Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mdau Ismail Bibangamba ala nondozzz katika Mahafali ya Spring 2014 Commencement (Bowie State University)

Katika Mahafali ya Spring 2014 Commencement (Bowie State University) akiwemo mTanzania anayeishi hapa mjini Maryland,  Ismail Bibangamba, ameweza kutimiza ndoto yake ya kufaulu nondo zzz ya Master of Business Administration siku ya Jumatatu May 19. 2014 Ndani Comcast Center, College Park Maryland Nchini Marekani. Ismail John Bibangamba akipita picha ya kumbukumbu  baada ya kuchukua nondozzz yake ya Master of Business Administration, siku ya Jumatatu May 19. 2014 Ndani ya Mjengo wa Comcast...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mdau Ismail Bibangamba alamba nondozz yake katika chuo kikuu cha Bowie State University

Katika Mahafali ya Spring 2014 Commencement (Bowie State University) akiwemo mTanzania anayeishi hapa mjini Maryland Ismail Bibangamba ameweza kutimiza ndoto yake ya kufaulu nondo ya Master of Business Administration siku ya Jumatatu May 19. 2014 Ndani Comcast Center, College Park Maryland Nchini Marekani. Ismail John Bibangamba akipita picha ya kumbukumbu  baada ya kuchukua nondo yake ya Master of Business Administration, siku ya Jumatatu May 19. 2014 Ndani ya Mjengo wa Comcast Center,...

 

10 years ago

Michuzi

mdau Dotto Haruna ala nondozzz ya "Cardiopulmonary Respiratory Care" mjini Baltimore, Maryland, USA

 Sensei Rumadha Fundi akiwa na binamu yake Bw. Dotto Haruna aliyekula nondozzz ya "Cardiopulmonary Respiratory Care"  mjini Baltimore, Maryland, USA. Hongera sana Dotto!! Mdau Dotto na  mai waifu wake bi Magge na watoto wao.Mdau Dotto akiwa na wala nondozzz wenzie

 

10 years ago

Vijimambo

AMBASSADOR LIBERATA MULAMULA COMMENCEMENT ADDRESS AT SETON HALL UNIVERSITY


Last Friday ( May 15) Ambassador Liberata Mulamula delivered a Keynote address at the School of Diplomacy's 2015 Graduation Commencement and Hooding Ceremony.
The event took place at the Seton Hall University in New Jersey City. In her address which was extremely well received by the audience, Ambassador Mulamula, who is also the School's Board Member of Overseers, touched upon some challenges facing the international community at a time where the United Nations Commemorates her...

 

11 years ago

Michuzi

Mdau Zainab Kessy Mtambo alamba nondozz yake katika Chuo Kikuu cha Taylor's University

 Mdau Zainab Kessy Mtambo akiwa na Wazazi wake,Bw. Shaban Kessy Mtambo na Mama Zaitun Mtambo wakati wa hafla ya kupongezwa kwake kwa kulamba Nondozz yake ya Bachelor of Arts (Communication and Media Management) katika Chuo Kikuu cha Taylor's University,Subang Jaya, Selangor, Malaysia. Zainab Kessy akifurahia kulamba Nondozz yake huku akipongezwa na Baba yake,Bw. Shaban Kessy. Familia imetikia,toka Kulia ni Bw. Shaban Kessy,Mama Zaituni,Muhitimu mwenyewe Bi. Zaibab pamoja na Kaka...

 

10 years ago

Michuzi

Mama Tunu Pinda ala nondozzz chuo kikuu huria tawi la dodoma

 Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Dkt. Asha-Rose Migiro akimtunuku shahada ya uzamili ya usimamizi wa miradi mke wa Waziri Mkuu mama Tunu Pinda katika mahafali ya 27 ya chuo hicho yaliyofanyika mjini DODOMA. Kushoto anayeshuhudia ni Makamu mkuu wa chuo hicho Profesa Tolly Mbwete.
Mke wa Waziri Mkuu mama Tunu Pinda  akitoka kupokea shahada ya uzamili ya usimamizi wa miradi. Akiongea baada ya hapo Mama Pinda ametoa wito kwa kinamama wa Tanzania na Afrika kwa jumla kujiendeleza kielimu ili...

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Saida Yunus Chui alamba nondozzz

Mdau Saida Yunus Chui akiwa ni mwenye furaha sana muda mfupi baada ya kula Nondozz yake ya Master School of Improvement and Education Leadership katika Chuo Kikuu cha Birmingham University, kule kwa Bibi (Uk).Mdau Saida Yunus Chui akiwa akiwa ndani ya ukumbi wa Chuo Kikuu cha Birmingham University, tayari kwa kula Nondozz yake ya Master School of Improvement and Education Leadership.Mdau Saida Yunus Chui akiwa na hazbendi wake,Ahmed Mashaka (kulia) pamoja na Dada yake mada baada ya kula...

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Ephrahim Mushi alamba Nondozz yake ya Masters degree in Environmental Science katika Chuo Kikuu cha Wageningen University nchini Uholanzi

Mhandisi Ephrahim Mushi wa Wizara ya Nishati na Madini akiwa ameshika Nondozz yake ya Uzamili ya Sayansi ya Mazingira (Masters degree in Environmental Science) mara baada ya kuipokea katika chuo kikuu cha Wageningen University nchini Uholanzi siku ya Alhamisi tarehe 26 Septemba, 2014 na baadae kulifanyika tafrija ya mkia wa jogoo (Cocktail Party) ya kupongezana iliyofanyika katika hoteli ya De Werled katika mji wa Wageningen,nchini humo.Mhandisi Ephrahim Mushi wa Wizara ya Nishati na Madini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani