WASIFU WA MAREHEMU KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA - ONEL E. MALISA
![](http://3.bp.blogspot.com/-x0JlKu4BoJs/VW780jOMlTI/AAAAAAAHbtM/bpp2BxrInGA/s72-c/unnamed4.jpg)
Marehemu alizaliwa mwaka 1944 katika kijiji cha Kidia, Old Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro. Alipata elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Kidia mwaka 1951 – 1954 na baadae Shule ya Msingi Kidia Juu (Kidia Upper Primary School) mwaka1955 – 1958. Alihitimu Elimu ya Sekondari Kidato cha Nne mwaka 1974 katika Shule ya Sekondari Mawenzi akiwa mtahiniwa wa kujitegemea (Private Candate). Aidha, alisoma Cheti cha Sheria Chuo Kikuu cha D’Salaam mwaka 1975 – 1976 na baadaye Shahada ya Kwanza ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo04 Jun
WASIFU WA KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA, MAREHEMU ONEL ELIAS MALISA
10 years ago
Michuzi06 Jun
MAZISHI YA MAREHEMU KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA, ONEL MALISA YAFANYIKA OLD MOSHI MKOANI KILIMANJARO
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/155.jpg)
![4](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/434.jpg)
10 years ago
MichuziMH. CHIKAWE AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA MAREHEMU KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA, ONEL MALISA JIJINI DAR
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA MAREHEMU KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA, ONEL MALISA JIJINI DAR
10 years ago
MichuziWAZIRI CHIKAWE AONGOZA KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA, ONEL MALISA.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BYFBgNpMDMRH2pmgx1vp7dPDREsZkAwZsqhLAGM5-khdDP5dQBTAJp9F0Q6VRdzaFum1XUS0-LFzkJpYUp9-Zasd*pBGpvBO/240.jpg)
MAZISHI YA KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA YAFANYIKA MOSHI
10 years ago
VijimamboKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA MINJA AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA ALIYEKUWA AFISA MNADHIMU MKUU MSAIDIZI WA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DARES SALAAM
9 years ago
MichuziKAMISHNA JENERALI WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI AONGOZA KIKAO MAALUM CHA KUPITIA RASIMU YA MPANGO WA WA JESHI LA MAGEREZA KUJITOSHELEZA CHAKULA, JIJINI DAR
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_fb0ohBDGvU/Xq_39J1iJVI/AAAAAAALpBo/lbkuGvYHPrIVQfhIzt-m35H_kaxA7A--ACLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-1AA-768x529.jpg)
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, SULEIMAN MZEE AWAFUNDA WAKUU WA MAGEREZA ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI KUHAKIKISHA WANASIMAMIA AGENDA YA MABADILIKO NDANI YA JESHI LA MAGEREZA
![](https://1.bp.blogspot.com/-_fb0ohBDGvU/Xq_39J1iJVI/AAAAAAALpBo/lbkuGvYHPrIVQfhIzt-m35H_kaxA7A--ACLcBGAsYHQ/s640/PIX-1AA-768x529.jpg)
Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akitoa maelekezo maalum leo Mei 04, 2020 katika kikao kazi cha Maafisa wa Jeshi la Magereza walioteuliwa hivi karibuni kushika nyadhifa mbalimbali katika Jeshi hilo wakiwemo wakuu wa magereza, Boharia Mkuu wa Jeshi ambapo Jenerali Mzee amewataka kuhakikisha kuwa wanasimamia ipasavyo Agenda ya mabadiliko ndani ya Jeshi la Magereza.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/PIX-2AA-1024x506.jpg)