Pinda akiri kuwapo uhaba wa hoteli
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema pamoja na Tanzania kuwa na uhaba wa hoteli za kisasa kwa ajili ya watalii, Serikali haitaacha kunadi utalii na vivutio vyake vya ndani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi11 Jun
Mangula akiri kuwapo kwa mpasuko TCD
11 years ago
Habarileo20 Jul
Msajili akiri uhaba wa wafamasia
MSAJILI wa Baraza la Famasia nchini, Elizabeth Shekalaghe amesema taaluma ya famasia inakabiliwa na changamoto ya uhaba wa mafamasia ambapo kwa sasa nchi nzima wapo 1,100 ambao wamesajiliwa.
11 years ago
Habarileo26 May
Pinda ataka ufumbuzi uhaba wa madawati
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameutaka uongozi wa Mkoa wa Rukwa uhakikishe unamaliza tatizo la upungufu wa madawati ili watoto wa shule za msingi wasiendelee kukaa chini.
10 years ago
Dewji Blog28 Oct
Pinda ateta na wawekezaji nchini Poland wenye nia ya kujenga hoteli ya kimataifa Zanzibar
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiandika maelezo muhimu wakati akimsikiliza Mkurugenzi wa kampuni ya Katanja-Neoval Oil, Bw. NICODEMO SWIACKI (kushoto) akiwasilisha mada kuhusu kampuni yao ambayo inataka kuwekeza Tanzania kwenye kiwanda cha kusafisha dhahabu (gold refinery) na ujenzi wa hoteli ya kimataifa huko Zanzibar. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk. Mahadhi Juma Maalim na Naibu Waziri wa Fedha, Bw. Mwigulu Nchemba. (Picha na Irene Bwire wa OWM).
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GZHHZUsNTKs/Xm_SYqPBQ1I/AAAAAAALj_g/2oSh7fEC-RkV3JIx4-1WhIPmnaq_ioeywCLcBGAsYHQ/s72-c/GAMBO%252BPICHAA.jpg)
RC ARUSHA MRISHO GAMGO ASEMA HOTELI ALIYOPATIKANA MGONJWA WA CORONA IMEIFUNGA, WALIOPO HOTELI WOTE HAKUNA KUTOKA WALA KUINGIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-GZHHZUsNTKs/Xm_SYqPBQ1I/AAAAAAALj_g/2oSh7fEC-RkV3JIx4-1WhIPmnaq_ioeywCLcBGAsYHQ/s400/GAMBO%252BPICHAA.jpg)
MKUU wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema kwamba ndani ya Mkoa huo amebainika kuwepo kwa mgonjwa mmoja wa Corona na kwamba hoteli ambayo amekutwa mgonjwa huyo imefungwa na hivyo hakuna anayeingia wala anayetoka.
Akizungumza leo Machi 16 mwaka 2020 , Mkuu wa Mkoa wa Arusha Gambo amesema kama ambavyo ameeleza Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ni kweli wamepata mgonjwa mmoja wa Corona na kwa mujibu wa taarifa huyo...
11 years ago
Mwananchi18 Jan
Wilaya 31 zadaiwa kuwapo na madini
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Muungano wa Tanzania ni kama haujawahi kuwapo
MKINZANO, mtifuano hata harakati tunazoshuhudia kwa sasa kuhusiana na muungano vinafichua kitu kimoja: Muungano wetu kama upo au uliwahi kuwapo basi ni wa watawala lakini si wa wananchi. Tuna sababu...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jan
TMA yatahadharisha kuwapo mvua, upepo mkali
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kuwapo kwa upepo mkali, mawimbi makubwa na mvua kubwa kati ya leo hadi Januari 16, mwaka huu. Kutokana na hali...
10 years ago
Habarileo04 Jan
Arusha pamoja na kuwapo chakula, udumavu asilimia 44
WAKATI kiwango cha udumavu wa watoto chini ya miaka mitano nchini kikifikia asilimia 42 kitaifa, hali ni mbaya zaidi katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini ukiwemo Mkoa wa Arusha ambao una asilimia 44 ya watoto chini ya miaka mitano wanaokabiliwa na tatizo hilo.
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10