Wakenya na Watanzania miongoni mwa waliofariki Mecca
Mahujaji watatu kutoka Kenya ni miongoni mwa watu 717 waliofariki kwenye mkanyagano Mecca, afisa wa serikali ya Kenya amesema.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo11 Apr
Mbunge wa zamani miongoni mwa waliofariki ajalini Mbwewe.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Juma Ndaki.
Mbunge wa zamani wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Mussa Lupatu ni miongoni mwa waliofariki katika ajali ya basi kijiji cha Mbwewe, Mkata wilayani hapa.
Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Juma Ndaki, Lupatu alipata ajali hiyo akitokea Kibaha kuelekea Korogwe kumpeleka mwanae, Idrisa Lupatu, ambaye naye ni marehemu kupatiwa matibabu ya ugonjwa wa akili.
Wengine waliyotajwa kufariki katika ajali hiyo ni karani wa Mahakama ya Ardhi...
5 years ago
CCM Blog31 Mar
MADAKTARI WATATU WA KIISLAMU NI MIONGONI MWA WAHANGA WA MWANZO WALIOFARIKI KWA CORONA NCHINI UINGEREZA
Viongozi wa serikali ya Uingereza wamesema kuwa, katika vifo vya mwanzo vilivyotokana na virusi vya Corona katika safu ya madaktari nchini humo, ni pamoja na madaktari watatu Waislamu.Taarifa iliyotolewa na maafisa wa Uingereza imebainisha kuwa, madaktari hao Waislamu waliopoteza maisha katika safu ya mwanzo ya vifo vya madaktari, ni wahajiri. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mmoja wa madaktari hao watatu wa Kiislamu waliopoteza maisha kwa ugonjwa wa Covid-19 kabla ya kuenea virusi hivyo alikuwa...
9 years ago
BBCSwahili29 Sep
Mataifa yashuku idadi ya waliofariki Mecca
Maafisa katika mataifa kadha wamesema zaidi ya watu 1,000 walifariki kwenye mkanyagano Mecca wakati wa kuhiji wiki iliyopita.
5 years ago
BBCSwahili17 Feb
Watoto 14 na mama mjamzito ni miongoni mwa waliouawa
Hakuna kundi lililothibitisha kufanya shambulio japo upinzania unailaumu serikali.
10 years ago
Bongo527 Oct
Diamond atajwa na Channel O miongoni mwa wasanii walioubadilisha muziki wa Afrika
Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii waliobadilisha muziki wa Afrika, kwa mujibu wa kipindi cha Top 10 Most cha Channel O. Kituo hicho kimemweka Diamond katika nafasi ya 10 pamoja na Fally Ipupa kwa wimbo wake Number One aliomshirikisha Davido. Hii ni orodha nzima. 10. Diamond na Fally Ipupa 9.Mafikizolo na Flavour 8.Ice Prince na […]
5 years ago
BBCSwahili28 Feb
Malawi sasa ni miongoni mwa nchi za Afrika zinazoikubali bangi kisheria
Malawi imekua nchi ya hivi karibuni iliyoko Kusini mwa Afrika kuhalalisha kisheria ukulima na uuzaji wa ndani na nje wa bangi.
10 years ago
Bongo526 Nov
Flaviana Matata na Gado watajwa miongoni mwa Waafrika wenye ushawishi 2014
Mwanamitindo wa kimataifa, Flaviana Matata na mchoraji mahiri wa vibonzo anayefanyia kazi nchini Kenya, Godfrey ‘Gado’ Mwampembwa, wametajwa na jarida la New Africa kwenye orodha ya mwaka 2014 ya Waafrika wenye ushawishi zaidi. Flaviana ameungana na muigizaji wa Kenya, Lupita Nyong’o kwenye orodha hiyo yenye wanawake 40. Thanks,I am humbled"@CNsekela: @iGaddo FlavianaMatata Congrats to our […]
11 years ago
Dewji Blog08 Jun
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Nigeria ni miongoni mwa nchi zilizo hatari ulimwenguni kwa wanawake kuishi
Nigeria ni nchi ya 9 hatari ulimwenguni kwa usalama wa wanawake
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania