Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KASHFA MENO YA TEMBO NA MAJIBU MEPESI YA SERIKALI

KASHFA iliyoibuliwa na Wakala wa Uchunguzi wa Mazingira ya Uingereza, (Environmental Investigation Agency kwa kifupi EIA), dhidi ya serikali kuhusu ziara ya Rais wa China, Xi Jinping hapa nchini kuwa msafara wake uliondoka na shehena ya meno  ya tembo ni nzito inayolitia doa taifa. Kwa uzito wake, nafsi yangu kama mzalendo na muumini wa  heshima kwa viongozi wangu na taifa langu nilitaraji majibu ya serikali yangeendana na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kashfa meno ya tembo yatingisha

Serikali za China na Tanzania, zimetoa matamshi makali dhidi ya kile zilichokiita “taarifa za uongozi na uzushi” ambazo zinahusisha ndege ya Rais wa China, Xi Jinping na usafirishaji wa vipande vya meno ya tembo kutoka Tanzania.

 

9 years ago

Mtanzania

Serikali yatakiwa kuwakamata wafanyabiashara meno ya tembo

ivory+pxHERIETH FAUSTINE NA IDDY ABDALLAH (RCT), DAR ES SALAAM

SERIKALI ya awamu ya tano imetakiwa kuwakamata na kuwashtaki wafanyabiashara wanaojihusisha na  biashara ya meno ya tembo.

Imetakiwa ichukue hatua hiyo bila kujali utaifa, hadhi na mamlaka waliyonayo watu hao.

Mjumbe wa Kampeni ya Okoa Tembo wa Tanzania, Lameck Mkuburo, alisema kufanya hivyo kutasaidia kuvunja mtandao wa ujangili   nchini.

Alikuwa akizungumza  Dar es Salaam jana alipotoa wito kwa serikali jinsi ya kukabiliana na tatizo...

 

10 years ago

GPL

USINZIBE MDOMO: MIGOMO INACHOCHEWA NA MAJIBU MEPESI

Wananchi wakiwa katika maandamano. IJUMAA iliyopita ilikuwa ni siku kubwa ingawa haikuwahi kuwekwa katika kalenda hapo kabla. Ilikuwa ni siku ambayo umma kwa upana wake, ulitambua jinsi gani sekta ya usafirishaji ilivyo muhimu. Nina uhakika, mamia ya watu walipata hasara ya mamilioni ya shilingi.
Wananchi wakilala chini kuepuka athari za mabomu ya machozi. Hii ilitokana na mgomo wa madereva wa mabasi ya mikoani na daladala....

 

10 years ago

Mwananchi

CWT isitoe majibu mepesi kwa maswali magumu

Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ni chama kilicho mstari wa mbele kuhakikisha walimu nchini wanapata stahili zao kwa wakati.

 

11 years ago

Mwananchi

DIRA: Bunge limejaa majibu mepesi kwa maswali magumu

>Nimefuatilia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria katika mkutano wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma.

 

11 years ago

Michuzi

WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO

Jeshi la Polisi Kanda Maalum limefanikiwa kukamata vipande zaidi ya ishirini (20) vinavyodhaniwa kuwa ni meno ya Tembo vilivyokuwa vimehifadhiwa nadni ya mfuko maarufu kwa jina la kiroba. Tukio hili lilitokea tarehe 30/04/2014 katika kiwanda cha Nondo Steel Master kilichopo eneo la Mbozi Road (W) kipolisi Chang’ombe (M) kipolisi Temeke baada ya Polisi kupokea taarifa kuwa katika kiwanda hicho kuna mfuko wa kiroba wenye bidhaa hiyo umefichwa. Baada ya taarifa hizo askari kikosi cha Upelelezi...

 

11 years ago

GPL

WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova akionesha sehemu ya  vipande 8 vya meno ya tembo vilivyodakwa huko Tabata Kisiwani jijini Dar es salaam
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova akikagua gari linalotuhumiwa kutumika.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani