Fastjet yafadhili ziara ya waandishi wa habari wa Tanzania nchini Zimbabwe
Waandishi wa habari kutoka Tanzania waliosafirishwa na Shirika la ndege lenye gharama nafuu nchini Fastjet kuhudhuria maonyesho ya Kimataifa ya Utalii ya Shanganai yanayoendelea nchini Zimbabwe. Kutoka kushoto ni Timothy Kitundu (East Africa Business Week), Mariam Said (Daily News) pamoja na Justin Damiana (The African) wakiwa wameketi kwenye mapango ya Chinhoyi huku wakibadilishana mawazo na wadau wa utalii kutoka Afrika Kusini.
Kutoka kushoto ni Victoria Siphiwe Mamvura Gava, Cherry Sibanda...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG_28351.jpg)
FASTJET YAFADHILI ZIARA YA WAANDISHI WA HABARI WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE
9 years ago
MichuziZIARA YA WAANDISHI WA HABARI KIWANDA CHA TBL, WAFANYABIASHARA NCHINI WAPEWA WITO.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-LRaX5r1am2w/XnnlmtwERvI/AAAAAAALk4U/5Je-dZSJmkUYaEAaTpKU7CZkmqvC8O8xwCLcBGAsYHQ/s72-c/01.jpg)
JET ILIVYODHAMIRIA KUWEKA MKAKATI WAKE WA KUENDELEA KUWAONOA WAANDISHI WA HABARI ZA MAZINGIRA NCHINI TANZANIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-LRaX5r1am2w/XnnlmtwERvI/AAAAAAALk4U/5Je-dZSJmkUYaEAaTpKU7CZkmqvC8O8xwCLcBGAsYHQ/s640/01.jpg)
Mkurugenzi Mtendaji wa JET John Chikomo(kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya JET Dk.Ellen Utaru Okoedion wakijadilana jambo wakati wa mafunzo hayo.
:Mwandishi Sidi Mgumia akitoa uzoefu wake katika masuala ya uandishi wa habari za mazingira na uhifadhi wakati wa semina...
11 years ago
Michuzi26 May
WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) YANYA ZIARA NA WAANDISHI WA VYOMBO VYA HABARI KUJIONEA UTUNZAJI WA MISITU YA CHOME, SHENGENA-KILIMANJARO
10 years ago
MichuziWAANDISHI WA HABARI WANAOENDA NCHINI MALAWI WAAGWA RASMI
10 years ago
Dewji Blog26 Mar
TASWA yawapiga msasa waandishi wa habari za michezo nchini
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Bw. Dioniz Malinzi, akimkabizi cheti Rajabu Mhamila baada ya mafunzo ya uhandishi wa habari kulia ni mwenyekiti wa TASWA Juma Pinto na Katibu Mkuu wa Mchezo wa Riadha nchini Suleiman Nyambu … (RT)
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ kulia akibadilishana mawazo na mwalimu wake wa habari za michezo Salim Said Salim wakati wa mapumziko mafupi ya mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Taswa jana.
Baadhi ya waandishi...
9 years ago
Dewji Blog28 Dec
Waandishi wa habari wasaidia wanavijiji nchini kusikika kupitia sauti zao
Mraghabishi mwalimu Revocatus Renatus (kulia) wa kijiji cha Unyanyembe mkoani Shinyanga akihojiwa na mtangazaji wa Redio Free Africa Felista Kujirilwa wakati wa kuandaa moja ya vipindi vya redio vya Chukua Hatua.
“Haijatokea hata siku moja mwandishi wa habari akaja huku kwa kweli. Hii ni mara yangu ya kwanza kuona wanahabari katika kijiji chetu. Toka nimezaliwa sijawahi kumuona mwandishi wa habari kuja hapa na mimi nina miaka 70.”
Hayo ni maneno ya Mzee Titus Ndugulile mraghabishi wa...
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
Fastjet yaingia Zimbabwe
KAMPUNI ya ndege ya Fastjet imezidi kupanua huduma zake kwa kuongeza masafa yake kwenda nchini Zimbabwe mara mbili kwa wiki ikitokea Dar es Salaam na kufikia njia ya tatu ya...
10 years ago
Vijimambo14 Jan
Waandishi wa habari nchini Uganda waandamana kudai mazingira salama ya kufanya kazi.
![](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/01/NAU-intercepted-e14210641649161.jpg?resize=437%2C291)
![](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/01/e0f03fc0c8d24937bb68dc8898002994.jpg?resize=437%2C301)