Sekta ya anga yakabiliwa na uhaba wa wafanyakazi
NA MWANDISHI WETU
MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), imetoa wito kwa wanafunzi wote nchini kusoma masomo yatakayowawezesha kufanya kazi katika sekta ya anga.
Imeelezwa kuwa sekta hiyo hivi sasa inakabiliwa na uhaba mkubwa wa wataalam.
Rai hiyo ilitolewa jana na Mwanasheria Mkuu wa TAA, Wakili, Ramadhani Maleta alipokuwa akihutubia katika mahafali ya nne ya Shule ya Sekondari ya Lilian Kibo, Goba Matosa, Dar es Salaam.
Maleta alisema ni aibu kwa mamlaka kuajiri wataalam kutoka nje...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog13 Oct
Wilaya ya Simanjaro yakabiliwa na uhaba wa maji
Mgombea wa jimbo la Simanjiro kwa tiketi ya CHADEMA, James Ole Milya.
Na Woinde Shizza, Arusha
Licha ya uwepo wa madini ya Tanzanite katika wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara bado wilaya hiyo inakabiliwa na uhaba wa maji, ubovu wa miundombinu ya barabara pamoja na ukosefu wa huduma za afya kwenye baadhi ya vijiji .
Akizungumza katika mkutano wa Kampeni,Mgombea wa jimbo la Simanjiro kwa tiketi ya CHADEMA, James Ole Milya amesema kuwa iwapo UKAWA wataingia madarakani watatunga sheria za...
9 years ago
Habarileo30 Nov
Muhimbili yakabiliwa na uhaba vyumba vya `ICU’
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam inakabiliwa na uhaba wa wadi za wagonjwa mahututi (ICU) kutokana na mahitaji ya huduma hiyo kwa wagonjwa hospitalini hapo.
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Tanzania yakabiliwa uhaba wa madaktari wa vichwa vikubwa
TANZANIA inakabiliwa na upungufu wa wataalam wa upasuaji kwa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi ambapo kwa sasa ina madaktari watano ambao wanazunguka katika hospitali za rufaa nchini kutibu....
10 years ago
Michuzi13 Nov
WADAU WA SEKTA YA USAFIRI WA ANGA WAKUTANA KUJADILI MAENDELEO YA SEKTA HIYO NCHINI
![](https://4.bp.blogspot.com/-ay8G_yplW7M/VGSHZhCggfI/AAAAAAAGw5k/5rZ7lAeR95A/s640/unnamed%2B(98).jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-j5fMPNzgTq8/VGSHaPy9KvI/AAAAAAAGw5o/r5C03qkBImA/s640/unnamed%2B(99).jpg)
![](https://3.bp.blogspot.com/-cWGRtxNKf8U/VGSHcHY5H1I/AAAAAAAGw50/sNkGF-GyM1E/s640/unnamed.jpg)
11 years ago
Dewji Blog05 Jul
Singida yakabiliwa na Upungufu wa watumishi sekta ya Afya
Mkuu wa wilaya ya Singida.Queen Mlozi, akizungumza kwenye kikao cha mrejesho wa utafiti uliofanywa na timu ya ufuatiliaji na uwajibikaji jamii (Social Accountability Monitoring-SAM) kilichofanyika mjini Singida.Timu ya SAM kwa kushirikiana na baadhi ya madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Singida,kwa pamoja walifanya utafiti juu ya uwajibikaji kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya.Kushoto ni mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singida,Idd Mnyampanda nas kulia ni mwenyekiti wa kikao...
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
TBL kutumia mil. 700/- kutatua uhaba wa maji sekta ya afya
TATIZO la upatikananji wa maji safi na salama nchini ni moja kati ya changamoto kubwa zinazoikabili sekta ya afya nchini. Tatizo hili limekuwa likiathiri ufanisi katika shughuli mbalimbali za huduma...
11 years ago
Mwananchi05 May
Sekta ya anga yawapa faida Swissport
9 years ago
Dewji Blog24 Aug
Wanawake wakiafrika wahamasishwa kujiunga na sekta ya usafiri wa anga
Rubani mwanamke, Anne-Marie Lewis.
Pamoja na kwamba uwepo wa wanawake katika sekta ya usafiri wa anga bado ni mdogo, uwezo wa kuwa viongozi katika usafiri wa anga hauna mwiko. Wanawake barani Afrika hawapaswi kuogopa kuwa sehemu ya sekta hii inayokua barani kote. Hayo ni maneno kutoka kwa rubani mwanamke wa kwanza kuongoza ndege aina ya Airbus A380 inayomilikiwa na kampuni la fastjet Tanzania, rubani Anne-Marie Lewis, ambaye huongoza ndege hii ya Airbus katika mikoa ya Tanzania na nchi...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-rcQZ-rKDDhQ/VNCmKPgyx2I/AAAAAAAHBRE/-IgLPlTyqt4/s72-c/unnamed%2B(27).jpg)
uhaba wa walimu na watalamu wa kundisha namna ya ukataji vito na madini ni tatizo kubwa katika sekta ya madini
Sekta ya madini nchini bado inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo uhaba wa walimu na wataalamu wa kufundisha namna ya ukataji wa vito vya madini hali inayosababisha kuuzwa kwa madini ghafi nje ya nchi na kupelekea kuuzwa kwa bei ya chini na pesa nyingi kwenda nje ya nchi .
Hayo yameelezwa na mratibu wa kituo cha Jimolojia Tanzania,Musa Shanyangi wakati akiongea na waandishi wa habari katika kituo hicho kinachotoa mafunzo ya ukataji madini ya vito,ambapo wameanza...