AIRTEL YATOA MSAADA WA VITABU SHULE ZA SEKONDARI MBEYA
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Mbeya iliyopo jijini na Mkoa wa Mbeya, Magreth Haule, (aliyeshika vitabu) akifurahia jambo mara baada ya kukabidhiwa msaada wa vitabu vya masomo tofauti tofauti kutoka kampuni ya simu ya Airtel jana. katikati ni Ofisa Masoko wa kampuni ya mtandao wa simu ya Airtel Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Jonas Mmbaga na Ofisa Mauzo wa kampuni hiyo Mbeya Priscus Kimario. Ofisa Masoko wa kampuni ya simu ya Airtel Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Jonas Mmbaga,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLAIRTEL YATOA MSAADA WA VITABU SHULE ZA SEKONDARI MBEYA
10 years ago
MichuziAirtel yatoa msaada wa vitabu kwa shule za sekondari Dar
10 years ago
MichuziAirtel yatoa msaada wa vitabu shule ya sekondari Kiteto mkoani Manyara
10 years ago
MichuziAirtel yatoa vitabu kwa shule ya sekondari Shibula Mwanza
Kwa zaidi ya miaka 10 sasa mpango huu wa Airtel shule yetu umekuwa ukisaidia shule za sekondari kwa kuwapatia nyenzo muhimu kma vile vitabu, vifaa za kufundishia , madawati, kuboresha majengo ya shule lengo likiwa ni...
9 years ago
MichuziBenki ya Exim yatoa msaada wa vitabu sekondari Mbeya.
10 years ago
GPLAIRTEL YATOA MSAADA WA VITABU SHULE YA SECONDARY NANJ MONDULI, ARUSHA
10 years ago
MichuziAirtel yatoa msaada wa Vitabu shule ya Secondary Nanj Monduli,Arusha
10 years ago
Dewji Blog25 Nov
ALAF yatoa msaada wa mabati kwa ajili ya ujenzi wa maabara za shule za sekondari wilaya ya Mbeya
Meneja wa Kampuni ya ALAF Tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege akitoa taarifa kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya kabla ya kumkabidhi msaada wa mabati 384 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara.
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King, akitoa shukrani kwa kampuni ya ALAF kwa kujitolea mabati kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari za Wilaya ya Mbeya.
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King na Meneja wa ALAF tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege...
10 years ago
VijimamboTTCL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KATIKA SHULE YA SEKONDARI LUSWISWI ILEJE MBEYA
Mbunge na Meneja wakipongezana baada ya kukabidhiana Saruji na Mbao. Wanafunzi wa...