Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bil 21/- zatengwa kumaliza tatizo la vitabu sekondari

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amesema serikali imetenga Sh bilioni 21 katika bajeti ya mwaka wa fedha wa 2014/2015 kwa ajili ya kumaliza tatizo la upungufu wa vitabu kwenye shule za sekondari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Bil 3/- zatengwa kununua kivuko Pangani

Rais Jakaya KikweteSERIKALI imetenga kiasi cha Sh bilioni tatu katika bajeti ya mwaka huu wa fedha kwa ajili ya kununua kivuko cha pili cha Mv Pangani.

Kauli hiyo ilitolewa jana na Rais Kikwete alipohutubia wakazi wa kijiji cha Bweni wilayani Pangani baada ya kuzindua mradi wa majisafi kijijini hapo.

Alisema lengo la ununuzi wa kivuko hicho ni kuendelea kuboresha huduma ya usafirishaji kwa kurahisisha ufanisi wa shughuli za uchukuzi na kiuchumi wilayani humo.

“Tumeona kuna umuhimu mkubwa wa kuongeza kivuko...

 

11 years ago

Mwananchi

Umeme kutumia Sh123 bil kumaliza

Jiji la Dar es Salaam limetengewa Sh123 bilioni kwa ajili ya kumaliza tatizo la umeme katika Mwaka wa Fedha 2014/15, Bunge lilielezwa juzi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Airtel yatoa vitabu sekondari Dar

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel kupitia mpango wake wa ‘Shule Yetu’ umeendelea kuchangia kusaidia sekta ya elimu nchini kwa kutoa vitabu kwa shule tatu za Sekondari jijini Dar...

 

10 years ago

GPL

TATIZO LA KUWAHI KUMALIZA TENDO LA NDOA

Tatizo hili hutokea kwa baadhi ya wanaume ambapo anapata msisimko mapema au mara tu anapoanza tendo la ndoa na kumfanya amalize muda huohuo, yaani muda usiozidi hata dakika tatu. Tunaposema kamaliza tendo ni kwamba anafikia kilele au mshindo na kutoa manii. Wanaume wenye hali hii wakati mwingine hutoa manii hata kwa msuguano mdogo endapo ataguswa au kugusana na mwanamke na akijenga hisia hata kwenye msongamano atajikuta tayari...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mhagama: Tehama itaondoa tatizo la walimu, vitabu

WADAU wa elimu wamekubali kutumia teknolojia ya habari na mwasiliano kufundisha na kujifunza ili kukabili tatizo la uhaba wa walimu na vitabu linalokwaza maendeleo ya elimu nchini. Hayo ni baadhi...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Rungwe yapania kumaliza tatizo la mabara, madawati


NA MWANDISHI WETU, TUKUYU
HALMASHAURI ya Wilaya Rungwe, imetenga sh. milioni 150 kwenye bajeti yake ya mwaka 2014/2015, kununua vifaa vya maabara na kufunga mifumo imara ya gesi, katika shule zake 28 za sekondari zilizoko wilayani humo.
Kiasi hicho cha fedha kitatengwa kupitia ruzuku ya kukuza mtaji katika Serikali za Mitaa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Veronica Kessy, alisema hayo alipokuwa akielezea mkakati wa kujenga na kutumia maabara kwa wanafunzi wa shule za...

 

11 years ago

Habarileo

Pinda ahoji dhamira kumaliza tatizo la madawati

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameeleza kushangazwa na hatua ya wakurugenzi, mameya na wenyeviti wa halmashauri nchini kushindwa kutengeneza madawati ili kuwaokoa watoto kutokaa sakafuni, huku vijana wanaoshiriki shindano la Maisha Plus wameweza kutengeneza madawati 30 kwa muda mfupi waliokaa katika kijiji walichopo wilayani Bagamoyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Lowassa amsifu JK kumaliza tatizo la maji Monduli

Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa amezindua mradi wa maji wa Bwawa la Leken katika Kijiji cha Selela uliogharimu Sh1.1 bilioni, huku akiupongeza uongozi wa Rais Jayaka Kikwete kwa kusaidia kuondoa tatizo hilo kwa binadamu na mifugo wilayani hapa.

 

11 years ago

Michuzi

AIRTEL YATOA MSAADA WA VITABU SHULE ZA SEKONDARI MBEYA

Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Mbeya iliyopo jijini na Mkoa wa Mbeya, Magreth Haule, (aliyeshika vitabu) akifurahia jambo mara baada ya kukabidhiwa msaada wa vitabu vya masomo tofauti tofauti kutoka kampuni ya  simu ya Airtel jana. katikati ni Ofisa Masoko wa kampuni ya mtandao wa simu ya Airtel Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Jonas Mmbaga na Ofisa Mauzo wa kampuni hiyo Mbeya Priscus Kimario.    Ofisa Masoko wa kampuni ya simu ya Airtel Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Jonas Mmbaga,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani