BENKI YA UWEKEZAJI YA ULAYA (E.I.B), YAIPIGA JEKI BENKI YA CRDB
BENKI ya CRDB imesaini mkataba wa mkopo wa sh. bilioni 43 baina ya benki ya uwekezaji Ulaya (E.I.B) kwa ajili ya kuwakopesha na kuwasaidia wafanyabiashara wanaofanya shughuli za kukuza uchumi.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei alisema benki yake kwa kushirikiana na EIB imeamuwa kusaidia jamii nchini hivyo mkataba huo ni mwanzo wa ushirikiano endelevu utakaohamasisha upatikanaji wa ajira.
Alisema kufanyakazi na benki ya EIB...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziBENKI YA NIC YAIPIGA JEKI HOSPITALI YA MEDEWELL, ILIYOPO KIBAHA MKOANI PWANI
11 years ago
MichuziSEMINA YA UWEKEZAJI YA BENKI YA CRDB YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa semina ya uwekezaji ya Benki ya CRDB iliyofanyika jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha wadau wawekezaji katika sekta ya fedha. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Martin Mmari akizungumza wakati wa semina...
10 years ago
MichuziCRDB YAIPIGA 'JEKI' CHUO KIKUU CHA ST JOHN'S DODOMA
Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya CRDB, Philip Alfred akihutubia wakati wa Mahafali ya 5 ya Chuo Kikuu cha St. John's Mjini Dodoma mwishoni mwa wiki. (Na Mpiga Picha Wetu)
Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dodoma, Dickson Chilongani (kushoto), akikabidhiwa na Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya CRDB, Philip Alfred, mfano wa hundi na bahasha mara baada ya hotuba. Hundi hiyo ina thamani ya hundi ya sh. milioni 10 ukiwa ni msaada wa benki hiyo kwa Chuo Kikuu cha St. John's...
11 years ago
Dewji Blog12 Apr
CRDB yaipiga jeki ubalozi wa Tanzania Marekani kwa ajili ya maandalizi ya sherehe za Muungano
11 years ago
GPLCRDB YAIPIGA JEKI UBALOZI WA TANZANIA MAREKANI KWA AJILI YA MAANDALIZI YA SHEREHE YA MUUNGANO
9 years ago
Dewji Blog06 Oct
Benki ya CRDB yampa tunzo Mohammed Dewji ‘MO’ kwa ushiriki mkubwa wa benki hiyo katika wiki ya huduma kwa wateja
Meneja wa Benki ya CRDB wa tawi la Water Front, Donath Shirima akimpa tunzo pamoja na barua ya kumshukuru Afisa Mtendaji mkuu wa Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL GROUP), Mohammed Dewji ‘Mo’ kuwa ni mshiriki mkubwa wa benki ya CRDB katika tawi la Water Front wakati wa kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika katika ofisi za MeTL GROUP, jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji mkuu wa Mohammed enterprises Tanzania Limited (MeTL GROUP), Mo dewji akionyesha barua ya...
9 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAKISHIRIKI MICHEZO MBALIMBALI KATIKA SIKU YA FAMILIA YA CRDB
Watoto wakifurahia michezo mbalimbali katika viwanja vya Olasiti Garden
leo katika sherehe za siku ya familia ya CRDB ambazo hufanyika kila mwaka
na kuhudhuriwa na familia za wafnayakazi wa benki pamoja na familia za
wateja. Malindi band ya mkoani kilimanjaro ikitumbuiza sherehe za siku ya familia ya CRDB ambazo hufanyika kila mwaka na kuhudhuriwa na familia za wafanyakazi wa benki pamoja na familia za wateja.Mfanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la USA akikabidhi zawadi kwa mtoto.
KWA PICHA...
11 years ago
MichuziBenki ya Posta yaipiga tafu Taswa SC
10 years ago
MichuziBenki ya NBC yawapiga jeki vijana na kuwakumbuka yatima