Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nahreel, Haika wanogesha bonanza la uzazi wa mpango

Navy KenzoNA MSHAMU NGOJWIKE

WASANII wa kizazi kipya hapa nchini wanaounda kundi la Navy Kenzo, Nahreel na Haika, juzi walipagawisha mashabiki katika bonanza la kuhamasisha upatikanaji wa huduma za uzazi wa mpango Wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam.

Mbali na wasanii hao, wasanii wengine ambao walikuwa kivutio kwa mashabiki ni pamoja na Mwasiti, Barnaba na kundi la vichekesho la ‘Vituko Show’ ambapo bonanza hilo lilifanyika kwenye viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke, likisimamiwa na ‘Marie Stopes...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

BONANZA LA UZAZI WA MPANGO KWA VIJANA LAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkurungezi Mkuu wa Marie Stopes Tanzania, Anil Tambay akizugumza na wananchi  (hawapo pichani)  kwenye bonanza la uzazi wa Mpango kwa vijana ambalo lilifanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Mwembeyanga,Temeke jijini Dar. 
 Mgeni rasmi Zukrah Mkwizu akizungumuza na wananchi (hawapo pichani) kuhusiana na suala zima la Uzazi wa Mpango,na kusisitiza kuwa uzazi wa mpangp ni silaha imara ambayo vijana wanaweza kuitumia kupangilia maisha yao na kujikinga dhidi ya utoaji mimba usio salama...

 

10 years ago

GPL

HUAWEI WANOGESHA BONANZA LA WAFANYAKAZI WA MABENKI MKOANI MBEYA

Meneja Masoko wa Kampuni ya Huawei Tanzania, Lydia Wangari akizungumza na waandishi wa habari jana katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha TEKU mara baada ya kuzindua bonanza la wafanyakazi wa mabenki lililoandaliwa na Real Brand Solutions Ltd na kudhaminiwa na Huawei. Baadhi ya wafanyakazi wa mabenki mkoani Mbeya wakipata huduma katika vibanda vya Huawei.… ...

 

9 years ago

Bongo5

Nahreel na Aika wazungumzia mpango wa kuoana

Wapenzi wanaounda kundi la Navy Kenzo, Nahreal pamoja na Aika wameweka wazi mpango wao wa kufunga pingu za maisha mbeleni. Akizungumza na Bongo5 Ijumaa hii katika fainali za BSS, wawili hao walisema wana mpango huo japo hawajapanga ni lini. “Yeah ndoa ipo, ipo kabisa, hatuwezi kusema sasa hivi lakini itafika tu muda mzuri wa kufunga […]

 

9 years ago

Habarileo

Muuguzi ahimiza uzazi wa mpango

JAMII ya watu wenye ulemavu nchini, imeombwa kujiunga na huduma za uzazi wa mpango ili wawe na uwezo wa kujikimu katika maisha na kuondokana na dhana kuwa hawastahili kujiunga na huduma hizo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Njia ya uzazi wa mpango ya kipekee

wanaume nchini Tanzania wameamua kuwahama wake zao kama njia mbadala ya kupanga uzazi.

 

9 years ago

Habarileo

Wataka kipaumbele uzazi wa mpango

BAADHI ya wagombea ubunge mkoani Singida wameiomba serikali ijayo kutoa kipaumbele kwenye suala la uzazi wa mpango nchini. Wagombea ubunge wa majimbo ya Singida Mjini, Ikungi Magharibi na Mkalama walitoa mwito huo kwenye mahojiano maalumu yaliyoandaliwa na Muungano wa Klabu za Wanahabari Nchini (UTPC) chini ya Mradi wa Mama Ye unaohimiza matumizi ya njia za Uzazi wa Mpango.

 

11 years ago

Tanzania Daima

700 wapatiwa elimu ya uzazi wa mpango

JUMLA ya wasichana 700 wenye umri kati ya miaka 10 hadi 19 waliokatisha masomo katika shule za msingi na sekondari wilayani Kahama kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kubeba mimba wamejitokeza...

 

10 years ago

Habarileo

Watoto watumia uzazi wa mpango shuleni

BAADHI ya watoto wa kike wanaosoma katika shule mbalimbali za sekondari katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa wanakiri kutumia uzazi wa mpango wakihofia kukatiza masomo yao kwa kupata ujauzito wakiwa bado shuleni.

 

9 years ago

Mwananchi

Dosari za kutumia uzazi wa mpango wa dharura

Kupata mimba ni jambo la baraka ingawa inategemea na mpokeaji wa hali hiyo. Wasichana wengi hasa walio na uwezo wa kushika mimba ambao wanasoma au hawajaolewa wamekuwa wakijihusisha na matukio ya kutoa mimba mara kwa mara bila kufikiria athari zitakazowakabili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani