Wilaya ya Simanjaro yakabiliwa na uhaba wa maji
Mgombea wa jimbo la Simanjiro kwa tiketi ya CHADEMA, James Ole Milya.
Na Woinde Shizza, Arusha
Licha ya uwepo wa madini ya Tanzanite katika wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara bado wilaya hiyo inakabiliwa na uhaba wa maji, ubovu wa miundombinu ya barabara pamoja na ukosefu wa huduma za afya kwenye baadhi ya vijiji .
Akizungumza katika mkutano wa Kampeni,Mgombea wa jimbo la Simanjiro kwa tiketi ya CHADEMA, James Ole Milya amesema kuwa iwapo UKAWA wataingia madarakani watatunga sheria za...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper26 Oct
Sekta ya anga yakabiliwa na uhaba wa wafanyakazi
NA MWANDISHI WETU
MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), imetoa wito kwa wanafunzi wote nchini kusoma masomo yatakayowawezesha kufanya kazi katika sekta ya anga.
Imeelezwa kuwa sekta hiyo hivi sasa inakabiliwa na uhaba mkubwa wa wataalam.
Rai hiyo ilitolewa jana na Mwanasheria Mkuu wa TAA, Wakili, Ramadhani Maleta alipokuwa akihutubia katika mahafali ya nne ya Shule ya Sekondari ya Lilian Kibo, Goba Matosa, Dar es Salaam.
Maleta alisema ni aibu kwa mamlaka kuajiri wataalam kutoka nje...
9 years ago
Habarileo30 Nov
Muhimbili yakabiliwa na uhaba vyumba vya `ICU’
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam inakabiliwa na uhaba wa wadi za wagonjwa mahututi (ICU) kutokana na mahitaji ya huduma hiyo kwa wagonjwa hospitalini hapo.
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Tanzania yakabiliwa uhaba wa madaktari wa vichwa vikubwa
TANZANIA inakabiliwa na upungufu wa wataalam wa upasuaji kwa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi ambapo kwa sasa ina madaktari watano ambao wanazunguka katika hospitali za rufaa nchini kutibu....
11 years ago
BBCSwahili18 Jan
Uhaba wa maji TZ
11 years ago
Mwananchi02 Apr
Sababu za uhaba wa maji sasa zatajwa
9 years ago
VijimamboWANANCHI WA NGORONGORO WANAKABILIWA NA UHABA WA MAJI
Na Ferdinand Shayo, Arusha.
Wananchi wa Kijiji cha Nayobi kilichopo tarafa ya Ngorongoro wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wamelalamikia kero ya uhaba wa maji inayowasababishia kukesha kwenye bomba la kijiji kwa takribani siku tatu wakisubiri maji jambo linalopelekea shughuli za kijamii na kiuchumi kusimama kwa muda mrefu na kinamama kutembea umbali mrefu...
10 years ago
KwanzaJamii27 Aug
UHABA WA MAJI ILULA WAWATESA WANANCHI
9 years ago
MichuziWANANCHI WA NGORONGORO WANAKABILIWA NA UHABA WA MAJI
Na Woinde Shizza,Arusha WANANCHI wa Kijiji cha Nayobi kilichopo tarafa ya Ngorongoro wilayaniNgorongoro mkoani Arusha wamelalamikia kero ya uhaba wa majiinayowasababishia kukesha kwenye bomba la kijiji kwa takribani siku tatuwakisubiri maji jambo linalopelekea shughuli za kijamii na kiuchumikusimama kwa muda mrefu na kinamama kutembea umbali mrefu wakitafuta...
10 years ago
Habarileo18 Dec
Bilioni 800/- kukabili uhaba wa maji Chalinze
CHANGAMOTO ya maji wilayani Bagamoyo mkoani Pwani huenda ikawa historia baada ya serikali ya India kutoa kiasi cha Sh bilioni 800 kwa ajili ya mradi wa maji wa Wami Chalinze.