Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wagombea urais mtueleze na haya kwa kina!

Mwaka 1995 wakati akihutubia mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwalimu Julius Nyerere alisema mgombea urais kupitia chama hicho anatakiwa kukidhi matarajio ya Watazania na siyo anayekidhi matarajio ya wachache wenye fedha zao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wagombea urais wajue haya katika michezo

Kampeni za vyama vya siasa katika ngazi mbalimbali, kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi, zimeanza Agosti 22 na zitamalizika baada ya zaidi ya miezi miwili.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kina Muhabi wanafanya haya kwa faida ya nani?

KATIKA siku za hivi karibuni kumeibuka kundi la viongozi wa vyama vitano  vya siasa visivyokuwa na uwakilishi wa wabunge bungeni na kutoa matamko mbali mbali kuhusiana na sakata la akaunti ya...

 

10 years ago

GPL

WAGOMBEA URAIS WAMIMINIKA KWA MTABIRI

Gladness Mallya na Mayasa Mariwata
MAJANGA! Wakati vuguvugu la kutangaza nia ya kugombea nafasi ya urais likiendelea, imegundulika kuwa wagombea wengi  wa urais wamekuwa wakimiminika kwa mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hussein Yahaya, (pichani) maeneo ya Magomeni Mwembechai jijini Dar  es Salaam kwa ajili ya kutabiriwa safari yao hiyo, Ijumaa lina mkanda kamili. Mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hussein Yahaya. Gazeti hili...

 

10 years ago

GPL

WAGOMBEA URAIS WAIBUA MPASUKO KWA MASTAA

Erick Evarist
WAKATI wagombea mbalimbali wa urais wa Tanzania wakitangaza nia ya kushika wadhifa huo mzito kwa taifa, nyuma ya mchakato huo kumeibuka mpasuko mkubwa kwa mastaa wakipigana vikumbo kuwania kambi za wagombea. Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa. Kwa mujibu wa chanzo kilicho karibu na mastaa hao, mpasuko umejidhihirisha hadharani Jumamosi iliyopita baada ya baadhi ya mastaa kupata shavu la kwenda kutumbuiza katika...

 

10 years ago

Mtanzania

Wagombea urais wapigana vikumbo kwa Komba

kombaNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KIFO cha Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kepteni John Komba (CCM), kimewafanya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaotajwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, kupigana vikumbo huku kila mmoja akizungumzia umuhimu wa kiongozi huyo.
Miongoni mwa viongozi waliohudhuria msiba nyumbani kwa marehemu, Mbezi kwa Komba jijini Dar es Salaam ni pamoja Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard...

 

10 years ago

Mwananchi

Je, kwa matokeo haya wataendeleza harakati za kugombea Urais??

Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Desemba 14 yanaonyesha kuwa CCM imefanikiwa kupata ushindi wa jumla mitaa na vijiji 9,406, huku vyama vingine vya upinzani, vimegawana nafasi 3,211.

 

10 years ago

GPL

IPO HAJA KWA WAGOMBEA URAIS KUJITANGAZA SASA

Dk. Hamisi Kigwangala. NIMSHUKURU Mungu kwa kunipa afya njema ya kuweza kuzungumza na nyinyi kupitia safu hii.
Niseme tu kwamba gumzo kubwa ambalo linatawala katika ‘viwanja’ vya siasa ni wagombea urais ambao watamrithi Rais Jakaya Mrisho Kikwete mwakani. Mheshimiwa Januari Makamba. Tayari watu kadhaa wametajwa na wengine kutangaza nia yao ya kuwania nafasi hiyo ya juu ya uongozi… ...

 

9 years ago

StarTV

  Televisheni ya Marekani yaandaa Mdahalo kwa wagombea Urais Fifa

 

Katika kuhakikisha Soka linampata rais bora wa Shirikisho la soka duniani FIFA,Televisheni moja ya Marekani imeandaa mdahalo utakaowashirikisha wagombea wote watano wa  nafasi ya Urais.

Wagombea walioalikwa ni pamoja na Prince Ali Bin al-Hussein, Sheikh Salman bin Ebrahim al-Khalifa, Tokyo Sexwale, Gianni Infantino na Jerome Champagne kati yao mmoja ndiye atakayekuwa raisi wa FIFA katika uchaguzi utakaopigwa February 26 mjini Zurich Uswis.

Taarifa iliyotolewa na Uongozi wa Televisheni hiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA WAGOMBEA URAIS KUPITIA CCM WAKIWA KWA TB JOSHUA NIGERIA


Hon. Lowassa in 2012 at TB Joshua Church!! Hon. Nchemba at TB Joshua Church in 2014Hon Magufuli with his family and Pastor TB Joshua(left

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani