Pinda ahoji Tanganyika inayotakiwa
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amekiri kuwa Bunge Maalumu la Katiba, limeanza na changamoto, huku akihoji wanaotaka Serikali ya Tanganyika, wanakusudia ipi ya mkoloni au ya baada ya uhuru ya miaka mitatu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Kafulila ahoji ukimya wa Waziri Mkuu Pinda
11 years ago
Habarileo15 May
Pinda ahoji dhamira kumaliza tatizo la madawati
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameeleza kushangazwa na hatua ya wakurugenzi, mameya na wenyeviti wa halmashauri nchini kushindwa kutengeneza madawati ili kuwaokoa watoto kutokaa sakafuni, huku vijana wanaoshiriki shindano la Maisha Plus wameweza kutengeneza madawati 30 kwa muda mfupi waliokaa katika kijiji walichopo wilayani Bagamoyo.
11 years ago
Habarileo01 Aug
Sumaye ahoji usalama wa Muungano
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, amehoji kama Muungano wa Tanzania utakuwa salama, ikiwa Katiba mpya itaunda Muungano wa serikali tatu.
10 years ago
Vijimambo21 May
Mbunge ahoji hekalu la mwenzake kutobomolewa.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Easter-21May2015.jpg)
Mbunge wa Viti Maalum, Ester Bulaya (CCM) (pichani), ameishambulia Serikali hususani Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (Nemc) kuwa ndumila kuwili kwa kushindwa kubomoa hekalu lililojengwa eneo la Mbezi Beach, Dar es Salaam.
Bila kumtaja anayemiliki hekalu hilo, Esther alisema kuwa baadhi ya watu waliojenga majumba katika maneo yasiyoruhusiwa kisheria, wameketi upande wa kulia na kushoto kwake bungeni humo.
Alisema hayo wakati...
11 years ago
Mwananchi31 Jan
Mshtakiwa ahoji mkuu wa magereza kuwahoji
10 years ago
Mtanzania28 Jan
Wenje ahoji utekelezaji maazimio ya Bunge
NA MAREGESI PAUL, DODOMA
MBUNGE wa Nyamagana, Ezekiah Wenje (Chadema), amehoji sababu ya ratiba ya Bunge la 18 lililoanza jana mjini hapa, kutoonyesha kama Serikali itawasilisha ripoti ya utekelezaji wa maazimio manane ya Bunge juu ya fedha zilizochotwa katika Akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Wenje alitoa kauli hiyo jana baada ya kuomba mwongozo wa spika, akihoji utekelezaji wa maazimio hayo yaliyopendekezwa na Bunge lililopita.
“Mheshimiwa Spika, ukiangalia...
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Mbunge ahoji rushwa za TRA bandarini
MBUNGE wa Viti Maalumu Dk. Pudenciana Kikwembe (CCM), jana aliihoji serikali akitaka kujua namna ilivyopunguza rushwa kupitia Mamlaka ya Mapato (TRA) upande wa bandari tangu kuanzishwa kwa mfumo mpya wa...
11 years ago
Habarileo16 May
Mbunge ahoji udhibiti wa dawa feki
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua za kisheria kwa wafanyabiashara na kampuni ambazo zimekuwa zikiingiza dawa bandia za binadamu. Alitoa kauli hiyo bungeni leo wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Kilwa Kaskazini Murtaza Mangungu (CCM).
10 years ago
BBCSwahili07 Nov
Rugby Wembly? ahoji Roy Hodgson