CRDB YAIPIGA 'JEKI' CHUO KIKUU CHA ST JOHN'S DODOMA
Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya CRDB, Philip Alfred akihutubia wakati wa Mahafali ya 5 ya Chuo Kikuu cha St. John's Mjini Dodoma mwishoni mwa wiki. (Na Mpiga Picha Wetu)
Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dodoma, Dickson Chilongani (kushoto), akikabidhiwa na Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya CRDB, Philip Alfred, mfano wa hundi na bahasha mara baada ya hotuba. Hundi hiyo ina thamani ya hundi ya sh. milioni 10 ukiwa ni msaada wa benki hiyo kwa Chuo Kikuu cha St. John's...
Michuzi