Mbunge ahoji mawasiliano baina ya Bunge la E.A na la Muungano
 Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema kwa kipindi cha miaka miwili iliyopita, hakukuwa na utaratibu wa kuwasiliana kati ya wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki na wale wa Jamhuri ya Muungano.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo01 Aug
Sumaye ahoji usalama wa Muungano
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, amehoji kama Muungano wa Tanzania utakuwa salama, ikiwa Katiba mpya itaunda Muungano wa serikali tatu.
10 years ago
Vijimambo21 May
Mbunge ahoji hekalu la mwenzake kutobomolewa.
Mbunge wa Viti Maalum, Ester Bulaya (CCM) (pichani), ameishambulia Serikali hususani Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (Nemc) kuwa ndumila kuwili kwa kushindwa kubomoa hekalu lililojengwa eneo la Mbezi Beach, Dar es Salaam.
Bila kumtaja anayemiliki hekalu hilo, Esther alisema kuwa baadhi ya watu waliojenga majumba katika maneo yasiyoruhusiwa kisheria, wameketi upande wa kulia na kushoto kwake bungeni humo.
Alisema hayo wakati...
11 years ago
Tanzania Daima31 May
Mbunge ahoji hatma zao la mkonge
MBUNGE wa Korogwe Mjini, Yusufu Nassir (CCM), ameitaka serikali ieleze ni hatua gani zimechukuliwa juu ya kauli iliyotolewa kuhusu hatma ya zao la mkonge na wafanyakazi wa mashamba kuhusu mafao...
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Mbunge ahoji rushwa za TRA bandarini
MBUNGE wa Viti Maalumu Dk. Pudenciana Kikwembe (CCM), jana aliihoji serikali akitaka kujua namna ilivyopunguza rushwa kupitia Mamlaka ya Mapato (TRA) upande wa bandari tangu kuanzishwa kwa mfumo mpya wa...
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Mbunge ahoji polisi kubanwa kujiendeleza
MBUNGE wa Viti Maalumu, Conchesta Rwamlaza (CHADEMA) ametaka kujua sababu za Jeshi la Polisi na Magereza kuwanyima askari wake kujiendeleza kwa ngazi ya elimu ya juu. Akiuliza swali bungeni jana,...
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Mbunge ahoji uteketezaji mbolea feki
MBUNGE wa Kiembe Samaki, Waride Bakari Jabu (CCM) ameihoji serikali ina utaratibu gani wa kuteketeza mbolea feki ambazo zimekuwa zikiingizwa nchini. Waride alitoa kauli hiyo bungeni jana alipokuwa akiuliza swali...
11 years ago
Habarileo16 May
Mbunge ahoji udhibiti wa dawa feki
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua za kisheria kwa wafanyabiashara na kampuni ambazo zimekuwa zikiingiza dawa bandia za binadamu. Alitoa kauli hiyo bungeni leo wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Kilwa Kaskazini Murtaza Mangungu (CCM).
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Mbunge ahoji fidia kwa wakazi wa Malolo
MBUNGE wa Mikumi, Abdulsalaam Ameir (CCM). ameitaka serikali kueleza lini itawalipa fidia wananchi wa Kata ya Malolo walioathiriwa mazao yao kutokana na upanuzi wa bomba la mafuta la Kampuni ya...
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Mbunge ahoji utekelezaji ahadi kwenye kampeni
MBUNGE wa Viti Maalumu, Pauline Gekul (CHADEMA), ameihoji serikali kama ni halali kwa mgombea kutekeleza ahadi alizozitoa siku za nyuma wakati kampeni zikiendelea katika uchaguzi mdogo. Akiuliza swali bungeni jana,...