Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waandishi wa habari wasaidia wanavijiji nchini kusikika kupitia sauti zao

1

Mraghabishi mwalimu Revocatus Renatus (kulia)  wa kijiji cha Unyanyembe mkoani  Shinyanga akihojiwa na mtangazaji wa Redio Free Africa Felista Kujirilwa wakati wa  kuandaa  moja ya vipindi vya redio vya Chukua Hatua.

“Haijatokea hata siku moja mwandishi wa habari akaja huku kwa kweli. Hii ni mara yangu ya kwanza kuona wanahabari katika kijiji chetu. Toka nimezaliwa sijawahi kumuona mwandishi wa habari kuja hapa na mimi nina miaka 70.”

 Hayo ni maneno ya Mzee Titus Ndugulile mraghabishi wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

LILIAN LIHUNDI: Nguvu ya pamoja itafanikisha sauti za wanawake kusikika

HIVI karibuni tumeshuhudia Bunge Maalum la Katiba likimaliza kazi yake na kukabidhi Katiba inayopendekezwa kwa Rais Jakaya Kikwete huku ikiwa imebeba Ibara 289. Taasisi mbalimbali zimeanza mchakato wa kuichambua katiba...

 

10 years ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI KUTOKA VYOMBO MBALIMBALI WAKISUBIRI JINA LA MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA USIKU HUU

 
Afisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Tumaini Makene akizungumza na waandishi habari  hivi punde juu kinachoendelea katika mkutano wa kutafuta mgombea wa Urais kwa tiketi ya UKAWA, uliofanyika katika Hoteli ya Colesseum jijini Dar es Salaam,Makene amesema majadiliano hayo sio urais tu bali kuna mipaka ya majimbo mapya jinsi watavyojipanga katika kushiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu. Makene amezidi kuwataka waandishi wawe na subira kusubiri maamuzi...

 

10 years ago

Dewji Blog

TASWA yawapiga msasa waandishi wa habari za michezo nchini

IMG_7336

Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Bw. Dioniz Malinzi, akimkabizi cheti Rajabu Mhamila baada ya mafunzo ya uhandishi wa habari kulia ni mwenyekiti wa TASWA Juma Pinto na Katibu Mkuu wa Mchezo wa Riadha nchini Suleiman Nyambu … (RT)

IMG_7285

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ kulia akibadilishana mawazo na mwalimu wake wa habari za michezo Salim Said Salim wakati wa mapumziko mafupi ya mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Taswa jana.

IMG_7296

Baadhi ya waandishi...

 

10 years ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI WANAOENDA NCHINI MALAWI WAAGWA RASMI

 Baadhi ya waandishi wa habari wanaosafiri kwenda Malawi wakiwa wanamsikiliza Katibu tawala msaidizi wakati wa kuagana. Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Mbeya, Leonard Magacha akizungumza na waandishi wa Habari wanaotarajia kusafiri. Mwenyekiti wa safari ya Malawi, Ulimboka Mwakilili, akitoa ufafanuzi wakati wa kuagana na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya. Mwandishi Christopher Nyenyembe, mmoja wa Waandishi wanaosafiri akifafanua jambo. Katibu tawala Msaidizi akiwa katika picha ya pamoja na...

 

10 years ago

Michuzi

Fastjet yafadhili ziara ya waandishi wa habari wa Tanzania nchini Zimbabwe

IMG_2921Waandishi wa habari kutoka Tanzania waliosafirishwa na Shirika la ndege lenye gharama nafuu nchini Fastjet kuhudhuria maonyesho ya Kimataifa ya Utalii ya Shanganai yanayoendelea nchini Zimbabwe. Kutoka kushoto ni Timothy Kitundu (East Africa Business Week), Mariam Said (Daily News) pamoja na Justin Damiana (The African) wakiwa wameketi kwenye mapango ya Chinhoyi huku wakibadilishana mawazo na wadau wa utalii kutoka Afrika Kusini.IMG_3430Kutoka kushoto ni Victoria Siphiwe Mamvura Gava, Cherry Sibanda...

 

10 years ago

GPL

FASTJET YAFADHILI ZIARA YA WAANDISHI WA HABARI WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE‏

Pichani ni Mhudumu wa Mapango ya Chinhoyi Cephas Sithole akitoa maelezo kwa timu ya waandishi wa habari waliombatana na wadau wa utalii kutoka nchini Afrika Kusini kwenye ziara hiyo ya kutembelea vivutio vya utalii nchini Zimbabwe katika mapango Chinhoyi.(Picha zote na Zainul Mzige). Mungoza watalii katika mapango ya Chinhoyi katika mkoa wa Chinhoyi nchini Zimbabwe, Aleck Makumire akitoa maelezo wa timu ya waandishi wa habari...

 

10 years ago

Michuzi

MUHTASARI WA HABARI KATIKA TV MBALIMBALI NCHINI LEO KUPITIA SIMU TV


Zimekusanywa na Samuel Kamugisha

CHANNEL 10*Baraza la Taifa la elimu ya ufundi NACTE lafuta usajili wa vyuo 3 na 16 kushushwa hadhi katika jitihada za kulinda ubora wa elimu nchini. http://youtu.be/2HosRmHz7lU
*Jaji Augustino Ramadhani apata wadhamini mkoani Kilimanjaro huku akisema endapo atachaguliwa atashirikiana na wagombea wenziwe. http://youtu.be/qU7V9hQfIlI *Kada wa CCM Edward Lowassa asema hababaishwi na kashfa,vitisho na matusi anavyokumbana navyo kwani ana nia ya dhati ya kuongoza...

 

10 years ago

Vijimambo

Waandishi wa habari nchini Uganda waandamana kudai mazingira salama ya kufanya kazi.

Mwandishi wa habari aliyepigwa na kujeruhuwa akiwa kazini amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi katika Hospitali ya Msambia, nchini humo. Waandishi wa habari nchini Uganda waandamana kudai mazingira salama ya kufanya kazi.
 Moja ya story zilizochukua headlines kutoka Uganda leo January 13, ni ile inayohusu Waandishi wa habari nchini humo kuandamana baada ya Afisa wa Polisi Joram Mwesije, kumpiga mwandishi Adrew Lwanga, na baadae akakutana na Ispekta wa Polisi na kukiri makosa yake,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani