Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mshtakiwa ahoji mkuu wa magereza kuwahoji

Mshtakiwa mmoja kati ya 10 wanaokabiliwa na kesi ya mauaji ya kukusudia ya aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,Dk Sengondo Mvungi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu amedai hawana imani na mkuu wa magereza kutokana na kuwahoji vitu wasivyovielewa kuhusiana na kesi yao wakati wakiwa gerezani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Kuelekea uchaguzi mkuu Wananchi watakiwa kuwahoji wagombea Wao

Zikiwa zimesalia siku chache kupiga kura, watanzania wamekumbushwa  kuendelea kuwahoji wagombea katika dakika hizi za lala salama ili waweze kumbaini mgombea mwenyenia ya kuleta maendeleo ya kweli.

Kitendo cha kuwahoji wagombea bila kujali itikadi ya vyama vyao kinatoa fursa kwa wananchi kumtambua kila mgombea  katika kuchochea mabadiliko.

 Ni katika mdahalo ulioandaliwa na taasisi ya Wazo huru ukiwakutanisha wabunge wa jimbo la Nyamagana lengo likiwa ni kushindanisha sera za vyama...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA MINJA AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA ALIYEKUWA AFISA MNADHIMU MKUU MSAIDIZI WA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DARES SALAAM

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akisaini katika Kitabu cha Maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa Afisa Mnadhimu Mkuu Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Stephen Nzawila ambaye amefariki Jumapili tarehe 19 Oktoba, 2014 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam.Mwili wa aliyekuwa Afisa Mnadhimu Mkuu Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Stephen Nzawila ukiwa umebebwa na Maafisa Waandamizi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kafulila ahoji ukimya wa Waziri Mkuu Pinda

Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila amesema sehemu kubwa ya udhaifu wa kiutendaji katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unachangiwa na ukimya wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU AHOJI KUSHUKA KIWANGO CHA UFAULU SHINYANGA


Naibu Katibu Mkuu anayeshughulika Elimu OR-TAMISEMI, Gerald Mweli akizungumza wakati wa ziara ya kikazi Mkoani Shinyanga.
NAIBU Katibu mkuu wa TAMIS Katibu Mkuu anayeshughulika Elimu OR-TAMISEMI Gerald Mweli amehoji kushuka kwa kiwango cha ufaulu kwa Mkoa wa Shinyanga Kitaifa kutoka nafasi ya 3 kwa mwaka 2018 hadi nafasi ya 13 kwa mwaka 2019.
Akizungumza katika ziara yake ya kikazi Mkoani humo amesema haiwezekani kwa kipindi cha mwaka mmoja Mkoa huo kuporomoka kitaaluma kwa kiwango hicho ...

 

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, SULEIMAN MZEE AWAFUNDA WAKUU WA MAGEREZA ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI KUHAKIKISHA WANASIMAMIA AGENDA YA MABADILIKO NDANI YA JESHI LA MAGEREZA


Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akitoa maelekezo maalum leo Mei 04, 2020  katika kikao kazi cha Maafisa wa Jeshi la Magereza walioteuliwa hivi karibuni kushika nyadhifa mbalimbali katika Jeshi hilo wakiwemo wakuu wa magereza, Boharia Mkuu wa Jeshi ambapo Jenerali Mzee amewataka kuhakikisha kuwa wanasimamia ipasavyo Agenda ya mabadiliko ndani ya Jeshi la Magereza.Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akiwa meza kuu pamoja na Viongozi Waandamizi wa...

 

10 years ago

Michuzi

TANZIA- MKUU WA MAGEREZA MKOA WA SHINYANGA AFARIKI DUNIA


                                                Marehemu SACP Aneth Laurent  enzi za uhai wake
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, John Casmir Minja anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkuu wa Magereza Mkoa wa Shinyanga, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza - SACP Aneth Laurent kilichotokea jana Julai 30, 2015 katika Hospitali ya Rufaa Bugando Jijini Mwanza.Kamishna Jenerali wa Magereza anatoa pole kwa Watumishi wote wa Jeshi la Magereza nchini, familia na wale wote...

 

10 years ago

GPL

MAZISHI YA KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA YAFANYIKA MOSHI

Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakiweka jeneza la Marehemu Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza, Onel Malisa kwenye nyumba yake ya milele. Mazishi hayo yamefanyika jana Juni 05, 2015 katika kijiji cha Kidia, Old Moshi Mkoani Kilimanjaro. Jeneza la Marehemu Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza, Onel Malisa likiwa tayari limewekwa kwenye nyumba yake ya Milele.… ...

 

10 years ago

Michuzi

WASIFU WA MAREHEMU KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA - ONEL E. MALISA

 Marehemu alizaliwa mwaka 1944 katika kijiji cha Kidia, Old Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro.  Alipata elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Kidia mwaka 1951 – 1954 na baadae Shule ya Msingi Kidia Juu (Kidia Upper Primary School) mwaka1955 – 1958.    Alihitimu Elimu ya Sekondari Kidato cha Nne mwaka 1974 katika Shule ya Sekondari Mawenzi akiwa mtahiniwa wa kujitegemea (Private Candate). Aidha, alisoma Cheti cha Sheria Chuo Kikuu cha D’Salaam mwaka 1975 – 1976 na baadaye Shahada ya Kwanza ya...

 

10 years ago

Vijimambo

WASIFU WA KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA, MAREHEMU ONEL ELIAS MALISA

Marehemu alizaliwa mwaka 1944 katika kijiji cha Kidia, Old Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro.  Alipata elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Kidia mwaka 1951 – 1954 na baadae Shule ya Msingi Kidia Juu (Kidia Upper Primary School) mwaka1955 – 1958.  Alihitimu Elimu ya Sekondari Kidato cha Nne mwaka 1974 katika Shule ya Sekondari Mawenzi akiwa mtahiniwa wa kujitegemea (Private Candate). Aidha, alisoma Cheti cha Sheria Chuo Kikuu cha D’Salaam mwaka 1975 – 1976 na baadaye Shahada ya Kwanza ya Sheria...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani