Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Umeme kutumia Sh123 bil kumaliza

Jiji la Dar es Salaam limetengewa Sh123 bilioni kwa ajili ya kumaliza tatizo la umeme katika Mwaka wa Fedha 2014/15, Bunge lilielezwa juzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Bil 21/- zatengwa kumaliza tatizo la vitabu sekondari

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amesema serikali imetenga Sh bilioni 21 katika bajeti ya mwaka wa fedha wa 2014/2015 kwa ajili ya kumaliza tatizo la upungufu wa vitabu kwenye shule za sekondari.

 

9 years ago

Michuzi

SYMBION POWER YAWA YA KWANZA KUTUMIA GESI KUTOKA MTWARA KUZALISHA UMEME KWA KUTUMIA BOMBA JIPYA LA KM 487 MJINI DAR ES SALAAM

  DAR ES SALAAM, Tanzania. Tarehe 21 Septemba 2015 -- Symbion Power yenye tawi lake maeneo ya Ubungo leo imetangaza kuwa imefanikiwa katika majaribio ya kutumia gesi asilia katika mitambo yake . Gesi inapatikana  Ghuba ya  Mnazi iliyo karibu na Mtwara Kusini mwa Tanzania. 
Kwa zaidi ya Mwaka mmoja sasa ; Mitambo hii yenye uwezo wa kuzalisha kiasi cha Megawati 120 haikuweza kufanya uzalishaji wowote kutokana na ukosefu wa gesi asilia kama chanzo cha nishati Tanzania


“Kwa mara nyingine Symbion...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ikungi kutumia bil. 25/-

HALMASHAURI ya Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, inatarajia kutumia shilingi bilioni 25.696 katika mwaka wa fedha 2014/2015 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shughuli za maendeleo. Akisoma taarifa ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Wafugaji, hifadhi watakiwa kutumia vikao kumaliza migogoro

Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Mahmoud Kambona amewataka wafugaji wa Kata ya Loiborsiret wanaoishi kando ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire na pori la akiba la Mkungunero, kutumia mazungumzo na vikao ili kumaliza mgogoro wa mpaka badala kutumia nguvu.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanesco; matrilioni kumaliza mgawo wa umeme nchini

Wananchi kwa muda mrefu wamekuwa wakiteseka na wakati mwingine kupata hasira kutokana na kutopata umeme wa uhakika tangu miaka ya 1980. Wakati mwingine wanapata hasira baada ya vyombo vyao kuungua kwa mfano, friji, redio na televisheni kutokana na umeme kukatika na kurejea kwa kasi .

 

11 years ago

Habarileo

Tabora kutumia bil 13.1/- kwa barabara

MKOA wa Tabora unatarajia kutumia kiasi cha Sh 13,154,098,000 katika kutekeleza miradi ya barabara kwa mwaka wa fedha wa 2013/2014.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Vodacom kutumia Sh bil 6.6 katika soka

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), jana limeingia mkataba mpya wa Sh bilioni 6.6 na kampuni ya simu za mkononi Vodacom kwa ajili ya Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara.

Mkataba huo wa miaka mitatu unaifanya Vodacom kuendelea kuwa wadhamini wakuu wa ligi kuu nchini kwa miaka mitatu zaidi katika msimu wa 2015/16 ambapo kila mwaka watakuwa wakipokea Sh bil 2.2. Aidha, msimu mpya wa ligi utakaoanza Septemba 12 mwaka huu utakuwa na timu 16 zitakazomenyana mwa miezi tisa kinyume na awali ligi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kilwa kutumia bil. 28/- miradi ya maendeleo

HALMASHAURI ya Wilaya ya Kilwa inatarajia kutumia sh bilioni 28.6 katika mwaka wa fedha ujao kwa ajili ya miradi ya maendeleo itakayowashirikisha wadau. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Umeme vijijini kugharimu bil. 4/-

WAZIRI wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid,  amesema serikali inatarajia kutumia zaidi ya sh bilioni nne kwa ajili ya mradi wa kufikisha huduma ya umeme katika vijiji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani