BARABARA YA MCHEPUO KUPUNGUZA KERO YA FOLENI - KIYEGEYA
![](https://1.bp.blogspot.com/-SI6pcB6kqUA/XmTcb_fg75I/AAAAAAALh58/8ReXqzeH9p8A7sY_V3T5QnnNVBW3HfxSQCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Serikali imeanza kuyaruhusu magari yaliyokwama katika Barabara Kuu ya Dodoma - Morogoro katika eneo la Kiyegeya, wilaya ya Kilosa kupita katika njia ya mchepuo ambayo imejengwa ili kupunguza msongamano mkubwa wa magari uliopo katika barabara hiyo.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, wakati akisimamia hatua za ujenzi wa barabara hiyo ya mchepuo ambapo pamoja na mambo mengine amesema hadi sasa zaidi ya malori 60 yameshavuka katika barabara...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-S6PeOSyl5WA/XmXIJ0uds_I/AAAAAAALiJY/FLAcFS0Oi7YCeqa21bPDg-y0nQAkFwcJwCLcBGAsYHQ/s72-c/d00a83dc-c2ab-49ef-99f4-a3ec467bd88f.jpg)
BARABARA YA MCHEPUO KUPUNGUZA KERO YA FOLENI – KIYEGEYA
![](https://1.bp.blogspot.com/-S6PeOSyl5WA/XmXIJ0uds_I/AAAAAAALiJY/FLAcFS0Oi7YCeqa21bPDg-y0nQAkFwcJwCLcBGAsYHQ/s640/d00a83dc-c2ab-49ef-99f4-a3ec467bd88f.jpg)
Kazi za ujenzi wa barabara ya mchepuo katika eneo la Kiyegeya, Wilaya ya kilosa, mkoani Morogoro zikiendelea. Ujenzi wa barabara hiyo upo katika hatua za mwisho na tayari magari makubwa na madogo yameshaanzakuruhusiwa kupita.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/eade9df7-c28a-4e38-aa13-e113b779285b.jpg)
11 years ago
GPLKERO ZA FOLENI BARABARA YA MOROGORO JIJINI DAR ZAENDELEA KUTESA
5 years ago
MichuziMAJALIWA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MUDA KATIKA ENEO LA KIYEGEYA WILAYANI KILOSA
11 years ago
Mwananchi14 Mar
Roboti kupunguza foleni D’ Salaam
11 years ago
Habarileo18 Feb
Foleni yazidi kuwa kero Dar
TATIZO la foleni katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, limezidi kuwa kero kwa wananchi huku Serikali ikikiri kuumizwa kichwa na hali hiyo na hivyo kuitisha vikao vya mara kwa mara vya wadau wa usafiri kwa lengo la kujadili suala hilo.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-mIjTrk-6oy0/Xl2IhB5q8kI/AAAAAAACz4Y/1oEeGnIYUpY2owUTczOzkXzJSzWvTDhIQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200303_011516.jpg)
10 years ago
Mtanzania04 Feb
Serikali yatakiwa na mpango kupunguza foleni Dar
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
SERIKALI imeshauriwa kuwa na mpango wa miaka 50 hadi 100 utakaosaidia kutatua msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam.
Ushauri huo, umetolewa bungeni jana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa katika taarifa yake ya utekelezaji wa shughuli za kamati hiyo katika kipindi cha kuanzia Januari 2014 hadi Januari 2015.
Akisoma taarifa hiyo, mjumbe wa kamati hiyo, Athuman Mfutakamba, alisema usanifu huo unatakiwa kuangalia ongezeko...
10 years ago
Mwananchi10 Jul
Bandari ya Tanga sasa kupunguza foleni Dar
10 years ago
Mwananchi18 Mar
Japan yatoa Sh27 bilioni kusaidia kupunguza foleni Dar