Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIRA: Bunge limejaa majibu mepesi kwa maswali magumu

>Nimefuatilia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria katika mkutano wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

CWT isitoe majibu mepesi kwa maswali magumu

Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ni chama kilicho mstari wa mbele kuhakikisha walimu nchini wanapata stahili zao kwa wakati.

 

11 years ago

Habarileo

Maswali magumu Bunge la Katiba

WAKATI wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakijikusanya mjini Dodoma leo, kuanza safari ya siku 70 mpaka 90 ya kuwapatia Watanzania Katiba mpya, wasomi zaidi ya 100 wanakutana Dar es Salaam, kujibu maswali magumu yanayotakiwa kupatiwa ufumbuzi wa mwisho na Bunge hilo.

 

10 years ago

GPL

USINZIBE MDOMO: MIGOMO INACHOCHEWA NA MAJIBU MEPESI

Wananchi wakiwa katika maandamano. IJUMAA iliyopita ilikuwa ni siku kubwa ingawa haikuwahi kuwekwa katika kalenda hapo kabla. Ilikuwa ni siku ambayo umma kwa upana wake, ulitambua jinsi gani sekta ya usafirishaji ilivyo muhimu. Nina uhakika, mamia ya watu walipata hasara ya mamilioni ya shilingi.
Wananchi wakilala chini kuepuka athari za mabomu ya machozi. Hii ilitokana na mgomo wa madereva wa mabasi ya mikoani na daladala....

 

10 years ago

GPL

KASHFA MENO YA TEMBO NA MAJIBU MEPESI YA SERIKALI

KASHFA iliyoibuliwa na Wakala wa Uchunguzi wa Mazingira ya Uingereza, (Environmental Investigation Agency kwa kifupi EIA), dhidi ya serikali kuhusu ziara ya Rais wa China, Xi Jinping hapa nchini kuwa msafara wake uliondoka na shehena ya meno  ya tembo ni nzito inayolitia doa taifa. Kwa uzito wake, nafsi yangu kama mzalendo na muumini wa  heshima kwa viongozi wangu na taifa langu nilitaraji majibu ya serikali yangeendana na...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: NEC isitoe majibu rahisi kwa masuala magumu

>Tunashangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuendelea kutoa majibu rahisi kwa masuala mazito ya kitaifa, ambayo tayari yameibua utata unaoweza kuiingiza nchi yetu katika matatizo makubwa.

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Bongo Movies

Amanda Poshy azua maswali yasiyo na majibu kwa kauli hii.

Amanda Poshy azua maswali yasiyo na majibu kwa kauli hii.

Leo kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii mwanadada Amanda Poshy amezua maswali yasiyo na majibu baada ya kuandika maneno ambayo wengi wameshindwa kujua yana maana gani kwani yamekaa kimafumbo flani hivi.

Kauli hii ya mwanadada Amanda inakuja siku chache tu baada ya mrembo Irene uwoya kuongelea jambo kama hili hili siku mbili zilizopita.

Amanda poshy ameongelea mambo mengi yakiwemo “Kuchukuliana mabwana kwa waigizaji wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kumbe Bunge limejaa wabunge matapeli

Siku chache tu zilizopita tulihoji mpango wa Bunge kuwapeleka wabunge nje ya nchi mara kwa mara kufanya kile kinachoitwa ziara za kikazi na mafunzo.

 

11 years ago

GPL

KUAMBIANA AZIKWA NA MASWALI MAGUMU 5

Stori: Waandishi Wetu
ADAM Philip Kuambiana amezikwa jana kwenye Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam huku akiacha maswali magumu matano kuhusu maisha, mazingira na hatimaye kifo chake, Risasi Mchanganyiko linakupa moja kwa moja. Mwili wa marehemu Kuambiana ukiwasili kaburini tayari kwa shughuli za kuusitiri. Marehemu Kuambiana alifariki dunia Jumamosi iliyopita asubuhi akikimbizwa kwenye Hospitali ya Mama Ngoma,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani