Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waandishi wa habari wapewa changamoto ya ubunifu, kujituma

Na Nathaniel Limu, Singida

WAANDISHI wa Habari mkoani Singida, wamehimizwa kuondokana na uandishi habari wa mazoea na badala yake wabadilike na kuwa wabunifu ili kazi yao iweze kukidhi viwango vya wakati uliopo.

Changamoto hiyo imetolewa hivi karibuni na mwandishi wa habari mkongwe, Eda Sanga wakati akizungmza kwenye semina ya Uhabarisho wa Mfuko wa Habari Tanzania (Tanzania Media Fund TMF) kwa waandishi wa habari mkoa wa Singida.

Amesema waandishi wa habari ule wa business as usual, haufai...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Waandishi wapewa changamoto

BARAZA la Habari Tanzania (MCT) limetaka waandishi wa habari mkoani Dodoma kuripoti vyanzo vya migogoro kuliko matokeo ili kupunguza madhara yanayoweza kutokea katika jamii.

 

9 years ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI WAPEWA ELIMU YA MASUALA YA KODI

 Meneja wa Kampuni ya Business Connexion Tanzania Limited Ebenezer Massawe akitoa mafunzo juu ya kupata taarifa ya vyanzo vya mapato  kwa waandishi wahabari  wakati wa  semina iliyoandaliwa na Chama cha waandishi wa habari za kodi Tanzania  (TAWNET jijini Dar es Salaam. Kwa udhamini wa Vodacom Tanzania.  Afisa Mwandamizi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) Hamisi Lupenja,akifafanua jambo  kwa waandishi wahabari (hawapo pichani ) wakati wa semina iliyoandaliwa na Chama cha waandishi wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wahariri na waandishi wa habari wapewa semina ya uhifadhi wa mazingira

001

Meneja  Uhifadhi wa Shirika la Utunzaji wa Mazingira WWF Tanzania, Dr. Amani Ngusaru ,akizungumza na wahariri na waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari mbalimbali katika semina ilioandaliwa na (WWF) iliofanyika Disemba 2-3, 2014 mkoani Morogoro juu ya utunzaji wa mazingira ili kuleta uwiano sawa wa rasilimali zinazopatikana maeneo mbalimbali nchini.(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON).

002

Mkurugenzi wa  Shirika la Utunzaji wa Mazingira WWF Tanzania Bw. Bell’Aube Houinato akielezea malengo...

 

9 years ago

Michuzi

ZIARA YA WAANDISHI WA HABARI KIWANDA CHA TBL, WAFANYABIASHARA NCHINI WAPEWA WITO.


  Mkuu wa usalama wa mahali pa kazi wa TBL Mbeya, Godfrey Kisulilo akiwaonesha waandishi wa habari namna ya kutunza maji.  Waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini maelezo yanayotolewa na uomgozi wa tbl.Waandishi wa habari Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza ziara katika kiwanda cha bia cha TBL Mbeya.WAFANYABIASHARA mkoani Mbeya wamehimizwa kutumia fursa ya uwepo wa kiwanda cha bia cha TBL mkoani kwao kwa kujihusisha na biashara zenye mahusiano na kiwanda hicho ili...

 

11 years ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI KUTOKA NCHI ZAIDI YA 14 BARANI AFRIKA WAPEWA MAFUNYO YA UCHUNGUZI WA UHALIFU NCHINI MAURITIUS

 Mtaalam wa Maswala ya Uchunguzi wa Uhalifu (Crime and Investigation) kutona nchini Uingereza,Steven Gaskin (kulia) akizungumza wakati wa kutoa mafunzo kwa waandini wa habari (hawapo pichani) kutoka nchi mbali mbali barani Afrika ya namna ya kuweza kuchunguza na kuweza kubaini mwalifu katika tukio lolote,katika mafunzo yaliyofanyika jana kwenye ufukwe wa hoteli ya Trou Aux Biches,Mauritius.Mafunzo hayo yametolewa ikiwa ni sehemu kujionea kazi mbali mbali zinachoonyeshwa kwenye DSTV na GOTV...

 

11 years ago

Mwananchi

Changamoto kwa Wafanyabiashara wadogo wapewa changamoto

Wafanyabiashara wadogo wametakiwa kuacha woga na kuanza kutumia taasisi za fedha kama njia rafiki na chachu ya maendeleo na kukuza mitaji yao.

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA HARAMBEE KUWASAIDIA WAANDISHI WA HABARI YAKABIDHI MILIONI 20 KWA WAANDISHI WENYE MAHITAJI YA MATIBABU

 Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani), ndani ya Idara ya Habari MAELEZO,mapema leo jijini Dar kuhusiana na matokeo ya harambee ya Media Car Wash for Cancer Campaign, inayoendelea nchini.  Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanahabari Ruvuma wapewa changamoto

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Joseph Mkirikiti amewataka waandishi wa habari kuhamasisha wananchi kujiandikisha ili wapate vitambulisho vya Taifa.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge wanawake wapewa changamoto

WABUNGE wanawake wametakiwa kujenga uwezo wa kujenga hoja na kuhakikisha suala la mgawanyiko wa rasilimali kwenye bajeti ya Serikali unafanywa kwa mtazamo wa kijinsia ili kusaidia kuondoa umasikini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani