Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SEKTA YA AJIRA IMEBAKI KUWA CHANGAMOTO KIDUNIA,NBC WAPEWA TUZO

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Sulubu Hassan amesema ukosefu wa ajira kwa vijana umebaki kuwa changamoto ya kidunia na kwa mujibu wa taarifa za Shirika la Kazi Duniani (ILO).
Amesema Kuhusu mwenendo wa soko la ajira kwa mwaka huu inaonesha zaidi ya watu Milioni 187.7 duniani hawana kazi.
Samia amesema katika Jumuiya ya SADC inakadiriwa kuwa zaidi ya asilimia 60 ya nguvu kazi ni vijana hivyo hawana budi kuitumia ipasvyo katika kukuza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAHITIMU WAASWA KUACHANA NA FIKRIA POTOFU KUWA ELIMU WANAYOIPATA ITAWAPATIA AJIRA SERIKALINI AU KWENYE SEKTA BINAFSI



Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi kwenye Mahafali ya Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Bwawani.Wahitimu wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari Bwawani wakigani shairi lao mbele ya Mgeni rasmi.Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulwakil akimkabidhi cheti Mwanafunzi Mhitimu kwenye Mahafali ya Kumi na mbili ya Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Bwawani Oktoba 16,...

 

11 years ago

Mwananchi

Changamoto kwa Wafanyabiashara wadogo wapewa changamoto

Wafanyabiashara wadogo wametakiwa kuacha woga na kuanza kutumia taasisi za fedha kama njia rafiki na chachu ya maendeleo na kukuza mitaji yao.

 

10 years ago

Habarileo

Waandishi wapewa changamoto

BARAZA la Habari Tanzania (MCT) limetaka waandishi wa habari mkoani Dodoma kuripoti vyanzo vya migogoro kuliko matokeo ili kupunguza madhara yanayoweza kutokea katika jamii.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge wanawake wapewa changamoto

WABUNGE wanawake wametakiwa kujenga uwezo wa kujenga hoja na kuhakikisha suala la mgawanyiko wa rasilimali kwenye bajeti ya Serikali unafanywa kwa mtazamo wa kijinsia ili kusaidia kuondoa umasikini.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanahabari Ruvuma wapewa changamoto

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Joseph Mkirikiti amewataka waandishi wa habari kuhamasisha wananchi kujiandikisha ili wapate vitambulisho vya Taifa.

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NBC YASAIDIA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA

Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Rukia Mtingwa akikabidhi cheti kwa Eddah Francis (kulia), mmoja wa wahitimu wa mradi wa Kuendeleza Vijana Kiuchumi Dar es Salaam katika mahafali yao yalifanyika Chuo cha ufundi stadi cha Future World, Gongo la mboto, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam leo. Kulia kwa Rukia ni Mkuu wa Future World, Robert Mkolla na Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter. Mradi huo umefadhiliwa na NBC kwa kushirikiana na Shirika la Plan...

 

5 years ago

Michuzi

NBC YAUNGA MKONO SEKTA YA KILIMO MKOANI LINDI

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) yazindua NBC B Club Katika mkoa wa Lindi kwa lengo la kuunga mkono sekta ya kilimo ambapo kuna zao la Korosho na Ufuta na msimu wake unakaribia kuanza. 
Mazao hayo mawili ni kati ya mazao makubwa ya kibiashara yanayofanyika katika nchi yetu na nje ya nchi ya Tanzania. 
Kongamano hilo lilikusanya wafanyabiashara na wajasiriamali kutoka nyanja mbali na kwa pamoja walipata kufahamu fursa zinazotolewa na benki hiyo kwa wanachama wa Biashara Club. 
Akizungumza na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waandishi wa habari wapewa changamoto ya ubunifu, kujituma

Na Nathaniel Limu, Singida

WAANDISHI wa Habari mkoani Singida, wamehimizwa kuondokana na uandishi habari wa mazoea na badala yake wabadilike na kuwa wabunifu ili kazi yao iweze kukidhi viwango vya wakati uliopo.

Changamoto hiyo imetolewa hivi karibuni na mwandishi wa habari mkongwe, Eda Sanga wakati akizungmza kwenye semina ya Uhabarisho wa Mfuko wa Habari Tanzania (Tanzania Media Fund TMF) kwa waandishi wa habari mkoa wa Singida.

Amesema waandishi wa habari ule wa business as usual, haufai...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana wapewa changamoto ya kutumia uzazi wa mpango

Afisa Vijana wa UMATI kutoka Temeke Bibi. Upendo Daud akimkabidhi zawadi ya machapisho kuhusu Afya ya uzazi wa mpango Mwenyekiti wa Mtaa wa Sabasaba ambaye pia alikuwa mgeni rasmi katika Jamvi la Vijana lililofanyika katika mtaa wake. Jamvi la Vijana ni program ambayo inaendeshwa na UMATI kupitia Kituo cha Vijana YAM kutoka Manispaa ya Temeke, Jamvi hilo la vijana limebeba kauli mbiu ya “Kijana ana haki ya juu ya uzazi wa mpango?”Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Sabasaba wakipata maelezo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani