Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uhaba wa maji TZ

Haba na Haba Tv ilisafiri mpaka mkoani Tanga wilayani pangani kuona namna wananchi wa huko wanavyohangaika kila kuchao kutafuta maji.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Wilaya ya Simanjaro yakabiliwa na uhaba wa maji

SAM_2870_thumb[2]

Mgombea wa jimbo la  Simanjiro kwa tiketi ya CHADEMA, James Ole Milya.

Na Woinde Shizza, Arusha

Licha ya uwepo wa madini ya Tanzanite katika wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara bado wilaya hiyo inakabiliwa na uhaba wa maji, ubovu wa miundombinu ya barabara  pamoja na ukosefu wa huduma za afya  kwenye baadhi ya vijiji .

Akizungumza katika mkutano wa Kampeni,Mgombea wa jimbo la Simanjiro kwa tiketi ya CHADEMA, James Ole  Milya amesema kuwa iwapo UKAWA wataingia madarakani watatunga sheria za...

 

9 years ago

Michuzi

WANANCHI WA NGORONGORO WANAKABILIWA NA UHABA WA MAJI

Wananchi wa kijiji cha Naiyobi wilaya ya Ngorongoro wakichota maji ambayo hutumia na mifugo kijiji hicho kinakabiliwa na uhaba wa maji
Na Woinde Shizza,Arusha WANANCHI wa Kijiji cha Nayobi  kilichopo tarafa ya Ngorongoro wilayaniNgorongoro mkoani Arusha wamelalamikia kero ya uhaba wa majiinayowasababishia kukesha kwenye bomba la kijiji kwa takribani siku tatuwakisubiri maji jambo linalopelekea shughuli za kijamii na kiuchumikusimama kwa muda mrefu na kinamama kutembea umbali mrefu wakitafuta...

 

10 years ago

KwanzaJamii

UHABA WA MAJI ILULA WAWATESA WANANCHI

Na Zainab Maeda, Iringa Maji ni uhai na maji yana matumizi mengi katika maisha ya kila siku ya binadamu, wanyama na hata viumbe vingine hai, ikiwemo mimea. Lakini kwa wakazi wa Mji Mdogo wa Ilula uliopo Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, upatikanaji wa maji kwao ni kitendawili cha miaka mingi sasa kwani ni tatizo sugu. Ilula ni mji unaosifika kwa biashara mbalimbali hususan zao la nyanya na vitunguu, hali inayoufanya uwe na mkusanyiko mkubwa wa watu kutoka maeneo mbalimbali ya ndani na nje ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Sababu za uhaba wa maji sasa zatajwa

Utafiti wa Shirika la Twaweza umebainisha kuwa kati ya mwaka 1990 na 2011, hali ya upatikanaji wa huduma ya maji ulishuka kutoka asilimia 55 hadi kufikia asiliamia 53.

 

9 years ago

Vijimambo

WANANCHI WA NGORONGORO WANAKABILIWA NA UHABA WA MAJI

Wananchi wa kijiji cha Naiyobi wilaya ya Ngorongoro wakichota maji ambayo hutumia na mifugo kijiji hicho kinakabiliwa na uhaba wa maji.
Na Ferdinand Shayo, Arusha.
Wananchi wa Kijiji cha Nayobi  kilichopo tarafa ya Ngorongoro wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wamelalamikia kero ya uhaba wa maji inayowasababishia kukesha kwenye bomba la kijiji kwa takribani siku tatu wakisubiri maji jambo linalopelekea shughuli za kijamii na kiuchumi kusimama kwa muda mrefu na kinamama kutembea umbali mrefu...

 

10 years ago

Habarileo

Bilioni 800/- kukabili uhaba wa maji Chalinze

Ridhiwani KikweteCHANGAMOTO ya maji wilayani Bagamoyo mkoani Pwani huenda ikawa historia baada ya serikali ya India kutoa kiasi cha Sh bilioni 800 kwa ajili ya mradi wa maji wa Wami Chalinze.

 

9 years ago

Dewji Blog

Tatizo la uhaba wa maji Wilayani Mkuranga kuwa historia

image_1

Mwakilishi wa Kampuni ya Uchimbaji wa Visima ya ZENTAS kutoka Uturuki nchini Tanzania Dkt, Mohammed Akbar akitoa taarifa za kukamilika kwa kazi ya uchimbaji wa kisima chenye urefu wa mita 541 eneo la Mkwalia, Mkuranga, Pwani leo.Kisima hicho kinauwezo wa kuzalisha maji lita milioni 1.8 kwa siku.

image_2

Maji kutoka katika kisima hicho yakitiririka kufuatia kufanyika kwa majaribio ya kuyatoa maji kutoka ardhini.

image_3

Kiongozi wa waendesha mitambo ya uchimbaji visima wa kampuni ya ZENTAS Bw. Sima Teodor...

 

11 years ago

Michuzi

uhaba wa maji ya uhakika dar es salaam kuwa historia karibuni

Tatizo la muda mrefu la uhaba wa maji ya uhakika linalowakabili wakaazi wa mkoa wa Dar es Salaam na mikoa mengine inayohudumiwa na mitambo ya maji ya Ruvu Juu na Ruvu Chini sasa litakuwa historia...  Mafundi wakiendelea kulaza mabomba yatakayotumika kusafirishia maji kutoka Mitambo ya Maji ya Ruvu Chini mpaka kwenye Tanki la kuhifadhia maji lililopo Chuo Kikuu cha Ardhi jijini Dar es Salaam. Mpaka sasa mafundi hao wameshasambaza mabomba kwa umbali wa kilomita takribani 29 kati ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBL kutumia mil. 700/- kutatua uhaba wa maji sekta ya afya

TATIZO la upatikananji wa maji safi na salama nchini ni moja kati ya changamoto kubwa zinazoikabili sekta ya afya nchini. Tatizo hili limekuwa likiathiri ufanisi katika shughuli mbalimbali za huduma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani