Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SEMINA YA UWEKEZAJI YA BENKI YA CRDB YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Kigoma Malima akifungua semina ya uwekezaji ya Benki ya CRDB iliyofanyika jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha wadau wawekezaji katika sekta ya fedha. 
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa semina ya uwekezaji ya Benki ya CRDB iliyofanyika jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha wadau wawekezaji katika sekta ya fedha.  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Martin Mmari akizungumza wakati wa semina...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SEMINA YA WANAHISA WA BENKI YA CRDB YAFANYIKA ARUSHA

 Mkurugezi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akifungua semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB katika ukumbi wa AICCjijini Arusha leo.  Mwrnyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari akizungumza wakati wa semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB. Mwanahisa akiuliza swali.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

SEMINA YA MPANGO WA KUPUNGUZA VIFO VYA AJALI YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

 Ofisa Mradi wa mpango wa kutekeleza  mkakati wa kupunguza  vifo vinavyotokana na ajali za barabarani kwa kusisitiza usalama  Barabarani unaosimamiwa kwa kushirikiana na  Bloomberg (BIGRS), Shirika la afya Duniani (WHO)  na Serikali ya Tanzania, Mary Kessi (katikati), akitoa mada kwenye semina hiyo iliyowajumuisha wanahabari na wadau wa sekta ya usafiri inayohusu  mpango huo wa utekelezaji wa mkakati huo. Mtaalamu Mwelekezi, Callie Long kutoka Canada akitoa mada kwenye semina hiyo. 

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA UWEKEZAJI YA ULAYA (E.I.B), YAIPIGA JEKI BENKI YA CRDB

BENKI ya CRDB imesaini mkataba wa mkopo wa sh. bilioni 43 baina ya benki ya uwekezaji Ulaya (E.I.B) kwa ajili ya kuwakopesha na kuwasaidia wafanyabiashara wanaofanya shughuli za kukuza uchumi.

Akizungumza jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei alisema benki yake kwa kushirikiana na EIB imeamuwa kusaidia jamii nchini hivyo mkataba huo ni mwanzo wa ushirikiano endelevu utakaohamasisha upatikanaji wa ajira.

Alisema kufanyakazi na benki ya EIB...

 

11 years ago

Michuzi

SEMINA YA WASANII WA MBALIMBALI WA MUZIKI NA FILAMU YAFANYIKA JIJINI DAR

Mkurugenzi Mtendaji Kampuni ya Chief Promotion,Amoni Mkoga akizungumza wakati wa semina ya wasanii wa Muziki pamoja na wale wa Filamu iliofanyika katika ukumbi wa Vijana Kinondoni jijini Dar es Salaam 21 Februari-2014. lengo la semina hiyo ilikuwa ni kuzungumzia hakimili kwa wasanii pamoja na kujiunga na mifuko ya jamii ili kujiwekea akiba ya baadae (kushoto), Afisa Mwandamizi wa Huduma kwa Mlipa Kodi TRA, Msafiri Mbibo (watatu kulia), Kaimu Afisa Kumbumbuku COSOTA Bw Philemon...

 

10 years ago

GPL

SEMINA YA MPANGO WA KUPUNGUZA VIFO VYA AJALI YAFANYIKA JIJINI DAR

 Ofisa Mradi wa mpango wa kutekeleza  mkakati wa kupunguza  vifo vinavyotokana na ajali za barabarani kwa kusisitiza usalama  Barabarani unaosimamiwa kwa kushirikiana na  Bloomberg (BIGRS), Shirika la afya Duniani (WHO)  na Serikali ya Tanzania, Mary Kessi (katikati), akitoa mada kwenye semina hiyo iliyowajumuisha wanahabari na wadau wa sekta ya usafiri inayohusu  mpango huo wa utekelezaji wa mkakati huo. ...

 

10 years ago

Michuzi

SEMINA YA BRN KWA WAKURUGENZI WA WIZARA NA TAASISI YAFANYIKA LEO JIJINI DAR

Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Omari Issa akizungumza wakati wa kikao kilichowakutanisha watendaji waandamizi wa wizara na taasisi mbalimbali zinazotekeleza Mpango huo.Mkurugenzi wa Ukusanyaji Mapato na Sekta za Kiuchumi katika PDB, Bw. Lawrence Mafuru akizungumza wakati wa semina ya kutathmini utekelezaji wa BRN iliyohusisha watendaji waandamizi wa wizara na taasisi mbalimbali zinazohusika na...

 

10 years ago

Michuzi

warsha ya siku moja kujadili mpango mkakati wa Maendeleo wa miaka 25 ya benki ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania yafanyika jijini Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Thomas Samkyi akizungumza katika warsha juu ya kujadili mpango wa maendeleo wa taasisi hiyo kwa miaka 25 ijayo. Warsha hiyo ilifanyika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency, Dar es Salaam.Mkuu wa Mipango, Sera na Ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Francis Assenga akizungumza na wadau katika mkutano huo.Wadau wa sekta ya kilimo, uvuvi na ufugaji wakifuatilia warsha ya mpango wa maendeleo wa miaka 25 wa benki...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YADHAMINI TAMASHA LA MICHEZO NA AFYA JIJINI DAR

Mratibu wa tamasha la michezo na Afya ,Dimo Dembwe (katikati) akiwa ameshikana mikono na waratibu wenzake kama ishara ya umoja wa kufanikisha tamasha hilo. Wakati walipokuwa wakiongea na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa mikutano wa MAELEZO jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto ni Meneja Utawala wa benki ya CRDB, Leevan Maro,Mwandaaji msaidizi wa Tamasha hilo Fakii Majipino,Rais wa TAFF Simon Mwakifuamba na Mratibu wa Tamasha hilo Josephine Kayombo.Tamasha hilo litafanyika jumapili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani