BONANZA LA UZAZI WA MPANGO KWA VIJANA LAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
Mkurungezi Mkuu wa Marie Stopes Tanzania, Anil Tambay akizugumza na wananchi (hawapo pichani) kwenye bonanza la uzazi wa Mpango kwa vijana ambalo lilifanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Mwembeyanga,Temeke jijini Dar.
Mgeni rasmi Zukrah Mkwizu akizungumuza na wananchi (hawapo pichani) kuhusiana na suala zima la Uzazi wa Mpango,na kusisitiza kuwa uzazi wa mpangp ni silaha imara ambayo vijana wanaweza kuitumia kupangilia maisha yao na kujikinga dhidi ya utoaji mimba usio salama...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLBONANZA LA MICHEZO LA VIJANA LAFANYIKA JIJINI MBEYA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-6srPbZUgeew/VGdMmaaV-zI/AAAAAAAGxeE/xfVqyozq4yo/s72-c/76.jpg)
Bonanza la Ufunguzi wa Wiki ya Mlipa Kodi ya TRA lafanyika leo jijini Dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-6srPbZUgeew/VGdMmaaV-zI/AAAAAAAGxeE/xfVqyozq4yo/s1600/76.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Aklf98u1S-M/VGdMkkY_NTI/AAAAAAAGxdw/t2zCYWL_FW0/s1600/74.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-rwTniHZa_os/VGzz-k3otZI/AAAAAAADNuc/XZbHIDeXr4o/s72-c/20141118_100555.jpg)
KONGAMANO LA VIJANA LA SIKU MOJA LAFANYIKA JIJINI DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-rwTniHZa_os/VGzz-k3otZI/AAAAAAADNuc/XZbHIDeXr4o/s1600/20141118_100555.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-tpX4dp1a1Vw/VGzz-oIBz3I/AAAAAAADNug/CzharKwUq4U/s1600/20141118_101009.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-7zQmDoSBhM0/U4rfBWQVKpI/AAAAAAAFm38/dFcKNSQ329g/s72-c/unnamed+(12).jpg)
kongamano la kimataifa la wanasayansi lafanyika jijini Dar es Salaam
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Nahreel, Haika wanogesha bonanza la uzazi wa mpango
NA MSHAMU NGOJWIKE
WASANII wa kizazi kipya hapa nchini wanaounda kundi la Navy Kenzo, Nahreel na Haika, juzi walipagawisha mashabiki katika bonanza la kuhamasisha upatikanaji wa huduma za uzazi wa mpango Wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam.
Mbali na wasanii hao, wasanii wengine ambao walikuwa kivutio kwa mashabiki ni pamoja na Mwasiti, Barnaba na kundi la vichekesho la ‘Vituko Show’ ambapo bonanza hilo lilifanyika kwenye viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke, likisimamiwa na ‘Marie Stopes...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-uQWMxOpimYE/U5Qg_S3AOUI/AAAAAAAFot8/8sZOm-_Yg8A/s72-c/unnamed+(34).jpg)
KONGAMANO LA MAJI LAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM, WADAU WAJIONEA TEKNOLOJIA MPYA YA MABOMBA
10 years ago
MichuziKONGAMANO LA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WANAWAKE TANZANIA (TANZANIA BUSINESS ENTREPRENEURS) LAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
Mwito huo umetolewa na Mratibu wa Kongamano la Jumuia ya Wafanyabiashara Wanawake Tanzania, Julieti Mjale wakati akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kongamano hilo lililofanyika Hoteli ya Mbezi Garden Dar es Salaam jana.
"Uthubutu katika jambo lolote ni muhimu kwani unamfanya muhusika kupiga hatua ya maendeleo" alisema Mjale
Alisema wajasiriamali...
10 years ago
MichuziProgramu ya kukuza ajira zenye staha kwa vijana kuzinduliwa jijini Dar es Salaam juni 5, 2015