutano kwa utaratibu uliotakiwa na kwa usalama hadi mwisho bila jazba hadi mwisho masuali yaliulizwa kwa vifungu na kujibiwa ipasavyo   Dada Salma akiuliza suali kwa wakati wake, masuali mengi yaliulizwa na wadau mbali mbali ambyo yalikuwa ya msingi kwa mustakabali...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Masaa 24 kabla ya kuunguruma DMV: Ismail Jussa afanya ziara USA State Department

Amb. Donald Teitelbaum, Deputy Assistant Secretary, Bureau of African Affairs akiwa na Ismail Jussa US State dept janaMh. Jussa anatarajia kuunguruma MDV leo jion kuanzia saa kumi hadi mbili usiku.Ataongelea mchakato wote wa Katiba: na uamuzi wa UKAWA kususia mchakato huo dhalimu. Kwa nini Diaspora walitengwa kutoa maoni na kwa nini UKAWA hawatashiriki kura ya maoni.Mhe. Ismail Jussa (Muwakilishi wa Stone, Town, Zanzibar) kupitia chama cha wanainchi CUF na mjumbe wa UKAWA atakuwepo...

 

10 years ago

Michuzi

Mwakilishi wa jimbo la mji mkongwe (Cuf) Ismail Jussa Ladhu azungumza na watanzania DMV

 Mwakilishi wa jimbo la mji mkongwe Mhe. Ismail Jussa Ladhu akiongea na Watanzania wa DMV siku ya Jumamosi Feb 28, 2015 kwenye ukumbi wa Tabeer Hall uliopo University Blvd East, Hyattsville, Maryland, Nchini Marekani.   Mwakilishi wa jimbo la mji mkongwe Mhe: Ismail Jussa Ladhu akiongea na waTanzania wa DMV, walioka meza kuu wakanza kushoto Katibu wa Tawi la Chadema DMV Liberatus "Libe" Mwangombe, akifuatiwa na Mwenyekiti wa Tawi la Chadema DMV Mhe. Kalley Pandukizi, Shamis Alkhatry CUF...

 

10 years ago

Mwananchi

MCHAKATO KATIBA MPYA: Kwa nini muda wa BVR hautoshi kwa Kura ya Maoni

>Kazi ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kwa kutumia Mfumo wa Biometric Voter Registration (BVR) imezunduliwa Februari 24 mwaka huu na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ambaye pamoja na mambo mengine, ameweka wazi kuwa mtu atakayeshindwa kujiandikisha, atakosa fursa ya piga kura ya maoni kwa ajili ya Katiba mpya.

 

9 years ago

BBCSwahili

Maoni ya Watanzania kuhusu kura za maoni

Watanzania wamegawanyika kuhusu kura za maoni ambazo zinafanywa nchini humo huku uchaguzi mkuu ukikaribia.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa kuhamasisha wananchi wasipige kura ya maoni Katiba mpya

Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimetangaza rasmi kutoshiriki katika mchakato wa kura ya maoni ya katiba na kwamba kuanzia sasa vitahamasisha wananchi kuunga mkono.

 

10 years ago

Mwananchi

MCHAKATO WA KATIBA: Watanzania wako njia panda kura ya maoni

>Inashangaza sana kusema kuwa  mchakato wa Mabadiliko ya Katiba unaosubiri Kura ya Maoni miezi mitatu ijayo, umeacha mvurugano na mgawanyiko kuliko hapo awali. Muda ndiyo utakaothibitisha ukweli huu na hii haimaanishi hata kidogo kuidharau Katiba Inayopendekezwa.

 

10 years ago

Vijimambo

Kwanini naunga mkono kwa Mh Edward Lowassa kukaribishwa UKAWA : Ismail Jussa

Mjadala mkubwa umezuka kuhusu mwelekeo wa ushirikiano wa vyama vikuu vya upinzani vinavyounda UKAWA na hatua ya kumkaribisha Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa, ili kushirikiana kuiondosha madarakani CCM pamoja na mfumo wake wa kikandamizaji na kifisadi ulioambatana na kiburi kikubwa cha watawala.

Baada ya kusoma maoni na mitazamo ya watu mbali mbali, nataka na miye nieleze mtazamo wangu kuhusiana na masuala hayo lakini zaidi nikirudi nyuma katika miaka ya 1991 na...

 

11 years ago

Mwananchi

Maoni ya wananchi yakipuuzwa, wataikataa kwa kura ya maoni

>Mjumbe wa Bunge la Katiba, Profesa Anna Tibaijuka ametahadharisha kuwa wananchi wanaweza kuikataa Katiba kwenye kura ya maoni kama maoni yao yatawekwa kando.

 

10 years ago

Michuzi

News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akishangiliwa na wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda mjini. Matokea yalikuwa hivi:

Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto  6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri  385Brian Baraka 263

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akiwashukuru wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani