Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waandishi wa habari nchini Uganda waandamana kudai mazingira salama ya kufanya kazi.

Mwandishi wa habari aliyepigwa na kujeruhuwa akiwa kazini amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi katika Hospitali ya Msambia, nchini humo. Waandishi wa habari nchini Uganda waandamana kudai mazingira salama ya kufanya kazi.
 Moja ya story zilizochukua headlines kutoka Uganda leo January 13, ni ile inayohusu Waandishi wa habari nchini humo kuandamana baada ya Afisa wa Polisi Joram Mwesije, kumpiga mwandishi Adrew Lwanga, na baadae akakutana na Ispekta wa Polisi na kukiri makosa yake,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

JET ILIVYODHAMIRIA KUWEKA MKAKATI WAKE WA KUENDELEA KUWAONOA WAANDISHI WA HABARI ZA MAZINGIRA NCHINI TANZANIA

 Sehemu ya waandishi wa habari za mazingira kutoka vyombo mbalimbali nchini wakiwa kwenye mafunzo yaliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira(JET) hivi karibuni jijini Dar  es Salaam kwa lengo la kuwajengea uwezo.
Mkurugenzi Mtendaji wa JET John Chikomo(kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya JET Dk.Ellen Utaru  Okoedion wakijadilana jambo wakati wa mafunzo hayo.


:Mwandishi Sidi Mgumia akitoa uzoefu wake katika masuala ya uandishi wa habari za mazingira na uhifadhi wakati wa semina...

 

5 years ago

Michuzi

JET YAENDELEA KUWANOA WAANDISHI WA HABARI KUANDIKA HABARI ZINAZOHUSU UHIFADHI WA MAZINGIRA,WANYAMAPORI


Na Said Mwishehe,Michuzi TV

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania(JET) imevikumbusha vyombo vya habari nchini kuwa vinavyo nafasi kubwa ya kuwezesha watunga sera kutunga sera zitakazosaidia kukabiliana na biashara haramu ya wanyama pori pamoja na ujangili.

Kwa upande wa jamii nayo imeelezwa wanalo jukumu la kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya uhifadhi wa mazingira na wanyamapori kusimama imara katika kukomesha uharibifu wa mazingira na zaidi biashara haramu ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

JET yahamasisha waandishi kuripoti habari za mazingira

DSC00873

 

Katibu mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Mazingira Tanzania (JET) John Chikomo, akitoa taarifa yake ya utendaji pamoja na fedha mbele ya mkutano mkuu wa mwaka 2013 wa chama hicho. Mkutano huo uliohudhuriwa na wananchama wengi, ulifanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Lion iliyopo Sinza jijini Dar-es-salaam.Wa pili kushoto (waliokaa) ni mwenyekiti wa JET, Johnson Mbwambo na anayefuata ni katibu christom Rweyemamu na wa kwanza kulia ni mjumbe wa kamati ya bodi.

Na Nathaniel...

 

10 years ago

Vijimambo

WANAWAKE NCHINI UGANDA WAANDAMANA WAKIWA UCHI

Wanawake wa jamii ya Ancholi 'wakigalagala' chini huku wakiwa uchi kama ishara ya kumlaani adui....Wakiendelea na maandamano huku wakiwa uchi.Maandamano yakipamba moto.Magdalena Alum, mkazi wa eneo hilo.Karamela Anek, akisema wataendelea na maandamano kutetea haki yao.John Makombo ambaye ni Mkurugenzi wa mamlaka ya wanyamapori nchini Uganda (UWA).
Jamii ya Apaa walisema, ikiwa mgogoro huo utaendelea, zaidi ya watu 21,000 watakumbwa na madhara ya mgogoro huo.Sehemu ya eneo lililo katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wahariri na waandishi wa habari wapewa semina ya uhifadhi wa mazingira

001

Meneja  Uhifadhi wa Shirika la Utunzaji wa Mazingira WWF Tanzania, Dr. Amani Ngusaru ,akizungumza na wahariri na waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari mbalimbali katika semina ilioandaliwa na (WWF) iliofanyika Disemba 2-3, 2014 mkoani Morogoro juu ya utunzaji wa mazingira ili kuleta uwiano sawa wa rasilimali zinazopatikana maeneo mbalimbali nchini.(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON).

002

Mkurugenzi wa  Shirika la Utunzaji wa Mazingira WWF Tanzania Bw. Bell’Aube Houinato akielezea malengo...

 

11 years ago

Michuzi

WAANDISHI WANAWAKE WANAFANYA KAZI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU-UTAFITI

Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Irina Bokova, ( kati kati) akizungumza wakati wa majadiliano kuhusu Teknolojia ya habari na mawasiliano na mchango wa vyombo huru vya habari katika kuwawezesha wanawake na watoto wa kike, katika majadiliano hayo, wazungumzaji waliokaa meza kuu ambao ni kutoka kushoto, Bi. Elisa Munoz, Mkurugenzi Mtendaji wa IWMF, Muwakilishi wa Kudumu wa Austria Balozi Martin Sjdik, Bw. Peter Launsky-Tieffenthal Katibu Mkuu Msaidizi na mkuu wa Idara ya ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

RCGA waandamana kudai kibali

MAANDAMANO ya zaidi ya kilometa 100 yaliyofanywa na wanachama wa Chama cha Wakulima wa Miwa bonde la Ruhembe (RCGA) kwenda kwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa wakidai kibali cha kufanya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waandamana kudai kidato cha tano

WAHITIMU 39 wa kidato cha nne mwaka jana katika Shule ya Sekondari Karobe jijini hapa wakiwa na wazazi wao, jana waliandamana hadi ofisi za Mkuu wa Mkoa ili kujua hatma...

 

10 years ago

Bongo Movies

KAZI MPYA:Wema Atua Nchini Ghana Kufanya Kazi na Van Vicker

Aliekuwa Miss Tanzania (2006), Mwigizaji na mkurugenzi wa kampuni ya  Endless Fame, inayojishughurisha na mambo ya filamu hapa nchini, Wema Sepetu aka Madame hivi sasa yupo nchini Ghana kwaajili ya kufanya kazi na msanii maarufu nchini humo na Afrika kwa ujumla aitwaye van vicker.

Leo hii kwenye mtandao wa kijamii Wema aliweka picha hiyo akiwa na msanii huyo na kuandika “In the Making” na kumtag Van.

Jina la project (MOVIE) hiyo mpya hadi sasa bado halijajulikana. Endelea kutufuatilia hapa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani