Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAGOMBEA URAIS WAMIMINIKA KWA MTABIRI

Gladness Mallya na Mayasa Mariwata
MAJANGA! Wakati vuguvugu la kutangaza nia ya kugombea nafasi ya urais likiendelea, imegundulika kuwa wagombea wengi  wa urais wamekuwa wakimiminika kwa mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hussein Yahaya, (pichani) maeneo ya Magomeni Mwembechai jijini Dar  es Salaam kwa ajili ya kutabiriwa safari yao hiyo, Ijumaa lina mkanda kamili. Mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hussein Yahaya. Gazeti hili...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MTABIRI: KIFO CHA MGOMBEA URAIS KIPO PALEPALE

Mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hassan Yahya.Na Gladness MallyaMTABIRI maarufu Bongo, Maalim Hassan Yahya ameibuka na kusema kwamba utabiri aliowahi kuutoa kwamba kuna mgombea urais atafariki, bado upo palepale.Akipiga stori na gazeti hili, Maalim Hassan alisema kuugua ghafla kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ni dalili tu za ukamilifu wa utabiri wake lakini suala la mgombea urais kudondoka na kufa akiwa jukwaani akifanya kampeni linakuja.“Kuugua kwa...

 

10 years ago

GPL

WAGOMBEA URAIS WAIBUA MPASUKO KWA MASTAA

Erick Evarist
WAKATI wagombea mbalimbali wa urais wa Tanzania wakitangaza nia ya kushika wadhifa huo mzito kwa taifa, nyuma ya mchakato huo kumeibuka mpasuko mkubwa kwa mastaa wakipigana vikumbo kuwania kambi za wagombea. Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa. Kwa mujibu wa chanzo kilicho karibu na mastaa hao, mpasuko umejidhihirisha hadharani Jumamosi iliyopita baada ya baadhi ya mastaa kupata shavu la kwenda kutumbuiza katika...

 

9 years ago

Mwananchi

Wagombea urais mtueleze na haya kwa kina!

Mwaka 1995 wakati akihutubia mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwalimu Julius Nyerere alisema mgombea urais kupitia chama hicho anatakiwa kukidhi matarajio ya Watazania na siyo anayekidhi matarajio ya wachache wenye fedha zao.

 

10 years ago

Mtanzania

Wagombea urais wapigana vikumbo kwa Komba

kombaNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KIFO cha Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kepteni John Komba (CCM), kimewafanya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaotajwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, kupigana vikumbo huku kila mmoja akizungumzia umuhimu wa kiongozi huyo.
Miongoni mwa viongozi waliohudhuria msiba nyumbani kwa marehemu, Mbezi kwa Komba jijini Dar es Salaam ni pamoja Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard...

 

10 years ago

GPL

IPO HAJA KWA WAGOMBEA URAIS KUJITANGAZA SASA

Dk. Hamisi Kigwangala. NIMSHUKURU Mungu kwa kunipa afya njema ya kuweza kuzungumza na nyinyi kupitia safu hii.
Niseme tu kwamba gumzo kubwa ambalo linatawala katika ‘viwanja’ vya siasa ni wagombea urais ambao watamrithi Rais Jakaya Mrisho Kikwete mwakani. Mheshimiwa Januari Makamba. Tayari watu kadhaa wametajwa na wengine kutangaza nia yao ya kuwania nafasi hiyo ya juu ya uongozi… ...

 

9 years ago

StarTV

  Televisheni ya Marekani yaandaa Mdahalo kwa wagombea Urais Fifa

 

Katika kuhakikisha Soka linampata rais bora wa Shirikisho la soka duniani FIFA,Televisheni moja ya Marekani imeandaa mdahalo utakaowashirikisha wagombea wote watano wa  nafasi ya Urais.

Wagombea walioalikwa ni pamoja na Prince Ali Bin al-Hussein, Sheikh Salman bin Ebrahim al-Khalifa, Tokyo Sexwale, Gianni Infantino na Jerome Champagne kati yao mmoja ndiye atakayekuwa raisi wa FIFA katika uchaguzi utakaopigwa February 26 mjini Zurich Uswis.

Taarifa iliyotolewa na Uongozi wa Televisheni hiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA WAGOMBEA URAIS KUPITIA CCM WAKIWA KWA TB JOSHUA NIGERIA


Hon. Lowassa in 2012 at TB Joshua Church!! Hon. Nchemba at TB Joshua Church in 2014Hon Magufuli with his family and Pastor TB Joshua(left

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA: UDASA na ITV Kuandaa Midahalo ya Wagombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015

Mkurugenzi Mtendaji wa ITV na Radio One, Joyce Mhavile (kushoto) na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa), Dk Kitila Mkumbo wakikabidhiana nyaraka za makubaliano ya kuandaa midahalo kwa wagombea wa urais katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu. Katikati ni Mhadhiri Mwandamizi wa Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano, Dk Ayoub Rioba.
Picha na Venance Nestory.  


1. Katika nchi za kidemokrasia, midahalo ya wagombea imekuwa ni sehemu muhimu katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani