Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Changamoto kwa Wafanyabiashara wadogo wapewa changamoto

Wafanyabiashara wadogo wametakiwa kuacha woga na kuanza kutumia taasisi za fedha kama njia rafiki na chachu ya maendeleo na kukuza mitaji yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM,KINANA NDANI YA MERERANI,AKUTANA NA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WA MADINI NA KUSIKILZA CHANGAMOTO ZAO

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akioneshwa vipande vya madini aina ya Tanzanite ,katika mgodi wa mchimbaji mzawa wa madini ya Tanzanite Bi.Suzie Didas Kennedy.Katibu Mkuu wa CCM alitembelea migodi ya wachimbaji wadogo wa Mererani na kuzungumza nao juu ya changamoto zinazowakabili na namna ya kuzitatua. Pichani kati aneshuhudia ni Mbunge wa Jimbo la Simanjiro,Mh.Christopher Ole Sendeka.  Moja ya jiwe lenye madini kabla ya kufanyiwa mchakato.     Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...

 

10 years ago

Habarileo

Waandishi wapewa changamoto

BARAZA la Habari Tanzania (MCT) limetaka waandishi wa habari mkoani Dodoma kuripoti vyanzo vya migogoro kuliko matokeo ili kupunguza madhara yanayoweza kutokea katika jamii.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge wanawake wapewa changamoto

WABUNGE wanawake wametakiwa kujenga uwezo wa kujenga hoja na kuhakikisha suala la mgawanyiko wa rasilimali kwenye bajeti ya Serikali unafanywa kwa mtazamo wa kijinsia ili kusaidia kuondoa umasikini.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanahabari Ruvuma wapewa changamoto

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Joseph Mkirikiti amewataka waandishi wa habari kuhamasisha wananchi kujiandikisha ili wapate vitambulisho vya Taifa.

 

11 years ago

Dewji Blog

Waandishi wa habari wapewa changamoto ya ubunifu, kujituma

Na Nathaniel Limu, Singida

WAANDISHI wa Habari mkoani Singida, wamehimizwa kuondokana na uandishi habari wa mazoea na badala yake wabadilike na kuwa wabunifu ili kazi yao iweze kukidhi viwango vya wakati uliopo.

Changamoto hiyo imetolewa hivi karibuni na mwandishi wa habari mkongwe, Eda Sanga wakati akizungmza kwenye semina ya Uhabarisho wa Mfuko wa Habari Tanzania (Tanzania Media Fund TMF) kwa waandishi wa habari mkoa wa Singida.

Amesema waandishi wa habari ule wa business as usual, haufai...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana wapewa changamoto ya kutumia uzazi wa mpango

Afisa Vijana wa UMATI kutoka Temeke Bibi. Upendo Daud akimkabidhi zawadi ya machapisho kuhusu Afya ya uzazi wa mpango Mwenyekiti wa Mtaa wa Sabasaba ambaye pia alikuwa mgeni rasmi katika Jamvi la Vijana lililofanyika katika mtaa wake. Jamvi la Vijana ni program ambayo inaendeshwa na UMATI kupitia Kituo cha Vijana YAM kutoka Manispaa ya Temeke, Jamvi hilo la vijana limebeba kauli mbiu ya “Kijana ana haki ya juu ya uzazi wa mpango?”Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Sabasaba wakipata maelezo...

 

5 years ago

Michuzi

CORONA YASABABISHA WAFANYABIASHARA KUCHELEWA KUAGIZA SUKARI KWA WAKATI, SERIKALI YAINGILIA KATI YATATUA CHANGAMOTO HIYO - WAZIRI BASHUNGWA

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Innocent Bashungwa (Mb) akitoa ufafanuzi juu ya malalamiko ya wananchi kuhusu kupanda kwa bei ya sukari nchini, Jijini Dodoma leo tarehe 16 Aprili 2020
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma


Serikali imewahakikishia watanzania kuwa hakuna upungufu wa sukari Tanzania hivyo wananchi hawapaswi kuwa na wasiwasi wa aina yoyote ile.


Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Innocent Bashungwa (Mb) ameyasema hayo Jijini Dodoma leo tarehe 16 Aprili 2020 wakati akitoa...

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda awapa changamoto wafanyabiashara

>Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amewataka Watanzania wenye uwezo kifedha waangalie uwezekano wa kuanzisha viwanda nchini badala ya kuendelea kuwa wachuuzi wa kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi na kuziuza.

 

5 years ago

Michuzi

SEKTA YA AJIRA IMEBAKI KUWA CHANGAMOTO KIDUNIA,NBC WAPEWA TUZO

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Sulubu Hassan amesema ukosefu wa ajira kwa vijana umebaki kuwa changamoto ya kidunia na kwa mujibu wa taarifa za Shirika la Kazi Duniani (ILO).
Amesema Kuhusu mwenendo wa soko la ajira kwa mwaka huu inaonesha zaidi ya watu Milioni 187.7 duniani hawana kazi.
Samia amesema katika Jumuiya ya SADC inakadiriwa kuwa zaidi ya asilimia 60 ya nguvu kazi ni vijana hivyo hawana budi kuitumia ipasvyo katika kukuza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani