Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hujuma Bandari ya Tanga

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Magalula Said Magalula amedai kuwa kuna wafanyabiashara ambao wameanza tena kuhujumu mpango wa Serikali wa kutumia Bandari ya Tanga kupitishia mafuta.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Bandari ya Tanga ilindwe dhidi ya hujuma

Habari tuliyochapisha jana ikisema kwamba baadhi ya wafanyabiashara ya mafuta wanadaiwa kuihujumu Bandari ya Tanga zitakuwa zimewasikitisha na kuwasononesha wananchi wengi kutokana na umuhimu wa bandari hiyo katika uchumi wa Mkoa wa Tanga na Taifa kwa jumla

 

11 years ago

Mwananchi

Hali ni ngumu Bandari Tanga

Bandari ya Tanga imepoteza kiasi kikubwa cha mapato kutokana na hatua ya Serikali kusitisha shughuli za uagizaji na upakuaji mafuta kupitia bandari hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Mafuta kupita bandari Tanga

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (EWURA), Felix NgamlagosiSERIKALI imesema inatarajia kuanza kutumia bandari ya Tanga katika kuingiza mafuta ili kupunguza msongamano na ucheleweshwaji wa upakuaji katika bandari ya Dar es Salaam pamoja na kuongeza ufanisi wa usafirishaji wa nishati hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Bandari ya Tanga yalalamikia vitendea kazi

Bandari ya Tanga inadaiwa kukabiliwa na changamoto ya utendaji hafifu wa Shirika la Reli na kuchangia kwa kiwango kikubwa kuhamishwa kwa shehena nyingi iliyokuwa ikipitia katika bandari hiyo, hasa iliyokuwa ikienda na kutoka Kanda ya Ziwa.

 

5 years ago

Michuzi

NDITIYE ARIDHISHWA NA KASI YA UPANUZI WA BANDARI YA TANGA








Serikali Kutumia Shilingi Bilioni 172 Kuboresha Bandari Hiyo

Itakuwa na Uwezo wa Kuhudumia Meli Yenye Uzito wa Tani 35,000



Na Prisca Ulomi, WUUM, Tanga

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye ameridhishwa na kasi ya upanuzi wa Bandari ya Tanga baada ya kushuhudia kazi inayoendelea kufanyika kwenye bandari hiyo wakati wa ziara yake mkoani humo

Nditiye amesema kuwa tayari Serikali imepanga kutumia shilingi bilioni 172 kwa ajili ya kupanua bandari hiyo kwa kuongeza...

 

10 years ago

Mwananchi

Bandari ya Tanga sasa kupunguza foleni Dar

>Msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam, unatarajiwa kupungua kwa asilimia nne baada ya Serikali kufanya uamuzi wa kuruhusu uingizaji wa shehena ya mafuta nchini kupitia Bandari ya Tanga.

 

10 years ago

Michuzi

MH.SITTA AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA BANDARI YA TANGA,WAELEZA CHANGAMOTO ZAO.

 Mhe Samuel Sitta akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi mkuu Ndg Awadh Massawe. Mhe Samuel Sitta pia alipata fursa kuongea na wafanyakazi wa Bandari ya Tanga ambapo walieleza changamoto zinazowakabili wafanyakazi hao ikiwepo kodi inayokatwa kwenye mishahara ni kubwa ukilinganisha na kipato na  Pia Mhe Sitta ameteua wajumbe wapya wa bodi ya bandari

 

5 years ago

Michuzi

PIC YAIPONGEZA TPA KWA KUTEKELEZA KWA UFANISI MRADI WA KUCHIMBA NA KUONGEZA KINA LANGO LA KUINGILIA NA KUGEUZIA MELI CHA BANDARI YA TANGA

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mhandisi Deusdedit C.V. Kakoko akitoa taarifa ya Mpango wa Kitaasisi na Utendaji wa Bandari ya Tanga kwa Mwaka wa Fedha 2018/19 na Nusu Mwaka ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2019/2020 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) ilipotembelea Bandari ya Tanga hivi karibuni.
 Sehemu ya wajumbe wa kamati hiyo wakiwa kwenye ukumbi wa mikutano

  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)...

 

11 years ago

Dewji Blog

Zanzibar kujengwa Bandari kubwa chini ya Kampuni ya Ujenzi wa Bandari ya Jamuhuri ya Watu wa China (CHEC)

119

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Muwakilishi wa Kampuni ya Ujenzi wa Bandari ya China yenye Tawi la Ofisi yake Nchini Tanzania Bwana Xu Xinpei.

121

Muwakilishi wa Kampuni ya Kimataifa ya Ujenzi wa Bandari ya China Bwana Xu Xinpei akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif. Bwana Xu Xinpei ameelezea azma ya Kampuni yake kutaka kuwekeza katika sekta na Bandari na Hoteli ya Kimataifa ya Kitalii hapa Zanzibar.

006

Balozi wa Malawi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani