SEMINA YA MPANGO WA KUPUNGUZA VIFO VYA AJALI YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
Ofisa Mradi wa mpango wa kutekeleza mkakati wa kupunguza vifo vinavyotokana na ajali za barabarani kwa kusisitiza usalama Barabarani unaosimamiwa kwa kushirikiana na Bloomberg (BIGRS), Shirika la afya Duniani (WHO) na Serikali ya Tanzania, Mary Kessi (katikati), akitoa mada kwenye semina hiyo iliyowajumuisha wanahabari na wadau wa sekta ya usafiri inayohusu mpango huo wa utekelezaji wa mkakati huo.
Mtaalamu Mwelekezi, Callie Long kutoka Canada akitoa mada kwenye semina hiyo.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSEMINA YA MPANGO WA KUPUNGUZA VIFO VYA AJALI YAFANYIKA JIJINI DAR
10 years ago
Michuzi21 Jul
WARSHA YA KUPUNGUZA VIFO NA MAJERUHI WA AJALI ZA BARABARANI YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
![????????????????????????????????????](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/169.jpg)
![????????????????????????????????????](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/355.jpg)
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/169.jpg)
WARSHA YA KUPUNGUZA VIFO NA MAJERUHI WA AJALI ZA BARABARANI YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Dewji Blog21 Jul
Warsha ya kupunguza vifo na majeruhi wa ajali za Barabarani yafanyika jijini Dar
Kamishina Msaidizi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Johansen Kahatano akifungua rasmi warsha ya waandishi wa habari ya kupunguza ajali na vifo vinavyotokana na ajali za barabarani iliyoandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la AMEND na kufadhiliwa na Jumuiya ya Umoja wa Ulaya EU warsha hiyo imefanyika kwenye jengo la Umoja House jijini Dar es salaam.
Gianluca Azzon Mwakilishi wa EU Nchini Tanzania, akiwasilisha mada katika warsha ya waandishi wa habari ya kupunguza ajali na vifo...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-CkikTYdzhG8/VTXoYuS7RTI/AAAAAAABsYo/dNVo0pwJHh0/s72-c/RC%2B1.jpg)
RC DAR-ES-SALAAM AZINDUA MPANGO KAZI WA KUHARAKISHA KUPUNGUZA VIFO VYA AKINA MAMA NA WATOTO CHINI YA MIAKA 5 AKEMEA WATUMISHI WAZEMBE.
![](http://4.bp.blogspot.com/-CkikTYdzhG8/VTXoYuS7RTI/AAAAAAABsYo/dNVo0pwJHh0/s1600/RC%2B1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Ox5EJ6YxCIo/VTXobnbwGNI/AAAAAAABsYw/SW7fbO7UJVE/s1600/RC%2B2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-lUR41b1cf4M/VTUqcPW3qoI/AAAAAAAHSJ4/5_j5ZZbHGlo/s72-c/RC%2B-1.jpg)
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AZINDUA MPANGO KAZI WA KUHARAKISHA KUPUNGUZA VIFO VYA AKINA MAMA NA WATOTO CHINI YA MIAKA 5 AKEMEA WATUMISHI WAZEMBE
![](http://3.bp.blogspot.com/-lUR41b1cf4M/VTUqcPW3qoI/AAAAAAAHSJ4/5_j5ZZbHGlo/s1600/RC%2B-1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-8QABSGzpajk/VTUqbE-l-qI/AAAAAAAHSJo/-YY7WKyCtKI/s1600/RC%2B-%2B2.jpg)
11 years ago
MichuziSEMINA YA UWEKEZAJI YA BENKI YA CRDB YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
Dewji Blog15 May
Rais Kikwete azindua mpango mkakati wa kuongeza kasi ya kupunguza Vifo vya Uzazi na vya Watoto leo
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akionesha jedwali la alama za ufuatiliaji wa utendaji wa huduma za afya ya mzazi na mtoto wakati wa uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Kuongeza kasi ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto katika ukumbi wa mikutani wa kimataifa wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni Naibu Waziri wa Afya Dkt Kebwe Sthephen Kebwe.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kitabu Bibi Halima Shariff, mmoja wa wadau wa afya kutoka...