Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZIARA YA WAHARIRI KIWANDA CHA BIA TBL MBEYA

 WAHARIRI 22 wa Vyombo vya habari mbali mbali nchini jana walifanya ziara kwenye Kiwanda cha Kampuni ya  Bia Tanzania(TBL) wakiongozwa na Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF).Katika ziara hiyo Wahariri hao walipata maelezo mbali mbali kutoka kwa  Mkurugenzi Mkuu wa TBL,Roberto Jarrin kuhusu hali ya kibiashara ya kampuni hiyo pamoja na bidhaa zinazozalishwa kisha kutembelea mitambo ya kutengeneza Bia.
Meneja wa Kiwanda cha Bia Mbeya, Waziri Jemedari aliwaambia Wahariri...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WANAHABARI MBEYA WATEMBELEA KIWANDA CHA BIA CHA TBL NA KUSHIRIKI SHINDANO LA KUONJA BIA

WAANDISHI wa Habari Mkoa wa Mbeya hivi karibuni walifanya ziara ya kutembelea kiwanda cha bia TBL Mbeya ambapo pia walipata nafasi ya kushiriki mashindano ya kuonja bia.
Katika shindano hilo, Mzoefu Saada Matiku ambaye ni mwandishi wa Chanel Ten aliibuka kidedea kwa kupata alama tano kwa tano ikiwa ni mara ya pili tangu apate nafasi kama hiyo kwenye mashindano ya mwaka juzi.
washindi wengine ni Kenneth Ngelesi wa Tanzania Daima aliyeibuka mshindi wa pili huku Merali Chawe wa Daily news...

 

9 years ago

Michuzi

ZIARA YA WAANDISHI WA HABARI KIWANDA CHA TBL, WAFANYABIASHARA NCHINI WAPEWA WITO.


  Mkuu wa usalama wa mahali pa kazi wa TBL Mbeya, Godfrey Kisulilo akiwaonesha waandishi wa habari namna ya kutunza maji.  Waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini maelezo yanayotolewa na uomgozi wa tbl.Waandishi wa habari Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza ziara katika kiwanda cha bia cha TBL Mbeya.WAFANYABIASHARA mkoani Mbeya wamehimizwa kutumia fursa ya uwepo wa kiwanda cha bia cha TBL mkoani kwao kwa kujihusisha na biashara zenye mahusiano na kiwanda hicho ili...

 

11 years ago

Michuzi

WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI WAFANYA ZIARA TBL JIJINI DAR


 Wahariri wakiwa katika picha ya pamoja a viongozi wa TBL wakati wa ziara hiyo.  Wahariri wa Vyombo vya Habari wakitembelea eneo la upikaji bia wakati wa ziara yao iliyofanyika  kwenye Kiwanda cha Bia Tanzania cha Dar es Salaam  Mtalaam wa Upishi Bia wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Benjamin Budigida akitoa maelezo ya jinsi bia inavyopikwa kwa kutumia njia ya kisasa ya kompyuta  wakati wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari walipotembelea Kiwanda cha Bia cha TBL Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

SIMBA WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR

SIMBA SC ambayo iko katika shughuli mbalimbali za kuadhimisha Simba Week imefanya ziara  ya kutembelea kiwanda cha kutengeneza bia cha TBL kinachozalisha bia ya Kilimanjaro Premium Lager inayoidhamini timu hiyo.Akiongea katika ziara hiyo  Rais wa Simba, Evans Aveva alisema kuwa wao kama timu ya Simba wameamua kufanya ziara yao katika kiwanda hicho ikiwa ni sehemu ya utaratibu wao kutembelea wadhamini kila mwaka ili kuimarisha uhusiano na wadhamini na kuweza kujionea mambo mbalimbali ambayo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dk. Mahanga atembelea kiwanda cha TBL Mwanza

 Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Roberto Jarrin (kulia) na katibu Mkuu wa TUICO, Boniface G Nkakatisi (kushoto) wakitiliana saini mkataba wa hiyari wa maboresho ya maslahi ya wafanyakazi wa TBL.Katikati ni Naibu waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Dk. Milton Mahanga.

 Naibu Waziri wa Kazi,Ajira na maendeleo ya Vijana, Dk.Milton Mahanga katikati, akipokea mkataba wa hiari wa maboresho ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),muda mfupi baada ya kusainiwa jana kati ya...

 

10 years ago

GPL

TRAFIKI WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL ARUSHA‏

 Mratibu wa Usalama afya na mazingira mahali pa kazi wa Kiwanda cha Bia nchini TBL Arusha Heavy Kassena akiwaonyesha baadhi ya maeneo na shughuli zinazofanywa kiwandani hapo askari wa kikosi cha Usalama barabarani mkoa wa Arusha, pembeni yake ni Ofisa Uhusiano wa TBL Makao Makuu Dorris Malulu, wakati wa ziara iliyofanyika kiwandani hapo juzi.…
...

 

10 years ago

Michuzi

MAOFISA WA JWTZ WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR

 Maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ),walio kwenye mafunzo wakitembelea Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam. Meneja Uhusiano wa TBL,Edith Mushi akisalimiana na Mkufunzi wa Kozi ya Eme, Kapteni Erasto Kalinga Maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzaniaa (JWTZ),walio kwenye mafunzo wakitembelea Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam. Meneja wa Afya na Usalama mahali pa kazi wa TBL, Renatus Nyanda akitoa maelezo kwa maofisa hao jinsi ya kuzingatia usalama watakapotembelea...

 

11 years ago

Michuzi

UONGOZI WA TPSF WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR

 eneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Dar es Salaam, Calvin Nkya akieezea jinsi bia inavyopikwa kwa kutumia kompyuta, wakati ujumbe wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), ulipotembelea kiwanda hicho. Viongozi hao wa TPSF kutoka kushoto ni, aliyekaa ni Ofisa Mawasiliano, Rehema Mtingwa, Mkurugenzi Mtendaji Godfrey Simbeye, Mkurugenzi wa Huduma za Wanachama, Louis Accaro na Mkurugenzi wa Sera, Edward Furaha.  Nkya akiwaonesha viongozi hao wa TPSF, mtambo wa kutengenezea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani