Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je, kwa matokeo haya wataendeleza harakati za kugombea Urais??

Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Desemba 14 yanaonyesha kuwa CCM imefanikiwa kupata ushindi wa jumla mitaa na vijiji 9,406, huku vyama vingine vya upinzani, vimegawana nafasi 3,211.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Vijana wapiganie sasa haki ya kugombea urais, Vijana wasisubiri wazee wawaruhusu kugombea urais

Patrice Lumumba. Julius Nyerere. Na Walusanga Ndaki
IJUMAA moja ya alasiri na kiangazi jijini Dar es Salaam, mwandishi wa makala hii ambaye sasa ana umri wa miaka 60 alikuwa akifanya mzaha wa kupiga danadana mpira wa miguu nje ya ofisi yao kabla ya kwenda kwenye mechi ya soka kati ya timu ya ofisi yake na taasisi moja ya habari. Mwandishi huyo alifanya hivyo kwa umahiri mkubwa kwa kama dakika tano mbele ya wafanyakazi wenzake...

 

9 years ago

Vijimambo

MATOKEO KWA NGAZI YA UBUNGE KWA MAJIMBO YALIYOTANGWAZWA NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI HAYA HAPA

Baadhi ya wabunge wameendelea kutetea majimbo yao kwa kupata kura za kishindo, wakiongozwa na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyetetea jimbo lake la Hai, Joshua Nassar (Chadema, Arumeru Mashariki), Stephen Masele (CCM, Shinyanga Mjini), Jenister Mhagama (CCM, Peramiho), Silvestry Koka (CCM, Kibaha), David Silinde (Chadema,Momba), Aesh Hilaly (CCM, Sumbawanga Mjini), Joseph Selasini (Chadema,Rombo), Profesa Jumanne Maghembe (CCM Mwanga).

Jimbo la TundumaUbunge: Mwakajoka Frank (Chadema)...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea wa Urais Dkt John Pombe Magufuli  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo. 
  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea Mwenza  wa Urais Mh. Samia Suluhu  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo.   Baadhi ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Wagombea urais mtueleze na haya kwa kina!

Mwaka 1995 wakati akihutubia mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwalimu Julius Nyerere alisema mgombea urais kupitia chama hicho anatakiwa kukidhi matarajio ya Watazania na siyo anayekidhi matarajio ya wachache wenye fedha zao.

 

10 years ago

Vijimambo

DR SHEIN KUGOMBEA KWA MARA NYINGINE URAIS VISIWANI

Zanzibar. Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar imepitisha azimio la pamoja la kumtaka Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kujitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais uchaguzi unaotarajia kufanyika mwaka huu,imefahamika Visiwani humo.

Tamko hilo limetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu mafanikio ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi katika Kongamano lililofanyika Ukumbi wa Shule ya...

 

9 years ago

GPL

NEC YATANGAZA MATOKEO YA AWALI YA URAIS KWA MAJIMBO 3

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva ametangaza matokeo ya awali ya urais kwa majimbo matatu ambayo ni Lulindi, Makunduchi na Paje kama yanavyoonekana kwenye jedwali hapo juu. Matokeo mengine ya awali ya urais yataendelea kuwajia kadri yatakavyokuwa yakitolewa na…

 

10 years ago

Vijimambo

WAANDAMANA KWENDA KWA LOWASA KUMSHAWISHI ATANGAZE NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015

Makundi mbalimbali ya kijamii ya mikoa ya Kaskazini, inayojumuisha mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Arusha na Manyara wakiwa wanaandamana kwa pamoja kuelekea kwa mbunge wa jimbo la monduli hii leoKatibu wa Chama cha Wasioona Mkoa wa Kilimanjaro (TLB), Protas Soka Akisoma risala kwa niaba ya makundi hayo mbele ya mbunge wa jimbo la monduli Viongozi mbalimbali wa makundi ya kijamii wakiwa wanamkabidhi waziri mstaafu ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Monduli Edward Lowasa bahasha yenye fedha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani