Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msajili akiri uhaba wa wafamasia

 Elizabeth ShekalagheMSAJILI wa Baraza la Famasia nchini, Elizabeth Shekalaghe amesema taaluma ya famasia inakabiliwa na changamoto ya uhaba wa mafamasia ambapo kwa sasa nchi nzima wapo 1,100 ambao wamesajiliwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Pinda akiri kuwapo uhaba wa hoteli

Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema pamoja na Tanzania kuwa na uhaba wa hoteli za kisasa kwa ajili ya watalii, Serikali haitaacha kunadi utalii na vivutio vyake vya ndani.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFAA NA MSAJILI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA.

 Mhe. John Lugalema  Kahyoza akila kiapo mbele ya Rais Jakaya kikwete baada ya kuteuliwa kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufaa mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam, awali mhe. Kahyoza alikuwaMsajili Mahakama Kuu ya Tanzania. Mhe. Katarina Tengia Revocati akila kiapo mbele ya Rais Jakaya kikwete baada ya kuteuliwa kuwa Msajili Mkuu  wa Mahakama  mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam, awali  Mhe. Katarina alikuwa Msajili wa Mahakama ya rufani.Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Uhaba wa maji TZ

Haba na Haba Tv ilisafiri mpaka mkoani Tanga wilayani pangani kuona namna wananchi wa huko wanavyohangaika kila kuchao kutafuta maji.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uhaba wa kondomu Zanzibar ?

Kondomu imeonekana kuwa ni bidhaa adimu mjini Unguja visiwani Zanzibar.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ofisi ya Msajili yasukwa

WAJUMBE wa Bunge la Katiba, wamezifanyia maboresho makubwa Ibara za 197, 198 na 119 za sehemu ya tatu ya Sura ya 12 ya Rasimu ya Katiba kuhusu usajili na usimamizi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA: Msajili amekurupuka

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekurupuka kutoa tamko kuhusu ukomo wa viongozi wao pasipo kuzingatia kwa ukamilifu maelezo na vielelezo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tisho la uhaba wa chakula S:Kusini

Mwandishi wa BBC Emmanuel Igunza ametembelea kijiji kimoja ambapo watu wanakula mbegu na majani

 

11 years ago

Habarileo

Msajili Hazina abana mashirika

MASHIRIKA, taasisi na asasi zote za umma, zimeagizwa kuhakikisha zinajisajili na kuingia mikataba ya utendaji na Msajili wa Hazina. Lengo la hatua hiyo ni kupima utendaji wake ili ziweze kuchangia asilimia 10 ya pato lake katika Mfuko wa Hazina.

 

10 years ago

Mwananchi

Uhaba wa mabao wamkera Maximo

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amelia na safu yake ya ushambuliaji kuwa inakosa nafasi nyingi za kufunga na kuahidi kulifanyia kazi tatizo hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani