Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MH.SITTA AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA BANDARI YA TANGA,WAELEZA CHANGAMOTO ZAO.

 Mhe Samuel Sitta akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi mkuu Ndg Awadh Massawe. Mhe Samuel Sitta pia alipata fursa kuongea na wafanyakazi wa Bandari ya Tanga ambapo walieleza changamoto zinazowakabili wafanyakazi hao ikiwepo kodi inayokatwa kwenye mishahara ni kubwa ukilinganisha na kipato na  Pia Mhe Sitta ameteua wajumbe wapya wa bodi ya bandari

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wahandisi waeleza changamoto za uadilifu

MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Edwin Ngonyani amesema wahandisi wanakabiliwa na changamoto ya kutakiwa na waajiri wao kufanya kazi kwa matakwa yao na si kufuata taaluma ya kihandisi.

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA TANGA CEMENT WAFANYA USAFI SOKO KUU LA MJINI TANGA LA NGAMIANI

 Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Saruji Tanga, Diana Malambugi (kulia) akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo wakifanya usafi katika Soko Kuu la Mji wa Tanga la Ngamiani mjini humo leo, kuadhimisha Siku ya Uhuru iliyodhimishwa kwa watanzania wote kujishughulisha na shuhuli za usafi wa mazingira.  Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Saruji Tanga, wakifanya usafi katika Soko Kuu la Mji wa Tanga la Ngamiani mjini humo jana kuadhimisha Siku ya Uhuru ambayo watanzania nchini kote...

 

9 years ago

Mwananchi

Hujuma Bandari ya Tanga

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Magalula Said Magalula amedai kuwa kuna wafanyabiashara ambao wameanza tena kuhujumu mpango wa Serikali wa kutumia Bandari ya Tanga kupitishia mafuta.

 

9 years ago

Michuzi

WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAKIRI WAZI HAIJAPATA KUTOKEA,WAELEZA HISIA ZAO KUWA MAGUFULI ANATOSHA NAFASI YA URAIS.

 Dkt. Magufuli (katikati) akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Nyamagana (pichani kulia) Ndugu Stanslaus Mabula mbele ya Maelfu ya wakazi wa jiji la Mwanza kwenye mkutano wa kampeni katika viwanja vya Furahisha jioni ya leo.Baadhi ya wakazi wa jiji la Mwanza waliohojiwa na Globu ya Jamii walieleza na kukiri wazi kuwa haijawahi kutokea kwa mapokezi haya makubwa na ya aina yake,na kuwa Magufuli ndiye anaetosha kuvaa viatu vya Urais. Dk Magufuli (katikati) akiwanadi Mgombea Ubunge Jimbo la Ilemela,...

 

10 years ago

Michuzi

Wafanyakazi Wanawake wa Tanga Cement Walivyosherehekea Siku ya Wanawake Duniani mjini Tanga

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Tanga Cement Plc, Reinhardt Swart (kushoto) akimpa zawadi mhandisi mwanamke kijana katika kampuni hiyo, Irene Lema  katika hafla iliyoandaliwa na wafanyakazi wanawake wa Tanga Cement  kusheherekea siku ya wanawake duniani mjini Tanga. Kaimu Ofisa Fedha Mkuu wa Kampuni ya Saruji Tanga, Unguu Sulay (kulia) akimpa zawadi mfanyakazi mwanamke hodari na mwenye mfano wa kuigwa wa kampuni hiyo, Rosemary Kashaga  Juma katika hafla iliyoandaliwa na wafanyakazi wanawake...

 

10 years ago

Habarileo

Sitta avunja Bodi ya Bandari, ateua mpya

Waziri wa Uchukuzi, Samuel SittaWAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amefuta uteuzi wa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Nchini (TPA) kuanzia jana na kuteua wajumbe wengine wapya nane wanaounda bodi hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Wastaafu Bandari watafuta huruma ya Waziri Sitta

Wastaafu 263 wa iliyokuwa Mamlaka ya Bandari nchini (THA) wamemwomba Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta kuingilia kati mgogoro wa muda mrefu wa kulipwa mafao yao ya Sh2 bilioni.

 

10 years ago

Habarileo

Mafuta kupita bandari Tanga

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (EWURA), Felix NgamlagosiSERIKALI imesema inatarajia kuanza kutumia bandari ya Tanga katika kuingiza mafuta ili kupunguza msongamano na ucheleweshwaji wa upakuaji katika bandari ya Dar es Salaam pamoja na kuongeza ufanisi wa usafirishaji wa nishati hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Hali ni ngumu Bandari Tanga

Bandari ya Tanga imepoteza kiasi kikubwa cha mapato kutokana na hatua ya Serikali kusitisha shughuli za uagizaji na upakuaji mafuta kupitia bandari hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani