Vijana wapewa changamoto ya kutumia uzazi wa mpango
![](http://4.bp.blogspot.com/-PM0EHUn1UwM/U_8Ada5fbjI/AAAAAAAGKGc/EMXKoFk4hfY/s72-c/unnamed%2B(15).jpg)
Afisa Vijana wa UMATI kutoka Temeke Bibi. Upendo Daud akimkabidhi zawadi ya machapisho kuhusu Afya ya uzazi wa mpango Mwenyekiti wa Mtaa wa Sabasaba ambaye pia alikuwa mgeni rasmi katika Jamvi la Vijana lililofanyika katika mtaa wake. Jamvi la Vijana ni program ambayo inaendeshwa na UMATI kupitia Kituo cha Vijana YAM kutoka Manispaa ya Temeke, Jamvi hilo la vijana limebeba kauli mbiu ya “Kijana ana haki ya juu ya uzazi wa mpango?”
Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Sabasaba wakipata maelezo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Dosari za kutumia uzazi wa mpango wa dharura
9 years ago
MichuziBONANZA LA UZAZI WA MPANGO KWA VIJANA LAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
Mwananchi23 Mar
Changamoto kwa Wafanyabiashara wadogo wapewa changamoto
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-cTbN9ySqTvA/VksVNJbiC2I/AAAAAAAIGYE/RubQLxzXDno/s72-c/PIX2a.jpg)
JAMVI LA VIJANA LA UMATI MWEZI HUU LIMEKUWA CHACHU YA KUHAMASISHA VIJANA KATIKA MASUALA YA AFYA YA UZAZI
![](http://2.bp.blogspot.com/-cTbN9ySqTvA/VksVNJbiC2I/AAAAAAAIGYE/RubQLxzXDno/s640/PIX2a.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-gBj5JefuV2E/VksVNT5hswI/AAAAAAAIGYI/J5-tNm2zrus/s640/PIX2b.jpg)
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Vijana wilayani Kasulu wapewa somo kuhusu fursa za Mfuko wa Maendeleo ya Vijana
Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Mhe. Dani Makanga akizungumza na wajumbe kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo waliofika ofsini kwake kwa ajili ya kujitambulisha kabla ya kuendelea na ratiba yao ya mafunzo kwa Vijana wa Halmashauri za Kasulu na Bihigwe leo mjini Kasulu. Katikati ni Mkuu wa msafara huo ambaye pia ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Esther Riwa na wa kwanza kushoto ni Afisa Vijana wa wizara hiyo Bi. Amina...
10 years ago
BBCSwahili23 Jan
10 years ago
Michuzi06 Aug
Waandishi wa Mitandao ya Kijamii Wapewa Elimu ya Afya na Uzazi
![Mkurugenzi wa Taasisi ya Kupunguza Matatizo ya Mapafu Duniani iliyopo nchini Tanzania (WLF), Dk. Nguke Mwakatundu akifungua semina hiyo leo jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0005.jpg)
![Mkurugenzi wa Huduma za Kliniki wa Taasisi ya Kupunguza Matatizo ya Mapafu Duniani iliyopo nchini Tanzania (WLF), Dk. Sunday Dominico akiwasilisha mada katika semina hiyo leo ofisi za WLF.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/31.jpg)
![Meneja Mawasiliano wa Taasisi ya Kupunguza Matatizo ya Mapafu Duniani iliyopo nchini Tanzania (WLF), Victoria Marijani.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/4.jpg)
10 years ago
Habarileo08 Sep
Waandishi wapewa changamoto
BARAZA la Habari Tanzania (MCT) limetaka waandishi wa habari mkoani Dodoma kuripoti vyanzo vya migogoro kuliko matokeo ili kupunguza madhara yanayoweza kutokea katika jamii.
10 years ago
Habarileo31 Oct
Changamoto zinazokwamisha uzazi salama kudhibitiwa
KAMATI ya Afya ya Uendeshaji ya Wilaya ya Nkasi imeahidi kufanyia kazi changamoto zinazokabili vituo kadhaa vya afya na kukwamisha ufanisi katika utoaji wa huduma za dharura wakati wa kujifungua.