Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wastaafu Bandari watafuta huruma ya Waziri Sitta

Wastaafu 263 wa iliyokuwa Mamlaka ya Bandari nchini (THA) wamemwomba Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta kuingilia kati mgogoro wa muda mrefu wa kulipwa mafao yao ya Sh2 bilioni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Sitta avunja Bodi ya Bandari, ateua mpya

Waziri wa Uchukuzi, Samuel SittaWAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amefuta uteuzi wa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Nchini (TPA) kuanzia jana na kuteua wajumbe wengine wapya nane wanaounda bodi hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

MH.SITTA AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA BANDARI YA TANGA,WAELEZA CHANGAMOTO ZAO.

 Mhe Samuel Sitta akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi mkuu Ndg Awadh Massawe. Mhe Samuel Sitta pia alipata fursa kuongea na wafanyakazi wa Bandari ya Tanga ambapo walieleza changamoto zinazowakabili wafanyakazi hao ikiwepo kodi inayokatwa kwenye mishahara ni kubwa ukilinganisha na kipato na  Pia Mhe Sitta ameteua wajumbe wapya wa bodi ya bandari

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Gaudensia Kabaka aipongeza TPB kutoa mikopo kwa wastaafu

Kutoka kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta (TPB), Sabasaba Moshingi, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka na baadhi ya viongozi meza kuu wakiwa wameshikana mikono na kuinyanyua juu ikiwa ni ishara ya kuwaunganisha wastaafu kwenye fursa mara baada ya uzinduzi wa mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta (TPB), Sabasaba Moshingi, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka na baadhi ya viongozi meza kuu wakiwa wameshikana mikono na kuinyanyua juu ikiwa ni ishara ya kuwaunganisha wastaafu kwenye fursa mara baada ya uzinduzi wa mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF leo jijini Dar es Salaam.Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akizungumza katika uzinduzi wa mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF leo jijini Dar es Salaam. Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akizungumza katika uzinduzi wa mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri wa Fedha akiri udhaifu Bandari

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya amesema, Serikali itabadilisha kanuni kwa malengo mahususi ya kudhibiti misamaha ya kodi.

 

10 years ago

GPL

WAZIRI SITA AMSIMAMISHA MKURUGENZI MAMALAKA YA BANDARI

Waziri wa Uchukuzi, Samwel Sitta. Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Bandarini aliyesimamishwa kazi Maden Kipande. HABARI zilizotufikia muda huu…

 

10 years ago

Habarileo

Waziri aagiza kuimarishwa bandari ya Mkoani Pemba

WAZIRI wa Mawasiliano na Miundombinu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Juma Duni Haji amelitaka Shirika la Bandari kuimarisha bandari ya Mkoani Pemba ambayo imetangazwa kuwa lango kuu la kiuchumi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Fedha afanya ziara ya kushtukiza Bandari Kavu

1768

Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiangalia kontena lenye shehena ya vitenge badala ya unga wa gypsum kama nyaraka zilivyoonyesha.

Baadhi ya wafanyabiashara wabainika kukwepa kulipa kodi kwa kuingiza bidhaa kutoka nje kupitia bandari ya Dar es Salaam, ambapo huandikisha taarifa na maelezo tofauti na bidhaa halisi zilizomo ndani ya makontena ili kuwawezesha kukwepa kodi kwa kulipia kiasi kidogo.

Kutokana na udanganyifu huo, Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya alifanya ziara ya kushtukiza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani