Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI INA DHAMIRA YA DHATI KUONDOA UZEMBE NA UBADHILIFU MIONGONI MWA WATUMISHI-MHE HASUNGA

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Kilimo katika ukumbi wa TPRI Jijini Arusha, leo tarehe 16 Machi 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)


Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Kusaya akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kwa ajili ya ufunguzi wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Kilimo katika ukumbi wa TPRI Jijini Arusha, leo tarehe 16 Machi 2020.

Waziri wa Kilimo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali ina dhamira ya kumaliza foleni Dar?

Kwa siku mbili mfululizo gazeti hili limechapisha habari maalumu jinsi foleni za magari jijini Dar es Salaam zilivyofikia kiwango cha kutisha na kusababisha madhara makubwa kiuchumi, kijamii na kiafya, ikiwamo magonjwa ya akili.

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali ya awamu ya nne yafanikiwa kuimarisha umoja, amani na utulivu miongoni mwa wananchi

1

Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Angelina Madete akiwaeleza waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya serikali ya nne ikiwamo kujenga umoja, amani na utulivu miongoni mwa wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira, Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Richard Muyungi.

2

Mkurugenzi wa Muungano, Ofisi ya Makamu wa Rais Bw....

 

11 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Angellah Kairuki na mmiliki wa Bongo5 wachaguliwa kuwa miongoni mwa viongozi vijana duniani ‘Young Global Leaders 2014

 Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Angellah Kairuki  (kushoto) pamoja na Mwanzilishi na Mwenyekiti Mtendaji (CEO) wa Bongo5 Media Group na Jefag Logistics Tanzania Ltd, Luca Neghesti (chini) wameteuliwa kuwa miongoni mwa viongozi vijana duniani, ‘Young Global Leaders 2014’   Watanzania hao wawili wameingia kwenye jopo hilo ambalo mwaka huu linaundwa na vijana 214 kutoka nchi 66 duniani kutoka serikalini na makampuni binafsi.  Mwaka huu Afrika ina wawakilishi 19 peke yake.   Idadi hiyo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Watoto 14 na mama mjamzito ni miongoni mwa waliouawa

Hakuna kundi lililothibitisha kufanya shambulio japo upinzania unailaumu serikali.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wakenya na Watanzania miongoni mwa waliofariki Mecca

Mahujaji watatu kutoka Kenya ni miongoni mwa watu 717 waliofariki kwenye mkanyagano Mecca, afisa wa serikali ya Kenya amesema.

 

10 years ago

Vijimambo

Mbunge wa zamani miongoni mwa waliofariki ajalini Mbwewe.


Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Juma Ndaki.

Mbunge wa zamani wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Mussa Lupatu ni miongoni mwa waliofariki katika ajali ya basi kijiji cha Mbwewe, Mkata wilayani hapa.

Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Juma Ndaki, Lupatu alipata ajali hiyo akitokea Kibaha kuelekea Korogwe kumpeleka mwanae, Idrisa Lupatu, ambaye naye ni marehemu kupatiwa matibabu ya ugonjwa wa akili.

Wengine waliyotajwa kufariki katika ajali hiyo ni karani wa Mahakama ya Ardhi...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA KILIMO MHE JAPHET HASUNGA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU MSAAFU MHE MIZENGO PINDA, NYUMBANI KWAKE JIJINI DODOMA

Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa Mhe Mizengo Peter Pinda akimtembeza Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) kujionea mashamba ya zabibu alipozuru katika eneo la Zuzu leo tarehe 7 Aprili 2020 Jijini Dodoma. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa Mhe Mizengo Peter Pinda akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb)...

 

5 years ago

BBCSwahili

Malawi sasa ni miongoni mwa nchi za Afrika zinazoikubali bangi kisheria

Malawi imekua nchi ya hivi karibuni iliyoko Kusini mwa Afrika kuhalalisha kisheria ukulima na uuzaji wa ndani na nje wa bangi.

 

10 years ago

Bongo5

Diamond atajwa na Channel O miongoni mwa wasanii walioubadilisha muziki wa Afrika

Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii waliobadilisha muziki wa Afrika, kwa mujibu wa kipindi cha Top 10 Most cha Channel O. Kituo hicho kimemweka Diamond katika nafasi ya 10 pamoja na Fally Ipupa kwa wimbo wake Number One aliomshirikisha Davido. Hii ni orodha nzima. 10. Diamond na Fally Ipupa 9.Mafikizolo na Flavour 8.Ice Prince na […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani