Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAGOMBEA URAIS WAIBUA MPASUKO KWA MASTAA

Erick Evarist
WAKATI wagombea mbalimbali wa urais wa Tanzania wakitangaza nia ya kushika wadhifa huo mzito kwa taifa, nyuma ya mchakato huo kumeibuka mpasuko mkubwa kwa mastaa wakipigana vikumbo kuwania kambi za wagombea. Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa. Kwa mujibu wa chanzo kilicho karibu na mastaa hao, mpasuko umejidhihirisha hadharani Jumamosi iliyopita baada ya baadhi ya mastaa kupata shavu la kwenda kutumbuiza katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MASTAA WAFUNGUKA KUPIGA HELA KUTOKA KWA WAGOMBEA!

Gabriel Ng’osha Neema! Baadhi ya mastaa wa tasnia mbalimbali Bongo, wamefunguka kuwa kipindi hiki cha uchaguzi, kwao ni msimu wa kutengeneza hela kutoka kwa wagombea kama watahitaji huduma yao ya burudani. Mheshimiwa Bernard Membe. Kwa mujibu wa baadhi ya wasanii, wao wapo au watakuwa tayari kuwapigia kampeni wagombea hao ilimradi tu wanavuta mshiko wa maana. KULWA KIKUMBA ‘DUDE’: Huu ndiyo msimu wa kulamba...

 

10 years ago

GPL

WAGOMBEA URAIS WAMIMINIKA KWA MTABIRI

Gladness Mallya na Mayasa Mariwata
MAJANGA! Wakati vuguvugu la kutangaza nia ya kugombea nafasi ya urais likiendelea, imegundulika kuwa wagombea wengi  wa urais wamekuwa wakimiminika kwa mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hussein Yahaya, (pichani) maeneo ya Magomeni Mwembechai jijini Dar  es Salaam kwa ajili ya kutabiriwa safari yao hiyo, Ijumaa lina mkanda kamili. Mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hussein Yahaya. Gazeti hili...

 

10 years ago

Mtanzania

Wagombea urais wapigana vikumbo kwa Komba

kombaNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KIFO cha Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kepteni John Komba (CCM), kimewafanya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaotajwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, kupigana vikumbo huku kila mmoja akizungumzia umuhimu wa kiongozi huyo.
Miongoni mwa viongozi waliohudhuria msiba nyumbani kwa marehemu, Mbezi kwa Komba jijini Dar es Salaam ni pamoja Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard...

 

9 years ago

Mwananchi

Wagombea urais mtueleze na haya kwa kina!

Mwaka 1995 wakati akihutubia mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwalimu Julius Nyerere alisema mgombea urais kupitia chama hicho anatakiwa kukidhi matarajio ya Watazania na siyo anayekidhi matarajio ya wachache wenye fedha zao.

 

10 years ago

GPL

IPO HAJA KWA WAGOMBEA URAIS KUJITANGAZA SASA

Dk. Hamisi Kigwangala. NIMSHUKURU Mungu kwa kunipa afya njema ya kuweza kuzungumza na nyinyi kupitia safu hii.
Niseme tu kwamba gumzo kubwa ambalo linatawala katika ‘viwanja’ vya siasa ni wagombea urais ambao watamrithi Rais Jakaya Mrisho Kikwete mwakani. Mheshimiwa Januari Makamba. Tayari watu kadhaa wametajwa na wengine kutangaza nia yao ya kuwania nafasi hiyo ya juu ya uongozi… ...

 

9 years ago

StarTV

  Televisheni ya Marekani yaandaa Mdahalo kwa wagombea Urais Fifa

 

Katika kuhakikisha Soka linampata rais bora wa Shirikisho la soka duniani FIFA,Televisheni moja ya Marekani imeandaa mdahalo utakaowashirikisha wagombea wote watano wa  nafasi ya Urais.

Wagombea walioalikwa ni pamoja na Prince Ali Bin al-Hussein, Sheikh Salman bin Ebrahim al-Khalifa, Tokyo Sexwale, Gianni Infantino na Jerome Champagne kati yao mmoja ndiye atakayekuwa raisi wa FIFA katika uchaguzi utakaopigwa February 26 mjini Zurich Uswis.

Taarifa iliyotolewa na Uongozi wa Televisheni hiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA WAGOMBEA URAIS KUPITIA CCM WAKIWA KWA TB JOSHUA NIGERIA


Hon. Lowassa in 2012 at TB Joshua Church!! Hon. Nchemba at TB Joshua Church in 2014Hon Magufuli with his family and Pastor TB Joshua(left

 

11 years ago

GPL

MASTAA WAGOMBEA MKONO WA JK

Stori: Waandishi Wetu
HATIMAYE staa wa sanaa za maigizo Bongo, marehemu Said Ngamba ‘Mzee Small’  amezikwa juzi Jumatatu katika Makaburi ya Segerea jijini Dar es Salaam, Risasi Mchanganyiko lilikuwepo msibani hatua kwa hatua. Rais wa Shirikisho la Filamu nchini (TAFF), Simon  Mwakifwamba akisalimiana na Rais Kikwete. Msiba huo ulihudhuriwa na mamia ya watu akiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani