Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mangula akiri kuwapo kwa mpasuko TCD

Makamu mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Philip Mangula amesema kituo hicho kimekumbwa na mpasuko baada ya vyama vya Chadema na CUF kususia kikao kilichoitishwa Jumapili iliyopita.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mangula awataka viongozi wa dini wasiwapotoshe wananchi kuhusiana na kuwapo kwa masuala ya dini katika katiba pendekezwa

Makamu Mwenyekiti wa CCM bara, Philip Mangulla akizungumza na wanafunzi na waalimu wa shule ya Hagafilo mkoani Njombe kuhusiana na katiba pendekezwa na utofauti kati ya katiba pendekezwa na ya sasa. wanafunzi na waalimu wakimsikiliza Makamu mwenyekiti wa CCM bara Philip Mangula juzi wakati akiwapa ufafanuzi wa katiba Pendekezwa.(picha na furaha eliabu wa www.eliabu.blogspot.com)
Na Furaha Eliab, Njombe
MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Philip Mangula amesema kuwa viongozi...

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda akiri kuwapo uhaba wa hoteli

Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema pamoja na Tanzania kuwa na uhaba wa hoteli za kisasa kwa ajili ya watalii, Serikali haitaacha kunadi utalii na vivutio vyake vya ndani.

 

10 years ago

GPL

WAGOMBEA URAIS WAIBUA MPASUKO KWA MASTAA

Erick Evarist
WAKATI wagombea mbalimbali wa urais wa Tanzania wakitangaza nia ya kushika wadhifa huo mzito kwa taifa, nyuma ya mchakato huo kumeibuka mpasuko mkubwa kwa mastaa wakipigana vikumbo kuwania kambi za wagombea. Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa. Kwa mujibu wa chanzo kilicho karibu na mastaa hao, mpasuko umejidhihirisha hadharani Jumamosi iliyopita baada ya baadhi ya mastaa kupata shavu la kwenda kutumbuiza katika...

 

11 years ago

Michuzi

MANGULA NA KINANA WAWASILI MKOANI MBEYA KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM

 Makamu Mwenyekiti wa CCM,Phillip Mangula akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Dk. Mary Mwanjelwa baada ya kuwasili leo asubuhi kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Mbeya , tayari akwa maadhimisho ya miaka 37 ya CCM yatakayofanyika kitaifa kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine, jijini Mbeya Jumapili Februari 2. Kushoto ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.  Mangula (katikati) akiwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye (kulia) pamoja na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa...

 

11 years ago

GPL

KINANA, MANGULA WAWASILI MBEYA KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM‏

Mangula (katikati) akiwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye (kulia) pamoja na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya, Godfrey Zambi. Makamu Mwenyekiti wa CCM, Phillip Mangula akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Dk. Mary Mwanjelwa baada ya kuwasili leo asubuhi kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Mbeya , tayari akwa maadhimisho ya miaka 37 ya CCM yatakayofanyika kitaifa kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine, jijini Mbeya...

 

11 years ago

Mwananchi

Wilaya 31 zadaiwa kuwapo na madini

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema, tathimini iliyofanywa na Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) imebaini kuwapo kwa madini ya aina mbalimbali katika wilaya 31 nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Muungano wa Tanzania ni kama haujawahi kuwapo

MKINZANO, mtifuano hata harakati tunazoshuhudia kwa sasa kuhusiana na muungano vinafichua kitu kimoja: Muungano wetu kama upo au uliwahi kuwapo basi ni wa watawala lakini si wa wananchi. Tuna sababu...

 

10 years ago

Habarileo

Arusha pamoja na kuwapo chakula, udumavu asilimia 44

WAKATI kiwango cha udumavu wa watoto chini ya miaka mitano nchini kikifikia asilimia 42 kitaifa, hali ni mbaya zaidi katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini ukiwemo Mkoa wa Arusha ambao una asilimia 44 ya watoto chini ya miaka mitano wanaokabiliwa na tatizo hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani