Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumaye ahoji usalama wa Muungano

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, amehoji kama Muungano wa Tanzania utakuwa salama, ikiwa Katiba mpya itaunda Muungano wa serikali tatu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mbunge ahoji mawasiliano baina ya Bunge la E.A na la Muungano

 Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema kwa kipindi cha miaka miwili iliyopita, hakukuwa na utaratibu wa kuwasiliana kati ya wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki na wale wa Jamhuri ya Muungano.

 

10 years ago

Habarileo

Sumaye: Si kosa Muungano kuharibu mchakato wa Katiba

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema si sahihi wala si haki, kutumia hoja ya Muungano ambayo zaidi ya asilimia 86 hawakuizungumza wakati wa kutoa maoni ya Katiba mpya, kuharibu au kusimamisha mchakato wa Katiba mpya.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanganyika kuwamo ndani ya Katiba ya Muungano bila Zanzibar ni kuua Muungano

Leo nijikite katika kuongeza uelewa juu ya tofauti iliyopo kati ya mambo ya muungano na yasiyo ya muungano. Nchi yetu inatokana na muungano wa zilizokuwa nchi mbili huru kwa maana ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, ambazo ziliwezesha kuundwa kwa nchi mpya, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ASHUHUDIA KUSAINIWA KWA MAKUBALIANO YA MWENDELEZO WA KAMPENI ZA USALAMA BARABARANI BAINA YA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA,JESHI LA POLISI NA VODACOM TANZANIA

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani nchini, Mhe. Pereira Ame Silima (Mb.) (wa kwanza toka kushoto) akimweleza jambo Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania, Abigail Ambweni (wa tatu toka kushoto) wakati Baraza hili lilipotia saini makubaliano na kampuni hiyo kuendeleza ushirikiano katika kampeni za usalama barabarani ambazo Vodacom imekuwa ikidhamini tangu mwaka 2014. Akisikiliza pia ni Katibu Mtendaji wa Baraza hilo na Kamanda...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA AMANI NA USALAMA WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA JIJNI NAIROBI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta jijini Nairobi leo kujiunga na viongozi wengine wanaounda Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa Afrika (AU) kwenye mkutano wa kuzungumzia masuala ya tioshio la ugaidi linalolikabili bara hilo na dunia kwa ujumla. Inspekta Jenerali wa Polisi Ernest Mangu na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wakielekea kwenye ukumbi wa mikutano katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta...

 

11 years ago

Habarileo

Pinda ahoji Tanganyika inayotakiwa

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amekiri kuwa Bunge Maalumu la Katiba, limeanza na changamoto, huku akihoji wanaotaka Serikali ya Tanganyika, wanakusudia ipi ya mkoloni au ya baada ya uhuru ya miaka mitatu.

 

11 years ago

GPL

AIRTEL, BARAZA LA USALAMA BARABARANI KUHAMASISHA USALAMA BARABARANI MSIMU WA SIKUKUU‏

Meneja wa huduma za kijamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia) akisisitiza juu ya umuhimu wa wananchi kujikinga na ajali za barabarani kwenye msimu huu wa sikukuu leo wakati wa kikao na waandishi wa habari kilichofanyika makao makuu ya Airtel jijini Dar es salaam.  Katikati ni Katibu Mtendaji wa Baraza na Kamanda mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani cha Tanzania, DCP Mohammed Mpinga akifuatiwa na Balozi wa kampeni za...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rugby Wembly? ahoji Roy Hodgson

Kocha wa timu ya soka ya England Roy Hodgson amehoji uamuzi wa chama cha soka nchini humo FA kuruhusu mechi ya Rugby Wembly

 

10 years ago

Habarileo

DC ahoji ahadi ya ununuzi wa mpunga isiyotekelezeka

MKUU wa wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, Anthony Mtaka, ameikumbusha Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika kutekeleza ahadi ambayo imeitoa kwa wakulima wa wilaya hiyo kuwa itanunua tani 3,000 za mpunga na mahindi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani