Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waandishi wapewa changamoto

BARAZA la Habari Tanzania (MCT) limetaka waandishi wa habari mkoani Dodoma kuripoti vyanzo vya migogoro kuliko matokeo ili kupunguza madhara yanayoweza kutokea katika jamii.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Waandishi wa habari wapewa changamoto ya ubunifu, kujituma

Na Nathaniel Limu, Singida

WAANDISHI wa Habari mkoani Singida, wamehimizwa kuondokana na uandishi habari wa mazoea na badala yake wabadilike na kuwa wabunifu ili kazi yao iweze kukidhi viwango vya wakati uliopo.

Changamoto hiyo imetolewa hivi karibuni na mwandishi wa habari mkongwe, Eda Sanga wakati akizungmza kwenye semina ya Uhabarisho wa Mfuko wa Habari Tanzania (Tanzania Media Fund TMF) kwa waandishi wa habari mkoa wa Singida.

Amesema waandishi wa habari ule wa business as usual, haufai...

 

11 years ago

Mwananchi

Changamoto kwa Wafanyabiashara wadogo wapewa changamoto

Wafanyabiashara wadogo wametakiwa kuacha woga na kuanza kutumia taasisi za fedha kama njia rafiki na chachu ya maendeleo na kukuza mitaji yao.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge wanawake wapewa changamoto

WABUNGE wanawake wametakiwa kujenga uwezo wa kujenga hoja na kuhakikisha suala la mgawanyiko wa rasilimali kwenye bajeti ya Serikali unafanywa kwa mtazamo wa kijinsia ili kusaidia kuondoa umasikini.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanahabari Ruvuma wapewa changamoto

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Joseph Mkirikiti amewataka waandishi wa habari kuhamasisha wananchi kujiandikisha ili wapate vitambulisho vya Taifa.

 

10 years ago

Michuzi

Vijana wapewa changamoto ya kutumia uzazi wa mpango

Afisa Vijana wa UMATI kutoka Temeke Bibi. Upendo Daud akimkabidhi zawadi ya machapisho kuhusu Afya ya uzazi wa mpango Mwenyekiti wa Mtaa wa Sabasaba ambaye pia alikuwa mgeni rasmi katika Jamvi la Vijana lililofanyika katika mtaa wake. Jamvi la Vijana ni program ambayo inaendeshwa na UMATI kupitia Kituo cha Vijana YAM kutoka Manispaa ya Temeke, Jamvi hilo la vijana limebeba kauli mbiu ya “Kijana ana haki ya juu ya uzazi wa mpango?”Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Sabasaba wakipata maelezo...

 

9 years ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI WAPEWA ELIMU YA MASUALA YA KODI

 Meneja wa Kampuni ya Business Connexion Tanzania Limited Ebenezer Massawe akitoa mafunzo juu ya kupata taarifa ya vyanzo vya mapato  kwa waandishi wahabari  wakati wa  semina iliyoandaliwa na Chama cha waandishi wa habari za kodi Tanzania  (TAWNET jijini Dar es Salaam. Kwa udhamini wa Vodacom Tanzania.  Afisa Mwandamizi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) Hamisi Lupenja,akifafanua jambo  kwa waandishi wahabari (hawapo pichani ) wakati wa semina iliyoandaliwa na Chama cha waandishi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Waandishi wa Mitandao ya Kijamii Wapewa Elimu ya Afya na Uzazi

Mkurugenzi wa Taasisi ya Kupunguza Matatizo ya Mapafu Duniani iliyopo nchini Tanzania (WLF), Dk. Nguke Mwakatundu akifungua semina hiyo leo jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi wa Taasisi ya Kupunguza Matatizo ya Mapafu Duniani iliyopo nchini Tanzania (WLF), Dk. Nguke Mwakatundu akifungua semina hiyo leo jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi wa Huduma za Kliniki wa Taasisi ya Kupunguza Matatizo ya Mapafu Duniani iliyopo nchini Tanzania (WLF), Dk. Sunday Dominico akiwasilisha mada katika semina hiyo leo ofisi za WLF. Mkurugenzi wa Huduma za Kliniki wa Taasisi ya Kupunguza Matatizo ya Mapafu Duniani iliyopo nchini Tanzania (WLF), Dk. Sunday Dominico akiwasilisha mada katika semina hiyo leo ofisi za WLF,Mikochini Jijini Dar.Meneja Mawasiliano wa Taasisi ya Kupunguza Matatizo ya Mapafu Duniani iliyopo nchini Tanzania (WLF), Victoria Marijani.Meneja Mawasiliano wa Taasisi ya Kupunguza Matatizo ya Mapafu Duniani iliyopo nchini Tanzania (WLF), Victoria...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wahariri na waandishi wa habari wapewa semina ya uhifadhi wa mazingira

001

Meneja  Uhifadhi wa Shirika la Utunzaji wa Mazingira WWF Tanzania, Dr. Amani Ngusaru ,akizungumza na wahariri na waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari mbalimbali katika semina ilioandaliwa na (WWF) iliofanyika Disemba 2-3, 2014 mkoani Morogoro juu ya utunzaji wa mazingira ili kuleta uwiano sawa wa rasilimali zinazopatikana maeneo mbalimbali nchini.(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON).

002

Mkurugenzi wa  Shirika la Utunzaji wa Mazingira WWF Tanzania Bw. Bell’Aube Houinato akielezea malengo...

 

5 years ago

Michuzi

SEKTA YA AJIRA IMEBAKI KUWA CHANGAMOTO KIDUNIA,NBC WAPEWA TUZO

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Sulubu Hassan amesema ukosefu wa ajira kwa vijana umebaki kuwa changamoto ya kidunia na kwa mujibu wa taarifa za Shirika la Kazi Duniani (ILO).
Amesema Kuhusu mwenendo wa soko la ajira kwa mwaka huu inaonesha zaidi ya watu Milioni 187.7 duniani hawana kazi.
Samia amesema katika Jumuiya ya SADC inakadiriwa kuwa zaidi ya asilimia 60 ya nguvu kazi ni vijana hivyo hawana budi kuitumia ipasvyo katika kukuza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani