ZIARA YA WAANDISHI WA HABARI KIWANDA CHA TBL, WAFANYABIASHARA NCHINI WAPEWA WITO.
Mkuu wa usalama wa mahali pa kazi wa TBL Mbeya, Godfrey Kisulilo akiwaonesha waandishi wa habari namna ya kutunza maji.
Waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini maelezo yanayotolewa na uomgozi wa tbl.
Waandishi wa habari Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza ziara katika kiwanda cha bia cha TBL Mbeya.WAFANYABIASHARA mkoani Mbeya wamehimizwa kutumia fursa ya uwepo wa kiwanda cha bia cha TBL mkoani kwao kwa kujihusisha na biashara zenye mahusiano na kiwanda hicho ili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziZIARA YA WAHARIRI KIWANDA CHA BIA TBL MBEYA
Meneja wa Kiwanda cha Bia Mbeya, Waziri Jemedari aliwaambia Wahariri...
11 years ago
Michuzi
WAANDISHI WA HABARI KUTOKA NCHI ZAIDI YA 14 BARANI AFRIKA WAPEWA MAFUNYO YA UCHUNGUZI WA UHALIFU NCHINI MAURITIUS

10 years ago
Michuzi19 Jun
Fastjet yafadhili ziara ya waandishi wa habari wa Tanzania nchini Zimbabwe


10 years ago
GPL
FASTJET YAFADHILI ZIARA YA WAANDISHI WA HABARI WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE
10 years ago
MichuziWAANDISHI WA HABARI WAPEWA ELIMU YA MASUALA YA KODI
11 years ago
Dewji Blog13 May
Waandishi wa habari wapewa changamoto ya ubunifu, kujituma
Na Nathaniel Limu, Singida
WAANDISHI wa Habari mkoani Singida, wamehimizwa kuondokana na uandishi habari wa mazoea na badala yake wabadilike na kuwa wabunifu ili kazi yao iweze kukidhi viwango vya wakati uliopo.
Changamoto hiyo imetolewa hivi karibuni na mwandishi wa habari mkongwe, Eda Sanga wakati akizungmza kwenye semina ya Uhabarisho wa Mfuko wa Habari Tanzania (Tanzania Media Fund TMF) kwa waandishi wa habari mkoa wa Singida.
Amesema waandishi wa habari ule wa business as usual, haufai...
10 years ago
Michuzi
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA) champongeza Dkt John Magufuli

10 years ago
Dewji Blog04 Dec
Wahariri na waandishi wa habari wapewa semina ya uhifadhi wa mazingira
Meneja Uhifadhi wa Shirika la Utunzaji wa Mazingira WWF Tanzania, Dr. Amani Ngusaru ,akizungumza na wahariri na waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari mbalimbali katika semina ilioandaliwa na (WWF) iliofanyika Disemba 2-3, 2014 mkoani Morogoro juu ya utunzaji wa mazingira ili kuleta uwiano sawa wa rasilimali zinazopatikana maeneo mbalimbali nchini.(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON).
Mkurugenzi wa Shirika la Utunzaji wa Mazingira WWF Tanzania Bw. Bell’Aube Houinato akielezea malengo...
10 years ago
Michuzi06 Dec
kampuni ya selcom wireless yaipiga jeki Chama cha waandishi wa habari za michezo nchini (taswa)