Masaa 24 kabla ya kuunguruma DMV: Ismail Jussa afanya ziara USA State Department
![](http://1.bp.blogspot.com/-BdDUeaP4ke4/VPHcEWVp4kI/AAAAAAAABH4/1WTCikbvSDI/s72-c/Jussa.jpg)
Amb. Donald Teitelbaum, Deputy Assistant Secretary, Bureau of African Affairs akiwa na Ismail Jussa US State dept janaMh. Jussa anatarajia kuunguruma MDV leo jion kuanzia saa kumi hadi mbili usiku.Ataongelea mchakato wote wa Katiba: na uamuzi wa UKAWA kususia mchakato huo dhalimu. Kwa nini Diaspora walitengwa kutoa maoni na kwa nini UKAWA hawatashiriki kura ya maoni.
Mhe. Ismail Jussa (Muwakilishi wa Stone, Town, Zanzibar) kupitia chama cha wanainchi CUF na mjumbe wa UKAWA atakuwepo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWATANZANIA WAISHIO DMV USA WALIPOKUTANA KUMSIKILIZA MH. ISMAIL JUSSA, ALIPOELEZEA UCHAKACHULIWAJI WA MAONI YA KATIBA NA KUELEZEA SABABU ZINAZOIFANYA UKAWA KWA NINI HAITOSHIRIKI KATIKA KURA YA MAONI
10 years ago
Michuzi03 Mar
Mwakilishi wa jimbo la mji mkongwe (Cuf) Ismail Jussa Ladhu azungumza na watanzania DMV
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/eeLXn2f3DIQ/default.jpg)
Hotuba ya Ismail Jussa Washington DC (Part2)
Mwakilishi wa jimbo la mji mkongwe Mhe: Ismail Jussa Ladhu akiongea na waTanzania wa DMV, walioka meza kuu wakanza kushoto Katibu wa Tawi la Chadema DMV Liberatus "Libe" Mwangombe, akifuatiwa na Mwenyekiti wa Tawi la Chadema DMV Mhe. Kalley Pandukizi, Shamis Alkhatry CUF pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la kina mama CHADEMA DMV Bi Baybe Mgaza.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Q1Rh4Iy-dr4/default.jpg)
WATU NA MATUKIO KATIKA MKUTANO WA MHESHIMIWA ISMAIL JUSSA
Pichan ni wana DMV waliofika kumsikiliza Mh.Jussa katika mkutano uliofanyika jana jJumamosi, Maryland USA, alielezea vipi katiba ilivyochakachuliwa na kutoa sababu kwa nini UKAWA hawatoshiriki katika kura ya maoni
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-J7xcwiXOFTc/VO6vWpMibpI/AAAAAAAABHk/yJqC4VlPDeY/s72-c/Jussa%2BWashington%2BDC.jpg)
BREAKING NEWS: FIRM CONFIRMED: ISMAIL JUSSA IN WASHINGTON D.C., FEB 28, 2015
![](http://3.bp.blogspot.com/-J7xcwiXOFTc/VO6vWpMibpI/AAAAAAAABHk/yJqC4VlPDeY/s1600/Jussa%2BWashington%2BDC.jpg)
Ismail Jussa (Muwakilishi wa Stone, Town, Zanzibar) kupitia chama cha CUF na mjumbe wa UKAWA atakuwepo Washington, D.C. (DMV) kuongea na waTanzania Jumamosi February 28, 2015 kuanzia saa 10 jioni hadi mbili usiku (4pm-8pm). Zingatia muda
Agenda;Mchakato wote wa Katiba mpyaUfafanuzi juu ya muundo wa serikali tatuUamuzi wa UKAWA kususia mchakato huo dhalimu Kwa nini Diaspora walitengwa kutoa maoni na uraia pachaMaswali na majibu bila kikomo
Address: TABEER HALL 1401 UNIVERSITY...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/--2QJxdvw2Fg/U4Ds1MuJGiI/AAAAAAACiCU/kXQi54gg87c/s72-c/1.jpg)
KINANA AFANYA ZIARA WILAYA MPYA YA MKALAMA,KUUNGURUMA LEO LIVE STAR TV MKUTANO WA HADHARA MJINI SINGIDA
![](http://4.bp.blogspot.com/--2QJxdvw2Fg/U4Ds1MuJGiI/AAAAAAACiCU/kXQi54gg87c/s1600/1.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-7tU_8jW3SwM/Vbf8MmSH8WI/AAAAAAAATio/BL7YcUQoGpg/s72-c/Jussa.jpg)
Kwanini naunga mkono kwa Mh Edward Lowassa kukaribishwa UKAWA : Ismail Jussa
![](http://2.bp.blogspot.com/-7tU_8jW3SwM/Vbf8MmSH8WI/AAAAAAAATio/BL7YcUQoGpg/s320/Jussa.jpg)
Baada ya kusoma maoni na mitazamo ya watu mbali mbali, nataka na miye nieleze mtazamo wangu kuhusiana na masuala hayo lakini zaidi nikirudi nyuma katika miaka ya 1991 na...
10 years ago
US Department Of State (Press Release)10 Mar
State Department's First Connect Camp in Tanzania Empowers Young African ...
US Department of State (press release)
The Bureau of Educational and Cultural Affairs (ECA) will conduct eight Connect Camps in Tanzania, Namibia, Rwanda, and Cote d'Ivoire during 2015-2016 supporting alumni from the Mandela Washington Fellowship (MWF) for Young African Leaders and ...
11 years ago
MichuziMdau Ismail Bibangamba ala nondozzz katika Mahafali ya Spring 2014 Commencement (Bowie State University)