Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADAKTARI WATATU WA KIISLAMU NI MIONGONI MWA WAHANGA WA MWANZO WALIOFARIKI KWA CORONA NCHINI UINGEREZA

Madaktari watatu wa Kiislamu ni miongoni mwa wahanga wa mwanzo waliofariki kwa Corona nchini Uingereza
Viongozi wa serikali ya Uingereza wamesema kuwa, katika vifo vya mwanzo vilivyotokana na virusi vya Corona katika safu ya madaktari nchini humo, ni pamoja na madaktari watatu Waislamu.Taarifa iliyotolewa na maafisa wa Uingereza imebainisha kuwa, madaktari hao Waislamu waliopoteza maisha katika safu ya mwanzo ya vifo vya madaktari, ni wahajiri. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mmoja wa madaktari hao watatu wa Kiislamu waliopoteza maisha kwa ugonjwa wa Covid-19 kabla ya kuenea virusi hivyo alikuwa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Wakenya na Watanzania miongoni mwa waliofariki Mecca

Mahujaji watatu kutoka Kenya ni miongoni mwa watu 717 waliofariki kwenye mkanyagano Mecca, afisa wa serikali ya Kenya amesema.

 

10 years ago

Vijimambo

Mbunge wa zamani miongoni mwa waliofariki ajalini Mbwewe.


Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Juma Ndaki.

Mbunge wa zamani wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Mussa Lupatu ni miongoni mwa waliofariki katika ajali ya basi kijiji cha Mbwewe, Mkata wilayani hapa.

Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Juma Ndaki, Lupatu alipata ajali hiyo akitokea Kibaha kuelekea Korogwe kumpeleka mwanae, Idrisa Lupatu, ambaye naye ni marehemu kupatiwa matibabu ya ugonjwa wa akili.

Wengine waliyotajwa kufariki katika ajali hiyo ni karani wa Mahakama ya Ardhi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwa nini virusi vya corona husambaa haraka miongoni mwa wanadamu

Virusi hivi hatari kwa jina SARS-CoV-2, tayari vimesambaa katika kila nchi duniani na vimeambukiza zaidi ya nusu milioni ya watu tangu vilipotambulika nchini China mwezi Disemba 2019.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mtoto wa miezi 10 miongoni mwa visa vipya vya virusi vya corona Rwanda

Wizara ya afya nchini Rwanda imetangaza kuwa watu wengine sita wameambukizwa virusi vya corona miongoni mwao mtoto mchanga.

 

5 years ago

BBCSwahili

Nigeria ni miongoni mwa nchi zilizo hatari ulimwenguni kwa wanawake kuishi

Nigeria ni nchi ya 9 hatari ulimwenguni kwa usalama wa wanawake

 

5 years ago

Michuzi

UGONJWA WA MATUNDU KWENYE MOYO NI MIONGONI MWA MAGONJWA HATARISHI KWA WATOTO WACHANGA


NA PATRICIA KIMELEMETA

UGONJWA wa matundu kwenye moyo kwa watoto wachanga ni miongoni mwa magonjwa hatarishi ambayo yanaweza kusababisha udumavu au wakati mwingine kifo Kwa mtoto.

Ugonjwa huo ambao unaathiri kuta za ventrikali za moyo au kwa kitaalamu ujulikana kama (Ventricular Septal Defect) (VSD) unashambulia moyo wa mtoto jambo ambalo linaweza kumuongezea maradhi mengine.

Mtoto mwenye matatizo hayo,anaweza kubainika mara baada ya kufanyiwa vipimo ambapo kwa sasa hali inaonyesha kuwa,...

 

5 years ago

BBCSwahili

Watoto 14 na mama mjamzito ni miongoni mwa waliouawa

Hakuna kundi lililothibitisha kufanya shambulio japo upinzania unailaumu serikali.

 

5 years ago

CCM Blog

MADAKTARI NA MANESI 1700 NCHINI CHINA WAATHIRIKA NA VIRUSI CORONA

Zaidi ya madaktari na manesi 1700 nchini China wameathirika na virusi vya CoronaKamisheni ya Afya ya Kitaifa nchini China amesema kuwa, zaidi ya madaktari na manesi 1700 wameathirika na virusi vya Corona nchini humo.Taaifa iliyotolewa na kamisheni hiyo jana Ijumaa mjini Beijing imebaini kuwa zaidi ya watu 1,500 kati ya madaktari na manesi hao, wamelazwa katika hospitali ya mkoa wa Hubei ambapo 1,102 miongoni mwao waliambukizwa virusi hivyo katika mji wa Wuhan, makao makuu ya mkoa huo. Taarifa hiyo hiyo imeongeza kuwa idadi ya maafisa hao wa afya walioambukizwa virusi...

 

10 years ago

Bongo5

Diamond atajwa na Channel O miongoni mwa wasanii walioubadilisha muziki wa Afrika

Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii waliobadilisha muziki wa Afrika, kwa mujibu wa kipindi cha Top 10 Most cha Channel O. Kituo hicho kimemweka Diamond katika nafasi ya 10 pamoja na Fally Ipupa kwa wimbo wake Number One aliomshirikisha Davido. Hii ni orodha nzima. 10. Diamond na Fally Ipupa 9.Mafikizolo na Flavour 8.Ice Prince na […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani