KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA MINJA AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA ALIYEKUWA AFISA MNADHIMU MKUU MSAIDIZI WA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DARES SALAAM
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akisaini katika Kitabu cha Maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa Afisa Mnadhimu Mkuu Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Stephen Nzawila ambaye amefariki Jumapili tarehe 19 Oktoba, 2014 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam.Mwili wa aliyekuwa Afisa Mnadhimu Mkuu Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Stephen Nzawila ukiwa umebebwa na Maafisa Waandamizi wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMH. CHIKAWE AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA MAREHEMU KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA, ONEL MALISA JIJINI DAR
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA MAREHEMU KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA, ONEL MALISA JIJINI DAR
10 years ago
VijimamboKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA JOHN MINJA AMPANDISHA CHEO CHA SAJIN WA MAGEREZA ASKARI WA KIKE, MWANARIADHA WA KIMATAIFA JIJINI DAR
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza,...
9 years ago
MichuziKAMISHNA JENERALI WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI AONGOZA KIKAO MAALUM CHA KUPITIA RASIMU YA MPANGO WA WA JESHI LA MAGEREZA KUJITOSHELEZA CHAKULA, JIJINI DAR
10 years ago
VijimamboKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AVISHA YEO MAAFISA WA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR ES SALAA
10 years ago
VijimamboKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA JOHN MINJA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2014, MAKAO MAKUU YA MAGEREZA, D'SALAAM