AIRTEL YATOA MSAADA WA VITABU SHULE YA SECONDARY NANJ MONDULI, ARUSHA
![](http://4.bp.blogspot.com/-RY_yl5whJew/VMoB8JMQf6I/AAAAAAAHAHM/rcXezH4kloI/s1600/Pic%2B2.jpg)
Meneja Mauzo wa Airtel Kanda ya Kaskazini Brighthon Majwala akikabithi vitabu kwa Afisa Elimu wa shule za sekondari halimashauri ya Monduli Bwana Shaban Kasim Mgunya kwaajili ya shule ya sekondari Nanja iliyoko Monduli mkoani Arusha. wakishuhudia ni baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Nanja.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-RY_yl5whJew/VMoB8JMQf6I/AAAAAAAHAHM/rcXezH4kloI/s72-c/Pic%2B2.jpg)
Airtel yatoa msaada wa Vitabu shule ya Secondary Nanj Monduli,Arusha
![](http://4.bp.blogspot.com/-RY_yl5whJew/VMoB8JMQf6I/AAAAAAAHAHM/rcXezH4kloI/s1600/Pic%2B2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-ltWOVUoTIek/VMoB709nUCI/AAAAAAAHAHI/KVYKGK-G5JM/s1600/Pic%2B3.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ZqN8oZCgc1I/Uyr9LM44WyI/AAAAAAACdD4/DZh-qvMyAQA/s72-c/furaha+vitabu6.jpg)
AIRTEL YATOA MSAADA WA VITABU SHULE ZA SEKONDARI MBEYA
![](http://1.bp.blogspot.com/-ZqN8oZCgc1I/Uyr9LM44WyI/AAAAAAACdD4/DZh-qvMyAQA/s1600/furaha+vitabu6.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-FY0-XdLW9xs/Uyr9Lq1_diI/AAAAAAACdD8/OnqucfSw5Zg/s1600/mbaga2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ureI3M5ftzs/VBFIeY6yToI/AAAAAAACqno/1chnvkjXrTg/s72-c/1%2B(2).jpg)
Airtel yatoa msaada wa vitabu kwa shule za sekondari Dar
![](http://1.bp.blogspot.com/-ureI3M5ftzs/VBFIeY6yToI/AAAAAAACqno/1chnvkjXrTg/s1600/1%2B(2).jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/WA*Dv5OWc2jekBNKxw4do1Rnz29peZA4biDsG5sZTxXB9tNJRF44T*rIvPFrjfY2sOFnlheHYsTuZUejWAGffALi7i*VzkW1/mbaga2.jpg?width=650)
AIRTEL YATOA MSAADA WA VITABU SHULE ZA SEKONDARI MBEYA
Ofisa Masoko wa kampuni ya simu ya Airtel Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Jonas Mmbaga, akionesha vitabu kabla ya kumkabidhi mkuu wa shule ya Sekondari ya Mbeya, Magreth Haule (kushoto) wakati walipofika shuleni hapo kutoa msaada wa vitabu vya masomo mbalimbali kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne. Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Mbeya iliyopo jijini na Mkoa wa Mbeya, Magreth Haule (kushoto)… ...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-uPPCDYEOMYg/VMH8iOOmHgI/AAAAAAAG_Io/VbRECD9oD6o/s72-c/unnamed%2B(41).jpg)
Airtel yatoa msaada wa vitabu shule ya sekondari Kiteto mkoani Manyara
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imepiga jeki jitihada za serikali za kuhamasisha masomo ya sayansi kwa kutoa msaada wa vitabu vya sayansi kwa shule ya sekondari ya Kiteto iliyopo mkoani Manyara.Msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni 1.5 unahusisha vitabu vya fizikia, hisabati, baiolojia na kemia kwa ajili ya wanafunzi wanaosoma masomo hayo katika shuleni hiyo.Akipokea msaada huo Diwani wa kata ya Central wilayani Kiteto Mh Yahya Masumbuko, amesema shule nyingi wilayani hapo...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-zDyuWz18pCQ/Uz544i1siBI/AAAAAAACeJo/IOg9x8Lxyeg/s72-c/pic+2.jpg.JPG)
Shule ya Motamburu Moshi yapata msaada wa vitabu toka Airtel
![](http://1.bp.blogspot.com/-zDyuWz18pCQ/Uz544i1siBI/AAAAAAACeJo/IOg9x8Lxyeg/s1600/pic+2.jpg.JPG)
10 years ago
MichuziAirtel yatoa vitabu kwa shule ya sekondari Shibula Mwanza
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Shibula iliyoko Mkoani Mwanza wamefaidika na vitabu kupitia mradi wa Airtel shule yetu ambapo Airtel imetoa msaaada wa vitabu vya sayansi vyenye thamani ya shilingi milioni moja na Laki tano vitakavyowawezesha wanafunzi hao kupata elimu bora.
Kwa zaidi ya miaka 10 sasa mpango huu wa Airtel shule yetu umekuwa ukisaidia shule za sekondari kwa kuwapatia nyenzo muhimu kma vile vitabu, vifaa za kufundishia , madawati, kuboresha majengo ya shule lengo likiwa ni...
Kwa zaidi ya miaka 10 sasa mpango huu wa Airtel shule yetu umekuwa ukisaidia shule za sekondari kwa kuwapatia nyenzo muhimu kma vile vitabu, vifaa za kufundishia , madawati, kuboresha majengo ya shule lengo likiwa ni...
11 years ago
GPLSHULE YA MOTAMBURU MOSHI YAPATA MSAADA WA VITABU TOKA AIRTEL
Â
Mkuu wa wilaya ya Rombo kulia akimkabidhi mwanafunzi Happnes John wa shule ya sekondari motamburu moja ya vitabu vya sayansi vilivyo tolewa na Airtell katika mpango wa shule yetu kwa shule ya sekondari Motamburu iliyopo Rombo mkoani Kilimanjaro. Mkuu wa wilaya ya Rombo kulia akimkabidhi mwalimu mkuu(Abel Masuki kushoto) wa shule ya sekondari motamburu baadhi ya vitabu vya sayansi vilivyo tolewa na Airtell katika mpango wa...
10 years ago
GPLAIRTEL YATATUA CHANGAMOTO ZA UHABA WA VITABU VYA SAYANSI KATIKA SHULE YA SEKONDARI MUKULATI MKOANI ARUSHA
Meneja Mauzo wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel mkoa wa kilimanjaro Paschal Bikomagu kushoto akimkabidhi baadhi ya vitabu vya sayansi kwa Diwani wa kata ya Olkokola Joseph laizer kwa niaba ya shule ya sekondari Mukulati mkoani arusha wakati wa mahafali ya 17 ya kidato cha nne ya shule hiyo.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania